Search results

  1. Kiumbemwanadamu

    Lowassa na Kiingereza chake!

    Uongozi haupimwi kwa kuongea bali vitendo. Wa kale wanasema "action speaks louder than word"
  2. Kiumbemwanadamu

    Kenya declares war on Al Shabaab!

    Hitler alisema, "waisrael ambao wamebaki watatoa jibu kwa nini nilikuwa nawaua kwa halaiki". Dunia ilipo sasa ni matokeo ya nguvu ya israel. Wao ndio wanaamua nini kifanyike na wakati gani.
  3. Kiumbemwanadamu

    Ghana Parliament Reject Legalisation Of Homosexuality

    Ipitishwe sheria ikithibitika mtu ni shoga na APIGWE RISASI HADI AFE.
  4. Kiumbemwanadamu

    Naacha rasmi kununua na kulisoma Tanzania Daima hadi wazidishe uzalendo wao kwa Tanzania

    Mwache Mwanakijiji azungumze. Huna sababu ya kubaki na msimamo wa jibu alilokupa wewe. Mwache atujuze mwenyewe.
  5. Kiumbemwanadamu

    Elections 2010 ZNZ ikitafakari juu ya ajenda ya utaifa wake, Ajenda 5 ilizotunga Tanganyika kuimaliza Zanzibar

    Ni kweli kama si kuichukua zanzibar leo tungekuwa na mgogoro mkubwa. Kuna taarifa kuwa km 10 kutoka pwani ya tanga, dar, bagamoyo lindi na mtwara lilikuwa eneo la sultani wa zanzibar. Hivyo kama si muungano ingekuwa mgogoro leo hii. Nyerere aliangalia mbele sana. Ni vema kuimeza zanzibar na...
  6. Kiumbemwanadamu

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    To what they said Tripol and Ghadaffi's home place
  7. Kiumbemwanadamu

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    We can speak out loudly after Idd el Fitri, This Ghadaffi is in Ramadhan, since the first day of ramadhan he never fight and thats why the rebels advanced. Lets wait and see.
  8. Kiumbemwanadamu

    American colonialism

    haya ni mojawapo ya madhara ambayo yamefanywa na huu ukoloni mpya, watu kama hawa waliopungukiwa uwezo wa kufikiri na kutambua mambo rahisi kama haya. Huu ni upunguani wa mawazo. watu kama hawa wanatakiwa kuondolewa miongoni mwa G.T.
  9. Kiumbemwanadamu

    The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Kama kweli Walibya hawamtaki Ghadafi wangemtoa bila shida. lakini bado wanamtaka ndio maana inakuwa ngumu kumtoa. na kwa hakika atashinda vita dhidi ya nato
  10. Kiumbemwanadamu

    Upinzani andaeni maandamano nchi nzima kupinga yanayofanywa na serikali ya CCM

    CCM Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! Hoyeeeeeeee Nakumbuka enzi hizo tukiimbishwa kwenye mikutano ya chama cha majambazi. Doooooooooooooh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Ama kwelisikio la kufa halisikii dawa!
  11. Kiumbemwanadamu

    Ahsante mheshimiwa Zitto, lakini huyo ni mbuzi kwenye gunia!

    Watanzania tunakanganyana katika hili. Tofautisha POSHO YA KIKAO na MSHAHARA HALALI. Zitto anazungumzia POSHO. Wabunge wanayo mishahara yao halali vivyo hivyo kwa wafanyakazi wa Serikali. Hii Mishahara ndiyo inapaswa kuongezwa ili MFANYAKAZI awajibike katika kazi yake na Mbunge awajibike kwa...
  12. Kiumbemwanadamu

    Posho na Mishahara ya wabunge...

    Mbio za sakafuni . . . . . . . Nyakati ndio hizo hazisomeki . . . . . . . Raisi hajui nini anafanya hadi sasa. . . . . . . Inawezekana uchaguzi kabla 2015!
  13. Kiumbemwanadamu

    Miezi sita ya Godbless Lema Bungeni

    Inaonyesha uwezo wa ubongo kupambanua ni mdogo. Huduma kwa wananchi ipo vile vile hata awe nani yupo madarakani.
  14. Kiumbemwanadamu

    Msaada jamani hospital gani nzuri kwa watoto hapa dar?

    Mimi nakushauri kutokana na uzoefu wangu na watoto. Moja Kama ni kuharisha na kutapika fanya ifuatavyo, kwanza dalili zinaonyesha ni kuota kwa meno. 1. Badala ya kumpa chakula mnunulie matunda na umtengenezee Juice (machungwa na papai) 2. kama dawa amemaliza usimpe dawa nyingine hadi akamilishe...
  15. Kiumbemwanadamu

    Wabunge wetu wataka BANGI iruhusiwe kuuzwa kukuza uchumi

    Bangi imehalalishwa katika nchi kadhaa na nyingine zimetenga maeneo ya kuuza na kutumia bhangi. Colombia imeruhusiwa kabisa, vuta mahali popote. hivyo tukilima bangi itapata pa kupeleka na kwa wale wanaotumia hapa nchini watambuliwe kisheria.
  16. Kiumbemwanadamu

    Najiachiaaaaaa

    Wapo wengi wa aina yako, na wengine waliamua kuzaa kutunza na kuendelea kujiachia mpaka kesho. Kuoa au kuolewa ni hiyari binafsi lkn maisha unajiamulia upendacho.
  17. Kiumbemwanadamu

    Wanawake wa Kikenya

    Ndiyo Maana Wazee walisisitiza kuoa/kuishi na mtu ambaye mnafanana taratibu za kiutamaduni. haya ni makosa yanayoletwa na muingiliano wa tamaduni uliopo sasa. Pia vitabu vinasema "tuishi na wanawake kwa akili" vile unavyomjenga mwanzo ndivyo atakavyokuwa mbeleni. Unaweza kumtengeneza mwanamke wa...
  18. Kiumbemwanadamu

    Swali kuhusu mtoto

    Punguani wewe
  19. Kiumbemwanadamu

    Gamba Linapo Goma Kuvuka

    Wanachojaribu ccm kukifanya hakiwezekani, kumtenganisha rais na gamba si kitu rahisi, kumbuka alisema hawajakutana barabarani, gamba likitoka ni hatari kuliko ilivyo sasa. kumbukeni lowasa anataka kugomea uraisi 2015, akitolewa cc na nec atawezaje kupambana? na lowasa ana kila kitu cha kumweka...
  20. Kiumbemwanadamu

    Modems on sale

    Hapo kwa blue, nitapataje huduma? nina modem ya zantel na ninaishi kilimanjaro.
Back
Top Bottom