Search results

  1. Mwendawazimu2

    Ushauri kwa walioachana/kupigwa chini na wapenzi wao

    Ukitaka uchukue au ujaribu, kama hutaki acha, huu ni ushauri wa Mwendawazimu... Ukiachwa au ukisalitiwa na mpenzi unayempenda unasikia kama maumivu fulani chini ya kifua kwa ndani (depression). Unakuwa na hasira, unakosa amani, unatamani kama kila saa uongee nae. Katika hali kama hiyo unaweza...
  2. Mwendawazimu2

    Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi

    Nimekumbuka ule uvumi kuwa Zitto alikuwa na uhusiano na Chifupa, na kuwa Chifupa alikufa na mdudu...
  3. Mwendawazimu2

    Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi

    Huwa kuna uvumi kuwa Zitto alikuwa na uhusiano na Chifupa, na kuwa Chifupa alikufa na mdudu... Kuna kufanana fulani jinsi walivyougua...
  4. Mwendawazimu2

    Expiry date ya wanawake!!!

    sio suala la research dada. nimetumia nano average... inaweza isiwe wewe, lakini habu fikiria kinadada wengi ulosoma nao, walikuwa walipokuwa 20-28, na kama watakuwa wamevuka, kwa sasa wakoje?
  5. Mwendawazimu2

    Expiry date ya wanawake!!!

    Kusoma ni sehemu ya maisha. Ninachomaanisha ni kuwa ukiangalia mwanaume na mwanamke wa umri sawa, at 28 mwanaume ndo anaanza kuenjoy maisha wakati mwanamke ndo anaanza kupigwa na majukumu ya kaisha...
  6. Mwendawazimu2

    Mpenzi wangu ananibania sana!

    au anamchafua tu...
  7. Mwendawazimu2

    Expiry date ya wanawake!!!

    Hayo ni ya wanaume...
  8. Mwendawazimu2

    Mpenzi wangu ananibania sana!

    wewe ni zuzu... uko na mwnamke ndani alafu anakubania!!!? for sure ukioa lazima wanaume wakugongeeee...
  9. Mwendawazimu2

    Expiry date ya wanawake!!!

    On average; Muda wa kupendeza na kuenjoy maisha 20-28 yrs Above 28 year, choka mbaya..
  10. Mwendawazimu2

    Nifurahi au Nisikitike?

    Tulishapima katika hospitali kadhaa, hakuna tatizo lililothibitishwa. Siwezi kusema hakuna mwenye tatizo kutokana na majibu hayo, kwani najua uwezo mdogo vipimo katika haspitali zetu nyingi...
  11. Mwendawazimu2

    Nifurahi au Nisikitike?

    Ni miaka kadhaa kimeoa lakini sina mtoto. Kwa 'bahati mbaya' nyumba ndogo amepata mimba yangu. Siku-intend kuzaa nje ya ndoa. On one hand najua nitaitwa baba muda sio mrefu. But on the other hand naona kama ndio matatizo yameanza katika ndoa yangu. Nifurahi au nisikitike?
  12. Mwendawazimu2

    Hawa Wahaya wa Growing up African wanaboa...

    Sure. But I have to tell it before they chase from my favorite channel...
  13. Mwendawazimu2

    Hawa Wahaya wa Growing up African wanaboa...

    Mmeonaee? Halafu huwa hawaonyeshi wanafanya kazi gani! Wale wasichana kuna mwenye sura naifananisha na mcheza filamu chafu mmoja...
  14. Mwendawazimu2

    Bunge kuwaka moto, Kambi Rasmi ya Upinzani Kufutwa?

    Safi saaanaaaaaaaaaaa............. Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees.................. POWER
  15. Mwendawazimu2

    UVCCM MBEYA inavyo mchafua SUGU

    Hivi yule jamaa aliyesema anamegewa na Dr anaitwa nani tena?
  16. Mwendawazimu2

    Eti dowans kumbe imeshalipwa?

    Anyway... Kama haya ndiyo yalikuwa matumizi ya hizo hela, then sioni tofauti sana na kulipa Dowans...
  17. Mwendawazimu2

    Serikali ya Tanganyika 1961. Tunawakumbuka hawa?

    Mkuu hii imenikumbusha mbali sana. Natamani ningeiaccess hiyo maktaba yako...
  18. Mwendawazimu2

    UVCCM MBEYA inavyo mchafua SUGU

    Hivi Sugu sio mwanaume? Kama Shyrose kailengesha, rijali anafanyaje?
Back
Top Bottom