Unamkata mfanyakazi 15% ya mkopo huku akiwa na mshahara wa Ths. 350,000.00 baada ya mikopo benki anabaki na Tshs. 200,000.00 .Unatarajia akufundishie Watanzania walalahoi ,mmmmmh serikali itasubiri sana.
Ndugu yangu ana minyoo ya Trichiura (Roundworms), anawashwa mkunduni anajikuna sana. Amepoteza weight. Ametumia kila aina ya dawa zisizokuwa na idadi kutoka kila nchi no relief. Madaktari wa Tanzania hawana msaada kwake. Ni zaidi ya mwaka sasa .Za mitishamba ndo kabisaa. Je, afanyeje msaada...
Biinzi ni makamasi. Kama kweli kichwa changu kina makamasi naomba ukosoe kisomi kwa faida ya wenzetu. Watusi wanatokea wapi kihistoria? wewe utakuwa Mhaya punguani asiyujua chochote kazi kuvaa miwani na kufunga suruali tumboni while having nothing on your upstair and on your pocket.
Sura siyo ya Kinyarwanda ni ya Ki "Tutsi" maana watutsi wapo East, Central and Nothern Africa. Wanaitwa ''Nilo Himites" someni historia Watanzania mnatia kinyaa. Watutsi wamejaa Bukoba, Uganda, Rwanda ,Burundi na Kongo.
Kamachumu Ndolage hospital ndugu zake wanaishi hapo wengine wanishi Kyaka. Mwingine dada ake anafanya kazi serikalini kama afisa Maendeleo ya jamii Mkoani Tabora
Kachemka ndilo neno sahihi. Ajaribu kudandangya wajinga lakini kakosea sana tu kwani hapo awali hutukuwa na shida na sukari. Tulizoea bei yetu ya 2,000, 2,200 na 1,900/= mpaka 1,850/=. JPM ndiye alotengeneza tatizo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.