Humu ndani watu wanajipiga vifua buree...ishu ni kuwa Kenya iko mbele kiuchumi. Uzuri ni kuwa Tanzania nayo inafuta unyo unyo. Hio pdf inaonyesha kuwa Kenya iko ranked number 5 in Africa kwa utajiri. Details kadhaa soma hio ripoti ujue uchumi umefikia wapi baina ya Kenya na Tanzania ikiwemo nchi...
Has anyone succeeded in upgrading the old zuku decoder via OTA? I want to watch the fta channels on ses-5... Has anyone tried it? My decoder restart when it reaches 75% upgrade
Nimeiona hii post kwa blog flani nikashindwa kujizuia kuiweka humu.
Ukweli usemwe. Ndoto ya kila mwanaume katika hii dunia wakati mmoja au mwingine hufikiria kuwa na kipawa cha kuweza kumzuzua mwanamke yeyote anayemzimia. Uzuri ni kuwa hauhitaji kuwa tajiri ama kuvutia ili uwe na kipawa kama...
Nimekuwa nikipitia pitia kwa mitandao tofauti nikisoma habari kuhusu huyu wakili Corazon Kwamboka na jinsi waandishi tofauti wa blogs wana maoni kumhusu.
Well, yaonekana kuwa Corazon Kwamboka ndio jina jipya na latest katika blogsphere. Infact amekuwa akipigwa darubini kuanzia blogs za...
Mamake mwigizaji wa Hollywood Sylvester Stallone anayejulikana kwa jina Jackie Stallone ni mama mzee mwenye umri wa miaka 92 lakini bado ni mtu mwenye nguvu na anaijulia sana mitindo ya kuvalia nguo.
Jackie ambaye anafanya kazi ya kutabiria nyota za watu alionekana akitembea kando na kilabu...
Kuna watu sasa wameanza kukufuru...itafikia wakati flani sasa Diamond mtaanza kumuabudu bila nyie kujitambua...mwanzisha mada sijui ni kejeli ama maazimio yake ni kumsifu Diamond...
Fahamu ule msimo "Mgema akisifa tembo hulitia maji"...sasa endeleeni kumpa sifa za kikumbavu halafu baadae tuone...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.