Search results

  1. N

    Mahakama ya Mafisadi imekufa kifo cha kawaida?

    Hiyo Mahakama imehamia IKULU. Ripoti (status) hii hapa Link https://www.jamiiforums.com/threads/ikulu-washtakiwa-467-wa-uhujumu-uchumi-wapeleka-maombi-kwa-dpp-wakitaka-kukiri-makosa-yao-na-kurejesha-takribani-tsh-bilioni-107.1634036/
  2. N

    Uzalendo wa ajabu wa watanzania, unafurahije wakati nchi yako imepata majanga. Hawa ni ma nunda, ma sadist or what?

    Link https://www.jamiiforums.com/threads/tundu-lissu-kuwa-makini-na-chadema.1604724/page-2#post-32108445 Link https://www.eatv.tv/news/current-affairs/tutanyolewa-bila-maji-tundu-lissu
  3. N

    Prof Kabudi asitufanye watanzania wote ni wajinga tusioweza kutafsiri maneno mepesi ya kiingereza ya "disappeared and died"

    Tumewapa nafasi waimba mapambio. Sisi huku kitaa tunakula bata wa uchumi unaokua kwa kasi ya asilimia 7. Ninampango wa kuhamia karibu na hifadhi ya Chatuburugi.Ukuje kunitembelea.
  4. N

    Prof Kabudi asitufanye watanzania wote ni wajinga tusioweza kutafsiri maneno mepesi ya kiingereza ya "disappeared and died"

    "Bikila" Malia alikuja kubadilishana mawazo nami. Weye! Unataka mabikira? Jaza fomu ya order, unitumie au mpe mmoja ya "wasiojulikana" watanifikishia. Tupo pamoja Bwana mla kima kugawana faida ya uchumi unaokua kwa asilimia 7.3
  5. N

    Rais Magufuli amteua Julius Mtatiro kuwa mkuu wa Wilaya ya Tunduru - Ruvuma

    Alitegemea ubalozi alipoamua kuunga mkono juhudi. link https://www.jamiiforums.com/threads/julius-mtatiro-ndugu-zangu-watanzania-hakuna-aliye-salama.1422240/
  6. N

    TANZIA Brigedia Mstaafu Hassan Ngwilizi Afariki Dunia

    Ndiyo hiyo hiyooo mnayosema ... inteprenuwaaa.
  7. N

    Huku nchini Peru na mifuko ya we plastiki

    Hapa serikali imebuni chanzo kipya cha mapato. Askari wanaweza kukubambikizia mifuko ya plastiki ili iwe "fundisho" kwa wengine. Ni vyema kulinda mazingira.
  8. N

    TANZIA Brigedia Mstaafu Hassan Ngwilizi Afariki Dunia

    LIP - Lest(rest) in Pipeline.
  9. N

    Ni kina nani hawa wanaotishia usalama wa Rais wetu kiasi hiki?

    Duh. Anapiga vita uchumi? Hili unalosema linawezekana kwa sababu inasemwa uchumi umewekwa juani, unakauka na kusinyaa. Wafanyakazi wa umma nao ni mafisadi au wapiga dili? Hata nyongeza halali, annual increment, nayo haiwezekani kulipwa? Kwa uendeshaji huu wa vita ya uchumi lazima uchumi ukue...
  10. N

    CHADEMA shikilieni hapohapo tunawaelewa

    Hiyo ndiyo kazi ya la hilo genge, kuwagawia wadanganyika "maisha bora" aka umasikini. Hili la msimu huu linaugawa kwa mwendokasi.
  11. N

    IMF na World Bank tambueni hii nchi ni huru

    Rais bora au Bora rais? Ubora wake umekaribia ubora wa Maduro? Mwalimu Nyerere ametuma salamu za pasaka na kutahadharisha juu ya ujio wa sembe ya njano kwa hisani ya watu wa Marekani.
  12. N

    Angalieni pesa iliyokutwa nyumbani kwa aliyekuwa Rais wa Sudan Omar Al Bashir. Hivi viongozi wa kiafrika wakoje.

    Link https://www.jamiiforums.com/threads/mbunge-wa-ccm-akiri-ubaguzi-wa-kikaburu-ndani-ya-awamu-hii-usipokuwa-ccm-huna-haki-kama-raia-lazima-uwe-ccm.1572148/page-2#post-31079029
  13. N

    Serikali kutochapisha takwimu za kiuchumi: Ifahamu IMF

    Pia ukijifanya mjanja wanakufanya kama Libya, Syria, Iraq, Sudan na Venezuela.
  14. N

    Angalieni pesa iliyokutwa nyumbani kwa aliyekuwa Rais wa Sudan Omar Al Bashir. Hivi viongozi wa kiafrika wakoje.

    Kwetu mali zetu na hela zetu zipo salama kwa sababu tunae Rais mcha Mungu , mtenda haki na mpenda demokrasia. Link https://www.jamiiforums.com/threads/ijumaa-kuu-rais-magufuli-ashiriki-misa-takatifu-st-peters-church-osterbay.1574739/
Back
Top Bottom