Search results

  1. Ketoka

    Haya Mashirika yanapiga hela au yanapambana na ukatili?

    Huku mkoani Mara kuna mashirika zaidi ya 50 yanayopambana na ukatili wa kijinsia hasa kwa wanawake na watoto. Wameanzisha vilabu mashuleni ili kuwaelemisha juu ya ukatili wa kijinsia msingi na sekondari. Ukatili wa kijinsia ni pamoja na ukeketaji kwa watoto wa kike Cha ajabu Disemba hii...
  2. Ketoka

    Transformer ikiharibika, inachukua muda gani TANESCO kuleta nyingine?

    Wadau tupo giza totoro kwa mwezi na siku kadhaa kisa transformer imeharibika,na TANESCO wanadai kuwa mpaka walete transformer nyingine Hivi inachukua muda gani TANESCO kuleta transformer nyingine?
  3. Ketoka

    Kuna faida gani kuwapa majina watoto yanayoanza na herufi zinazofanana?

    Kuna mtindo wa kuwapa majina watoto kwa kuanza na herufi zinazofanana ,je huu mtindo una faida au hasara au uzungu? Unakuta mzazi anawaita majina mtoto wa kwanza hadi wa mwisho herufi inayoanza ni D,au E au B Hasara ni kwamba majina hayazingatii chimbuko lake wala utamaduni wa jamii yake...
  4. Ketoka

    Mnadai historia ya Tanzania ifundishwe na huku mnaficha data za Corona

    Kuna kiongozi anahimiza somo la historia ya Tanzania liandikwe na kufundishwa kuanzia awali hadi chuo kikuu. Historia ni somo linalohusu matukio yaliyopita ,yaliyopo ili kujenga yajayo na kumwezesha binadamu apambane na mazingira nk NB yakiwemo magonjwa ya mlipuko. Yaani unakusanya matukio...
  5. Ketoka

    Je, Sauti Amerika mnajua hili kuhusu Redio Free Afrika wakati wa matangazo yenu?

    Sasa na nyie Redio free Afrika mnakera sana,kuna maana gani kujiunga na Redio za kimataifa na huku mnawakatia matangazo yao hasa wakifika kuripoti kuhusu hali ya corona Tanzania. Leo RFA wamekata matangazo ya sauti ya Amerika walipoanza kuripoti kuhusu corona Tanzania, je na nyie vyombo vya...
  6. Ketoka

    TANZIA Mama mzazi wa DC Jerry Muro afariki dunia

    Mama mzazi wa Mkuu wa wilaya Jerry Muro amefariki dunia ,mama Ankunda Muro amefariki usiku wa kuamkia leo 24.1.2021 katika hospitali ya Taifa Muhimbili Poleni mkuu Jerry Muro kwa msiba mzito
  7. Ketoka

    Naomba ushauri kuhusu huyu mwanamke

    Mwishoni mwa mwaka 2019 nilikuwa kwenye mahusiano hot ya kimapenzi yenye ndoto za kuja kuishi pamoja na huyu mwanadada Mimi nikiwa mwajiriwa wa serikali yeye akiwa kwenye taasisi za ukopeshaji ,baadae akahamishwa na taasisi yake kwenda mkoa jirani,hata hivyo mapenzi yetu yalikuwa ya moto...
  8. Ketoka

    Uchaguzi 2020 Vyama 8 vinavyoshiriki Uchaguzi vyamtaka Mbowe ajieleze kwa Msajili baada ya kuviita ni vyama bandia

    Vyama 8 vimemtaka Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kuomba msamaha kufuatia kauli aliyotoa hivi karibuni kuwa vyama vingine ni vyama bandia. Vyama hivyo vimesema Mbowe amevidhalilisha na amevunja sheria na huku vyama hivi vimesajiliwa kama kilivyosajiliwa CHADEMA. Wamekitaka CHADEMA wajitoe...
  9. Ketoka

    CCM Zanzibar wanachochea vurugu, IGP chukua hatua

    Ni kuchamba mwanzo mwisho, vitisho na kejeli kwa kampeni za CCM dhidi ya Maalimu Seif. Kuna mwanaCCM kapanda jukwaani kasema Maalim Seif sio Raia wa Zanzibar, kaeleza stori za Mohamed Shamte na kejeli juu. Siasa za Zanzibar ni za kuchochea ubaguzi na fitina. IGP Sirro una kazi ngumu kwenye...
  10. Ketoka

    Uchaguzi 2020 Ugumu wa Maisha unaowakabili watanzania ndicho kinampaisha Tundu Lissu

    Acha ukwel ubaki ukweli ,sera ya Uhuru na maendeleleo ya watu inampaisha Tundu Lissu. Ukata, mzunguko wa pesa,,biashara zimedorola, fremu zimefungwa, watu hawana akiba account zao zinasoma negative Mijini na vijijini wanalia na ukata wa hela, hapa CCM hatapata kura kwa sababu hiyo Unaambiwa...
  11. Ketoka

