Search results

  1. Ketoka

    Haya Mashirika yanapiga hela au yanapambana na ukatili?

    Ndo maana nashuku haya mashirika ni upigaji tu
  2. Ketoka

    Haya Mashirika yanapiga hela au yanapambana na ukatili?

    Mkuu yawezekana wew ni mzee wa mila
  3. Ketoka

    Haya Mashirika yanapiga hela au yanapambana na ukatili?

    Huku mkoani Mara kuna mashirika zaidi ya 50 yanayopambana na ukatili wa kijinsia hasa kwa wanawake na watoto. Wameanzisha vilabu mashuleni ili kuwaelemisha juu ya ukatili wa kijinsia msingi na sekondari. Ukatili wa kijinsia ni pamoja na ukeketaji kwa watoto wa kike Cha ajabu Disemba hii...
  4. Ketoka

    Transformer ikiharibika, inachukua muda gani TANESCO kuleta nyingine?

    Tanesco bwana,mbona sipati mrejesho?
  5. Ketoka

    Transformer ikiharibika, inachukua muda gani TANESCO kuleta nyingine?

    Yaani mwezi umekata karibia Kijiji kizima hatuna umeme ,hiyo huduma ya tabasamu sijaiona, imagine transformer mbili hazifanyi kazi ,shughuli za kijamii na kiuchumi zimesimama , Tanesco Wilaya wapo tu ,wao ni kusema tunashulighulikia hiyo inakuwa imeisha siku zinaenda
  6. Ketoka

    Transformer ikiharibika, inachukua muda gani TANESCO kuleta nyingine?

    Mkuu Tanesco wanajua ukishataja eneo,maana kila siku wanapigiwa simu kutoka eneo hilo wanasema wanashughulikia
  7. Ketoka

    Transformer ikiharibika, inachukua muda gani TANESCO kuleta nyingine?

    Mbona huku hata hawana muda na mwezi na siku kadhaa zinakata
  8. Ketoka

    Transformer ikiharibika, inachukua muda gani TANESCO kuleta nyingine?

    Wadau tupo giza totoro kwa mwezi na siku kadhaa kisa transformer imeharibika,na TANESCO wanadai kuwa mpaka walete transformer nyingine Hivi inachukua muda gani TANESCO kuleta transformer nyingine?
  9. Ketoka

    Kuna faida gani kuwapa majina watoto yanayoanza na herufi zinazofanana?

    Kuna mtindo wa kuwapa majina watoto kwa kuanza na herufi zinazofanana ,je huu mtindo una faida au hasara au uzungu? Unakuta mzazi anawaita majina mtoto wa kwanza hadi wa mwisho herufi inayoanza ni D,au E au B Hasara ni kwamba majina hayazingatii chimbuko lake wala utamaduni wa jamii yake...
  10. Ketoka

    Mnadai historia ya Tanzania ifundishwe na huku mnaficha data za Corona

    Kama hakuna uwazi basi hakuna haja ya kufundisha somo la historia
  11. Ketoka

    Mnadai historia ya Tanzania ifundishwe na huku mnaficha data za Corona

    Kuna kiongozi anahimiza somo la historia ya Tanzania liandikwe na kufundishwa kuanzia awali hadi chuo kikuu. Historia ni somo linalohusu matukio yaliyopita ,yaliyopo ili kujenga yajayo na kumwezesha binadamu apambane na mazingira nk NB yakiwemo magonjwa ya mlipuko. Yaani unakusanya matukio...
  12. Ketoka

    Je, Sauti Amerika mnajua hili kuhusu Redio Free Afrika wakati wa matangazo yenu?

    Sasa na nyie Redio free Afrika mnakera sana,kuna maana gani kujiunga na Redio za kimataifa na huku mnawakatia matangazo yao hasa wakifika kuripoti kuhusu hali ya corona Tanzania. Leo RFA wamekata matangazo ya sauti ya Amerika walipoanza kuripoti kuhusu corona Tanzania, je na nyie vyombo vya...
  13. Ketoka

    TANZIA Mama mzazi wa DC Jerry Muro afariki dunia

    Mama mzazi wa Mkuu wa wilaya Jerry Muro amefariki dunia ,mama Ankunda Muro amefariki usiku wa kuamkia leo 24.1.2021 katika hospitali ya Taifa Muhimbili Poleni mkuu Jerry Muro kwa msiba mzito
  14. Ketoka

    CHAN2021: Mchezo umemalizika kwa Taifa Stars kupoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Zambia

    Simba na yanga wanatukwamisha au mnasemaje wadau
Back
Top Bottom