Search results

  1. A

    Nijuzwe sheria ya usalama barabarani ikoje katika hili

    inchi kama oman wanalipa faine kwa mwaka.ukitenda kosa wanarekodi kuanzia mwezi wa kwanza hadi mwisho wa mwaka wanakujumulishia makosa yote hata kama ni milioni 10 utazilipa wakata wa kurinuu mfano motor vehicle,Tlb,transit lisence.Umeona?kukamatwa unakamatwa ila hela no kutoa.
  2. A

    Maduka yote ya dawa nje ya hospitali za Serikali marufuku

    wizi kama upo hata ukiyaweka maduka chalinze,dawa zitaibiwa tu.kinacho takiwa ni kwamba watendaji wakuu warizike na kile wanachokipata tkt ajira zao.
  3. A

    Maduka yote ya dawa nje ya hospitali za Serikali marufuku

    Hivi mbona kuna wengine wana agiza madawa India wenyewe?
  4. A

    Kwanini ngono ni dhambi?

    utamu umezidi
  5. A

    Naomba ushauri, naenda UK

    watafute vigogo wanauzoefu wa kusafiri
  6. A

    Comparison between Kenya and Tanzania (Tofauti kati ya Kenya na Tanzania)

    Saaii-Sasa hivi sikiza-Sikiliza Ebu kuja-Njoo kipande-kipapatio kenya-Tanzania
  7. A

    Nimemuagiza gari kaingia mitini, zawadi Tshs milioni 2 kwa atayefanikisha kupatikana

    Yani akili hamnazo hivi bado watu waagiza magari Japan wakati mashorumu yamejaa kila sehem?
  8. A

    Kwanini wasomi wa Tanzania wana tofauti kubwa sana na wasomi wa Kenya?

    Labda jaribu kuwakutanisha.Sawa bahna mzee?
  9. A

    Comparison between Kenya and Tanzania (Tofauti kati ya Kenya na Tanzania)

    Adis ababa lipo kericho Govinda Sing.Sawa?
  10. A

    Joti na nafasi za wanawake katika matangazo, Je ni upungufu wa wanawake?

    wewe mwanaume ujibadili kuwa mwanamke unjifikiriaje?Anawanyima haki zao wanawake.
  11. A

    Tujikumbushe ya waburushi huko Usangu

    waburushi?ni wabulushi
Back
Top Bottom