Search results

  1. B

    Ni sawa wizara kutumia kodi ya wananchi kutumika kwenye mazishi ya Kanumba?

    Ama kweli kuna watu wanaingia humu kupinga kila kitu. Kazi aliyoifanya Kanumba ni kubwa sana na atabaki kwenye kumbukumbu za walio wengi. R.I.P Kanumba.
  2. B

    Nataka NAPE ujibu hili

    Huyu Nape ni mnafikiki tu. Anajua kuropoka tu bila kujua hata anaongea nini. Kijana yeyote mwenye roho ya uanamapinduzi akishaingia ccm anakuwa km mbwa wa polisi. Tusitegemee Nape kuongea maneno yenye busara. Amekwisha huyo.
  3. B

    TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

    Kwa habari nilizozipata leo asubuhi ni kwamba Mr Ebo amefariki dunia jana usiku.
  4. B

    Chita aamuwa kumlea swala mtoto..............amini usiamini

    Mkuu, mie sishangai cheetah kumlea mtoto wa swala. Mwa 1992 kwenye mbuga ya Tsavo aligundulika simba jike aliyekuwa anamlea mtoto wa swala baada ya mama yake kuliwa mara tu baada ya kuzaa. alikuwa anamnyonyesha, na wanyama wengine walipomkaribia alipambana nao. Haya ni maajabu ya Mungu!!!
  5. B

    Mrembo Fresh From College alamba Ukuu wa Wilaya Singinda

    Ama kweli jambo usilolijua ni kama ucku wa giza. Kwanza hii thread kaweka mwenyewe, pili hii ni mara ya pili kwani mara ya kwanza alipost wachangiajia wakaexpose uchafu wake mpaka akaifuta.any way kutokana na akili mbovu za rais wenu any thing can happen.yangu macho.
Back
Top Bottom