Search results

  1. Fact Checkers

    Fact Check: Picha zinazosambaa, sio maiti za bahari ya Pemba wakati wa Kampeni

    Salaam Wakuu, Kwenye Mitandao ya Kijamii (hasa Twitter), kuna habari (picha) zinasambaa kwamba ni Miili ya watu iliyotupwa Baharini huko Pemba Wakati wa Uchaguzi Mkuu Tanzania 2020. Picha zinaambatana na maneno kwamba, "Jeshi na Polisi wanatupa maiti baharini muda huu Wanafukuza wavuvi...
  2. Fact Checkers

    United Nations Commission For Industrial and Economic Development (UNCIED) - JOB SCAM!

    Fake employment vacancies in the name of the United Nations have become a staple of internet fraudsters. Recently, our intelligence team came across one of such scams. It was a PDF document being shared on social messaging applications. The document was advertising several vacancies into a...
  3. Fact Checkers

    FACT CHECK: Aliyekuwa Mgombea Ubunge wa CHADEMA katika Jimbo la Nachingwea, Dkt Mahadhi Mmoto hajauawa, yupo Mahabusu Gereza la Lindi

    Kuna taarifa zimesambaa kwenye mitandao ya kijamii zikidai aliyekuwa mgombea Ubunge katika Jimbo la Nachingwea kwa tiketi ya CHADEMA, Dkt Mahadhi Mmoto ameuawa. Usahihi: Kwa mujibu wa Kiongozi wa CHADEMA katika Kanda hiyo, taarifa hizi si za kweli na zimesababisha panic isiyo ya lazima...
Back
Top Bottom