Search results

  1. Z

    Bodaboda kukata leseni ya biashara.

    Bado kodi ya watembea kwa miguu angalau hata sh 15000 kwa mwaka ili kuiongezea mapato serikali yetu tukufu.tufike tunapo pataka.
  2. Z

    Bodaboda kukata leseni ya biashara.

    Wanacho sema boda boda serikari ikae na wenye piki piki sio kuwasumbua wao wao ni vibarua tu.
  3. Z

    Aliyempigisha ‘deki’ Mwalimu aigomea CWT

    Siombi mabaya lkn ipo siku wataumbuka watakutana na vichwa maji kwani kiuajiriwa serikalini ndiyo kuwa na masisha mazuri wasijaribu huu moto wamemuonea sana mwalimu lkn one day yes.
  4. Z

    Bodaboda kukata leseni ya biashara.

    Bodaboda wilayani Muheza wanalalamikia kitendo cha kuambiwa wakate leseni za kubeba abiria hali inayo wafanya wengi wao wakitaka kurudisha pikipiki kwa wamiliki.Wachache wa bodaboda hao wamesema kwasiku unaweza usipate abiria hata mmoja na tunashinda juani halafu unadaiwa hesabu ya bosi halafu...
  5. Z

    SENGEREMA: Afisa TAKUKURU amlamba mwalimu makofi

    Isitikee kwangu patachimbika
  6. Z

    Natafuta soko la karafuu.

    Kwa yeyote anaefahamu au kuhitaji karafuu nina mzigo wa kutosha naomba tuwasiliane hata kwa ushauri kupitia no 0716038818 naomba tumia sms.
  7. Z

    Kwanini manesi mnawakata vibaya vitovu watoto vinatokeza?

    Ukianza kutathimini kitu anza na mazuri mtoa mada umekurupuka hujui unacho kiongea
  8. Z

    Mtoto wa Liyumba akamatwa na madawa ya kulevya yenye thaman ya Bil 9 Tsh

    Wasio nacho ndiyo tunaumbuka lkn hakimu wa haki ni mungu tu kiteleweka
  9. Z

    Mashirika yanayolipana Mishahara Minono kwa mwezi

    Hatari hakuna usawa kabisa sasa hapo si zaidi ya watumishi wengine 16 wa mshahara wa laki tatu
  10. Z

    Kichanga mwingine afariki dunia kwa uzembe mkoani Mwanza

    Hivi hapo nani mwenye kosa kama mhudumu wa afya hajasomea ukunga angefanyaje màgari yenyewe ukipiga simu utaulizwa wana hela ya mafuta elfu arobaini sasa uchunguzi ufanyike kwa kina ili haki itendeke
  11. Z

    Estar Bulaya aachiwa huru

    Hii nchi ipo siku tutaheshimiana tu Ikimbukwe kumtesa mtu sio kumfanya awe mpole anatafuta njia ya kupata haki yake kwa namna yoyote ile.
  12. Z

    Wodi Mpya ya wazazi Muhimbili tayari, Jionee Mwenyewe!

    Kila kitu muhimbili huku mikoani kunani maana mazingira hayafai kabisa tuache unafiki watanzania sio wote waenda tibiwa muhimbili tumechoka na haki itendeke
Back
Top Bottom