Tulitoa taarifa uhamiaji tena kwa viongozi wakubwa wenye dhamana ya uwwpo wa wahamiaji haramu na mahali walipo, wakatoa gari tukawapeleka kwenye hizo nyumba hakuna hatua yeyote walio chukua, tunahofia usalama wetu maana wale wahamiaji wameshatujua, mwingine alipigwa PI kipindi mwigulu akiwa...
Baada ya ule msamaha wa kwanza ulikaa miaka mitano bila kwenda nyumbani kumuona baba yako halafu bado hujui kosa lako, ndio maana mama yako aliachwa na baba yako nadhani naye alikua na akili kama zako
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sasa kumbukumbu la torati lina tuhusu nini sisi watu weusi wa hapa Africa mashariki Jamani baadhi yetu tumesha shtukia mchezo
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Watoto ni wa kwetu sote , yeye hanywi hiyo chai , basi yeye kunywa hiyo chai ndio mchango wake. Turudi kwenye asili ya Mungu wetu
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Kuna mawazo tofauti ya kulea watoto kutokana na hadhi ya walezi/wazazi
Wazazi pekee wana namna yao ndio hiyo ya kutokuadhibu mtoto ili kumfidia upendo. Na pia huwa hawawapi watoto kazi yeyote ya mikono na wamejipa jukumu la kufikiri kwa niaba ya watoto.
Halafu wazazi wanaoishi pamoja wao wana...
Sheria hii ipo Tanzania tu tena ni kwa ajili ya watu masikini pekee, wafanyabiashara wakubwa haiwahusu hii, na wawekezaji aka wachukuaji kutoka nje haiwahusu.
Mkoloni mweusi ni hatari
Jack aliyefiwa na anayedai kua mumewe awe makini, ule utajiri ulipatikana kwa jitiada za pamoja kati ya marehemu na watoto wa mke mkubwa asitegemee sheria tu kumlinda /kutafuta haki atambue kua there is different between actual right and legal right, naomba kuwasilisha
Kingine kenya ni salama kwa wawekezaji hata mifumo ya utoaji haki ipo wazi na inatabirika huwezi kuta mahakama moja tena ya juu kabisa inatoa hukumu mbili kwa suala moja linalohusisha wadaawa walewale
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.