Anaandika Askofu Benson Bagonza
Jizoeze kuvuta pumzi na kufikiri. Hii itakusaidia kujisikiliza kabla hujategemea kusikilizwa na unaowahutubia. Uwezo wa kujisikiliza hukuwezesha kutambua kweli hizi:
1. Haki na madaraka ya kumpiga mtu haimwondelei mtu huyo haki ya kulia. Kwa hiyo kumchapa mtu...
Nilimsikia juzi boss wa Tanroad akisema "Hakuna kitu rahisi kama kutengeneza road signs kwenye tenda tunawaambia wakandarasi wajaze kibao road sign moja Tsh 500,000 akimika 20 Fedha tunapata. Kwahiyo signs hizi hata kama ni km 5 tunaweka za kutosha.
Kwaupande wa matuta Kuna habari zinadai...
Nilikuwa naongea na mtu wangu wa ndani,akanimbia kila kosa traffic anapewa 7,000.Ndiyo maana traffic wanapiga faini kwa kwenda mbele.Ninachoofia jamii ikichoka ,moto utakaolipuka kuzima hakutakuwepo.Amani tunayoihubiri itageuka Somalia au Libya.Mungu atupe maisha naona siku zinakaribia
Tukiangalia parade za Korea kasikazini utapenda.Ukiangalia wanajeshi utatamani.
Mimi kwa miaka mingi sioni mapya kwenye jeshi lenu.Gwalide ni lile la mwaka 47,kuvunja matofari ni kitu cha kawaida.Au macho yangu hayaoni
Mimi sijui kama kuna umuhimu wa kuwa na polisi,kwa sababu ukifikisha shauri polisi umeisha.Trafiki wako barabarani kunyanyasa raia kwa kulipa faini za ujinga.Hivi polisi wanajisikiaje kwenye dunia,maana watanzania nu waoga na mbumbumbu
Kuendesha gari ukiwa na uzuni yamkini ya kupata ajali ni kubwa sana kuliko uchovu.utafiti uliokutolewa na wataalamu unadai ajari za barabarani asilimia kubwa zinasababishwa na vitu viwili uzuni na uchovu.Hivi ukipigwa faini na police mara nne kwa siku si utapata uzuni ,kwahiyo yamkini ya kupata...
Nimeangalia tv ya Rwanda Rais wao akiwaonya wanyarwanda kwamba hatakubali mtu wa kurudisha nyuma nchi hiyo miaka 100 nyuma.Hivi viongozi wetu wanatupeleka mbele au nyuma.
Ili nchi ipige hatua lazina ujali muda ,kiongozi anaweza kujisifia kuwa amepunguza muda wa kutoka Kimara mpaka posta kutosa...
Watanzania wengi hatujitambui na bahati ni watanzania kidogo walio na huruma kwa wenzao. Nimeendesha gari toka Arusha kwenda Ngara, nilipofika Babati nikasimamishwa na polisi akasema umepita kibao cha 50 ukiwa na 54 faini 30,000 nikalipa.
Nikatembea taratibu sana kufika Dareda nikakutana na...
Walokole wanadai wanamwomba Yesu awapelekee naombi yao kwa Mungu mwenyezi.Na wanapiga kelele na kunena kama vichaa,kiasi cha kuwaombea kifo.
Kwakuwa shetani wanayetwambia yupo na wala hajawai kuonekana na wala hana mafundisho yake naomba niwe mfuasi wake maana hana kelele hajawai kuitisha...
Kwakweli hatulali ,naomba serikali tukufu iwapige marufuku wachungaji wa kilokole wanavyoondesha kelele kwa kutumia vipaza sauti vikubwa ni wasumbufu kama siafu.
Naomba serikali itenge poli au kisiwa wakae huko maana tunashindwa kupunzika na kufikiri namna ya kuongeza kipato.
Kwa watanzania asilimia 80 ni wanafiki ,wakatili,wasiopenda Maendeleo ya MTU.
Speed 80 km/hr ni upuuzi. Polisi, SUMATRA wanaweka matuta barabarani pamoja na vibao vya speed ni wanafiki.
Mtukufu Rais naomba upande basi toka Dar mpaka Dodoma uone kama mwendo wa kinyonga ni sahihi?
Nimekutana na neno ili limeandikwa kwenye Hiece zaidi ya tano Arusha.
Lingine limeandikwa Roho zetu Mafie.
Naomba wanajamvi kwenye uelewa anijuze.karibu
Sins shaka Manispaa ya Kinondoni,Ilala wanafanya vizuri na ni mfano wa kuigwa.Halmashauri ya Arusha wako vizuri sana.Kuna Halmashauri haijawai kumaliza kikao ni asubuhi mpaka SAA 5 usiku,matusi na kejeri ndicho kinachojiri ,chadema fuatilieni madiwani wetu tuwafundishe utawala bora,kwakweli ni aibu.
Kuna Halmashauri tatu nchini lazima zivunjwe kutokana na viongozi kuwa vichaa.sins budi kuzitaja zinaeleweka,vikao mpaka SAA NNE usiku.kuanza kikao baada ya SAA NNE ni SAA saba ,hawaongelei Maendeleo Bali fitina.
Rais vunja Halmashauri hizi.
Kilichoko Meru Dc na Arusha Dc kinatisha.Madiwani wanakaa na kuazimia kuondoa mtumishi yoyote ambaye hakubaliani na matakwa yao,wanafanya vituko vya kufedheesha jamii.watendaji wa kata hawatakiwi na madiwani ,wakuu wa Idara hawatakiwi na madiwani ,yaani ni shiida.Mkuu wa wilaya Arumeru ameitisha...
Ukiendesha gari katika jiji la Dar es salaam labda uwe malaika ,traffic akikukaribia ni elfu therathini tu adhabu.ataanza leta lesseni ukimpa,leta kadi ya gari ukimpa ,fire extinguisher,triangle kabla hajamaliza faini.
Mwingine anakwambia kwanini ujanyoa ndevu faini.yaani nchi sasa ni...
Nilipata kutembelea highway moja inayounganisha Singapore na Malaysia, utakiwi kwenda chini ya km 110 mabasi kweli yanakimbia. Kwakweli duniani ukisikia highway kuwa makini unapoingia kwenye barabara hizo. Hapa Tanzania kuna vibao vya 50Km/hr zaidi ya 120 kutoka Dar_Arusha, ukiangalia logic ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.