Search results

  1. S

    Bungeni: Ni mbunge yupi atamrithi Kafulila kwa kufichua ufisadi Serikalini?

    hapa tunapigishana makelele yaan tunachochea majivu wakati moto ushazimika
  2. S

    Special thread: Ujinga ni?

    ujinga ni kushabikia kitu bila point za msingi
  3. S

    Wadhifa mpya wa mheshimiwa Edward N. Lowassa

    teh teh eti JIPE MOYO ni kwer mkuu mpeni sifa zoooote lakin ikulu imepata mpangaji iko fulu nakuusu umaarufu aliupata tangu kitambo tu usimshushe mzee wa watu ila kwasasa KAZI TUU
  4. S

    Awamu ya tano: Shauri nini kifanyike katika kuboresha Elimu

    mijitu mingine inasema eti nagufuli sio raisi wao........it doesnt make any sence yule ni raisi wa Tanzania kama humtaki HAMA nenda nchi yenye raisi unaemtaka.... HAPA KAZI TUU
  5. S

    Tigo leo mmeniharibia sana

    duuh ndo raha na umuim wa DUAL PHONES wakitaka wasirekebishe tuu
  6. S

    Lowassa alivyoitetemesha CCM

    ni kweri tunamsifu na kumuita loasa ndie raisi wetu lakin ukwer uta retain kua magufuri ndio raisi wa TZ kwa sasa tuachane na mambo ya siasa tukakomae na shughuri za maendeleo....tukumbuke kama tunaitaji mabadiliko ya kweli tukakmae na KAZI ndio msingi wa maendeleo na sio siasa wala raisi
  7. S

    Kwa hili tukio la leo, ITV wasiachwe hivi hivi, wachukuliwe hatua za kisheria

    uo upendeleo ni upi labda wale wapo kipesa zaidi ushabiki mnauleta nyny
  8. S

    Dr Magufuli Baada ya kuapishwa naomba uanze HESLB

    we unae lalamika mfuko wa cement ulizia MTWARA MFUKO bei gan alafu waulize ni kwa nn
  9. S

    Dr Magufuli Baada ya kuapishwa naomba uanze HESLB

    inamana hiyo mikopo ikitoka ccm au tunamezeshana mabov tuu
  10. S

    Magufuli amkata Lowassa

    ilo swali tu linaonesha jamaa team ile ile ilopigwa chini
  11. S

    Elections 2015 Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu?. Hukumu ya Karma ii Juu Yake!

    tunashukuru wananchi wameonyesha mwitikio wa ushindi ea magufuri wewe kama umpendi magufuri HAMA walompenda wamempa madaraka tayari
  12. S

    Elections 2015 Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu?. Hukumu ya Karma ii Juu Yake!

    kwa kura alizopata magufuri sithubutu kuropoka eti ccm wezi inamana apate kura 10000 alafu aandikiwe 43000 ata kamakuna wizi lakini apa uwez kuiba kiivo nadhan mwenye akili timamu atanielewa vizuri....funzo DON'T THINK WHAT U THINK IS WHAT OTHERS DO....Ndicho tunapokosana hapo mtu kwakua...
  13. S

    Elections 2015 Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali Yetu ni Serikali Dhalimu?, Haramu?. Hukumu ya Karma ii Juu Yake!

    angekubalika na wananchi si tungeona majimboni angepata kura za kutosha ivi jaman kwa lile gape alilopigwa loaswa kwa mtu mwenye akili as great thinker unaweza kuisini kweli CCM imechota au tunafosi ushindani?
  14. S

    CHADEMA mmezubaa, hamjajiandaa kushinda

    magufuli ndo bas anaenda ikulu
  15. S

    Yupi rahisi kumsamehe akikuudhi?

    pole sana chukua uamuz mgumu tu apo tena endelea kuongea nae ila tafuta chombo kngne ukimnunia utaumia sana ucmnunie
  16. S

    Arusha - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    ebhana ccm wametupiga chini tena TUKAJIPANGE ..!!
  17. S

    Maskini Tanzania!

    wanaojituma only need ccm wanaopenda mteremko wanataka mabadiliko wewe kama hujitumi upati mabadiliko zaid ya kubalid nguo tu uku unalalamikia ccm wanakunyonya
  18. S

    Orodha ya Majimbo ambayo CCM wameyapoteza mpaka sasa

    tatzo mnakelele sana wakati wapiga kura wametulia kimya
  19. S

    Nimechukua nikaweka Lowassa

    kabisaaaa ingekua kelele ndo kushinda loasa angepita lakin kwakua uamuzi wanao wananchi dah ndoto ya ya ukawa imekatishwa
Back
Top Bottom