    Uchaguzi 2020 Watumishi wa umma tuiondoe CCM madarakani

    Huu Uzi maalumu kwa ajili ya watumishi wa umma wenye salary slip na check no ambao kwa miaka 5 tumedhulumiwa haki yetu Serikali ya ccm haina muda na watumishi, increments kwa watumishi zimetupiliwa mbali Watumishi tumejikuta tunafanya kazi nyingi na ngumu kisa serikali haijiri,hili linawakumba...
  12. Ketoka

    Hapa Tarime ving'ora vya ambulance vinalia kila saa

    Sijawahi kuona hali hii tangu nizaliwe Ving'ora vya ambulance zimekuwa vingi sana,kila baada ya saa moja ambulance inapita hasa hasa inatokea vijijini Na Kwa mujibu ya watu wanaoishi Tarime vijijini wanasema misiba imekuwa mingi kuliko kipindi chochote yaani vifo vya ghafla vimekuwa vingi sana...
  13. Ketoka

    Bora tusiende Cameroun,kule tunaweza kuwa daraja la mataifa mengine

    Walahi kwa mpira huu,na kocha huyu bora tuendelee kucheza mchangani na ni bora tufungwe ili tusiende AFCON Cameroun maana huko tutakuwa daraja au timu ya kuchukulia pointi Fikiria tupo kundi moja na Egypt,Ghana, Togo, Tanzania,hapa stars anapita wapi Au Cameroun,Algeria,Burkinafaso,Tanzania...
  14. Ketoka

    Mrejesho: Mwanamke niliyekuwa nimempata Dar, huenda nikatemana naye

    Jamani ni miezi kadhaa imepita baada ya kuingia kwenye mahusiano na mwanamke mmoja ambaye tulifahamiana kupitia mitandao ya kijamii ambaye anakaa jijini Dar es salaam Nilimpata mwanamke jijini Dar,kupitia mitandao ya kijamii na kujenga mahusiano,yaliyopelekea kufungasha safari kutoka mkoani...
  15. Ketoka

    Mkurugenzi NEC kugoma kutaja gharama za uchaguzi,kuna siri gani?

    Kitendo cha Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC), Dk. Athuman Kihamia kugoma kutaja gharama ambazo tume yake imekuwa ikizitumia kuendesha chaguzi za marudio ya ubunge na udiwani kimetibua nyongo za wafuatiliaji wa masuala ya siasa. Wafuatiliaji hao wamemtaka Dk. Kihamia kutambua kuwa...
  16. Ketoka

    Moshi: Maswali 10 kwa Polisi kuhusu kifo cha dereva

    Tukio la dereva wa basi la daladala maarufu Hiace, Andrew Kiwia, limeibua maswali yasiyo na majibu hasa baada ya kauli ya kamanda wa polisi mkoani Kilimanjaro, Hamis Issah. Wakati maswali hayo yakiibuka, mama mzazi wa marehemu, Haikamesia Kimambo, jana alisisitiza kuwa hawatachukua mwili huo...
  17. Ketoka

    From MP4 to MPEG4

    Msaada aliye na utaalam wa ku-convert video kutoka mp4 kwenda mpeg4 naomba anisaidie nitumie app gani ambayo nitadownload kwenye sim Au nisaidie app ya kudownload video kutoka YouTube moja kwa moja yenye format ya mpeg4 Aliye na ujuzi tusaidiane
  18. Ketoka

    Hamisa Mabetto: Natafuta mume miaka 45+ mgane aliyeachwa mzungu

    Mwanamitindo Hamisa Mobetto ameamua kuweka wazi mwanaume ambaye anataka kuishi naye kwa sasa, ambapo amedai kuwa anataka mwanaume wa kizungu ambaye alishawahi kuachika na mwenye watoto. Akizungumzia vigezo vya mwanaume anayemtaka, Hamisa amesema kuwa kwa sasa hapendi kuolewa na vijana na...
  19. Ketoka

    Walimu waliopoteza maisha MV Nyerere

    Walimu waliopoteza maisha katika ajali ya MV Nyerere 1,Badebi m.Masunga-s/m Mabule Ukerewe 2,Augustine Malindi-s/m Bukungu Ukerewe 3,Albert Mongela-s/m Amani Ilimela 4,Ligwa Lubinza-s/m Nyang'ombe Ukerewe NB,eitha Albert na Ligwa ni Mme na mke wameacha mtoto mchanga Poleni Walimu Tanzania...
  20. Ketoka

    Mbeya: Mwanafunzi mbaroni kwa kutupa kichanga chooni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Mwanafunzi wa Kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Isengo, Ines Mtundu (19) kwa kosa la kumtupa chooni mtoto mchanga. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo tarehe 24 Septemba 2018 na Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya, SACP Ulrich Matei, inaeleza...
Back
Top Bottom