Search results

  1. xxxxlevel

    Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Aviation (PILOT) scholarship please 2017/2018
  2. xxxxlevel

    Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Pale sua hazipo kwa sasa, make nilienda kuulizia j/tatu
  3. xxxxlevel

    Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Asante! Mbegu hii inapatikana wap? Chanzo cha kuaminika!
  4. xxxxlevel

    Kilimo cha Mihogo (Cassava): Mbinu, Ushauri, Changamoto na Masoko yake

    Habari wana janvi! Kwa yeyote anaefahamu upatikanaji wa mbegu bora za muhogo ambazo zilifanyiwa utafiti na kuthibitika kustaihimiri magonjwa mbalimbali na ukame, pia zenye kutoa mazao kwa wingi anakaribishwa.
  5. xxxxlevel

    Natafuta mchumba mke wa kuoa (serious)

    maamz yangu 2!!!
  6. xxxxlevel

    Natafuta mchumba mke wa kuoa (serious)

    c vigezo??????? mbona vipo au ??
  7. xxxxlevel

    Natafuta mchumba mke wa kuoa (serious)

    Mimi ni............................., miaka 29, mrefu kiasi ft 6 kasoro, mwembamba, kwa sasa nipo nasoma chuo (1 yr), Natafuta msichana mzuri aliye tayari kuanza maisha from zero to hero mrefu kiasi mcheshi asiwe mnene sana miaka 18 - 21 rangi brown mwenye elimu kuanzia advanced diploma to...
  8. xxxxlevel

    SUA mtatuua, mbona hamtupi boom?

    Sua ni chuo cha mapadri!!!! huruhusiwi kuhoji bali kutekeleza tu.:(:(:(:(
  9. xxxxlevel

    Nanunua Vitu vifuatavyo

    nitafute inbox
  10. xxxxlevel

    HESLB: Orodha ya Majina ya Waliopata Mkopo (Awamu ya Kwanza) 2016/17

    Mkuu 1st batch jina halipo labda tusubiri 2nd batch
  11. xxxxlevel

    Je hii ni kweli kuhusu elimu ya Sokoine University (SUA)?

    m mkuu siwezi kuomba nikiwa 2nd year?
  12. xxxxlevel

    Je hii ni kweli kuhusu elimu ya Sokoine University (SUA)?

    Habari wakuu mimi nimepata selection SUA lakin mambo yameenda ndivyo sivyo katika mchakato wa pesa tofauti kabisa na nilivyotegea. Katika harakati za kuomba mkopo nilishindwa kukidhi vigezo baada ya Bodi ya mikopo (HESLB) kutoa vigezo maalum kupitia mtandao, moja ya vigezo hivyo ni ( "muombaji...
  13. xxxxlevel

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wakuu mi naombeni ufafanuzi maake naona namba tu!! ( SIJUI KUBET)
  14. xxxxlevel

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wakuu mimi nina acount m-bet lakin sijui namna ya kubet?? msaada tafadhali!
Back
Top Bottom