Search results

  1. J

    Wale waliochaguliwa SEKOMU tukutane hapa jamani

    DU! mkuu kumbe baridi hapo ni kali e vp totozi zipo
  2. J

    Wale waliochaguliwa SEKOMU tukutane hapa jamani

    Mi nimechaguliwa hapa mwaka huu kusomea education in special needs science subject anefahamu hii kozi upande wa ajira anijuze na mazingira ya chuo kwa ujumla nawasilisha
  3. J

    Siwaelewi TCU mpaka saa ivi

    Hiyo ni kwa walioapply kupitia nacte na siyo tcu.tcu cas haifunguki ndugu tokea jumamosi hadi sasaiv
  4. J

    Siwaelewi TCU mpaka saa ivi

    Kwani tcu cas inafunguka we jamaa
  5. J

    Selection vyuo vikuu: Fomu ya kujiunga, taarifa za vyuo na kozi

    Anaye fahamu chuo cha Marian kilichopo Bagamoyo anisaidie wakuu mazingira yake na utoaji wa elimu kwa ujumla pamoja na sheria za chuo bila kusahau hostel kama zipo kwa first year.
  6. J

    University of Bagamoyo, mwenye taarifa sahihi za hiki chuo

    Sio kweli university of bagamoyo na marian university college ni vyuo viwili tofauti japo vyote viko bagamoyo.mimi nimeomba marian university college ambacho ni tawi la SAUT ya mwz na pia nimeomba hapo bagamoyo university bsc in chemistry
  7. J

    Hizi negative (-) ZA TCU zina maana gani

    Haifunguki kaka hata mm imegoma
  8. J

    Msaada

    Jamani mi nina cut of point 7 lakini nimeomba education tokea mara ya kwanza ninatemwa 2 na sasa wameniambia niapply 3rd round nimesoma CBG na nimeomba kozi 1 vp nitachaguliwa?.nimemaliza 2014
  9. J

    TCU wametoa tangazo rasmi 3rd round aplication

    Jamani mimi ni muhanga wa 3rd round naomba kuuliza tumeambiwa tuchague kozi 5, vipi nikichagua moja nitapata chuo?. Pia napenda kuuliza, Je! Hii round kuna wadahiliwa wataachwa bila kuchaguliwa msaada tafadhali kwa anaefahamu. Nawasilisha wakuu
  10. J

    TCU wametoa tangazo rasmi 3rd round aplication

    Jamani mi naomba niulize wamesema 3rd tunaomba kozi tano je mm nikiomba 1 nitachaguliwa?.je kuna watu hii round wataachwa nawasilisha msahada tafadhali
  11. J

    TCU third round ipo tayari kwa wale waliokosa 1 na 2 round now

    Mbona huwezi kuongeza kozi wanaandika vitu vya ajabu msaada jaman
  12. J

    Tcu second round imeshatema..

    Mbona mimi hata kozi hazionekani wanaandika vitu vya ajabu 2 msaada jaman
  13. J

    Second selection TCU tayari!

    Mbona mimi hata kuona kozi zangu wanaandika 2 vitu vya ajabu
  14. J

    Kuhusu vyuo 2015/2016

    Database error
  15. J

    Msaada wa haraka kwa mwenye uelewa

    Mbona sasa iv tcu ukienda sehemu ya kuview selection kozi hazionekani hii ni kwa wale wa 2nd round tcu ingia kwenye profile yako ujionee hii inamaana gani wakuu nawasilisha!
  16. J

    Msaada kwa anaefahamu;

    Wakuu samahani nina mtero kinyama yana kama kuna mtu anafahamu ni lini post za vyuo zitatoka kwa wale wa second round kupitia TCU anisaidie hapa pressure inapanda na kushuka
  17. J

    UDOM majina yametoka km hukuona jina lako kwenye list ya kwanza!

    Mkuu batch 2 bado tusitiane pressure jaman
  18. J

    Tcu ni shida

    Et kuna third round jaman ivi elimu ya bongo inaelekea wapi et zaman hakukuwa na mambo kama haya hii yote ni sababu ya BRN
  19. J

    Muhimu kuhusu SAUT

    MSAADA MNIANGALIZIE leonard mugusi hapo saut bukoba
Back
Top Bottom