Kwa kweli ni ajabu sana. Siku hizi mwanamke na mna mawazo ya kuishi pamoja bila kuchelewa atakuambia nijazie gari mafuta tukatembee, kidogo atasema tairi zimeisha. Mpaka najiuliza hivi hawa watu wana akili kweli? Sababu inapoelekea mwanamke kama huyu ni kumwacha tu. Sijui ni makuzi mabaya? Au...
hukujuwa tu. huyu mpaka amekuja kutafuta dating online inawezekana kabisa ana uzuri wake wa ndani ambao ndio ulikutana nao akaweza kufunguka tofauti wa yale ya barabarani
Mmimi huamini binadamu ni mazao. Sisi ni malighafi lwa kazi fulani za Mungu. Alitupanda anajuwa kazi yetu.
Inawezekana waliotuumba wako kwenye visayari wanakuja kututembelea na vile vispaceship
Usijali ndio thamani halisi ya hio Gari.
Kimsingi nikiagiza Gari huwa naweka allowance milioni mbili zaidi ya Bei ambayo Gari imetumia kufika dar yaani CIF
SO relux..haonwamekuwamfair
Msimuonee Gambo kujifanya hamtambui Hali halisi..pr ya Gambo chuga Ni njema..huwez kumfananisha na sabaya..
Kazi take ilikuwa kuioiga chadema ili achukuwe ubunge....
Hakuwahi kuwaumiza watu personally...
Binafsi simchukii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.