Search results

  1. M

    Phillip Mpango sawa lakini Charles Kimei hapana, labda Mwigulu Nchemba

    Hakuna mwenye uhakika wa kuzika mwenzie.
  2. M

    Dkt. Slaa: Kipaumbele cha Hayati Rais Magufuli kilikuwa kuwainua Watanzania

    Nadhani huyu alimaanisha alivyosema Dr Slaa 2010. Kwamba alisema "standard g" si umeme.
  3. M

    Rufaa ya kina Mdee mbele ya Baraza Kuu dhidi ya Kamati Kuu CHADEMA: Kicheko kwa G19, Kilio kwa kina Mbowe

    Ndio wanataka waruhusiwe kwenda bungeni kuendelea kutetea hayo uliyosema.
  4. M

    Pole na samahani sana wananchi wa Uganda

    Nadhani wale wameshakamilisha mambo ya umeme, barabara, maji n. k., hivyo wanayo pesa ya kutosha kutoa posho hizo.
  5. M

    Bunge likutane haraka kuondoa ukomo wa mgombea Urais Tanzania

    Huyu usihangaike naye, hamaanishi anachosema maana yuko upande wako.
  6. M

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu na Salamu za Krismas: Mwaka 2020 ulikuwa mwaka mgumu na wenye machungu mengi kwa nchi na wananchi wetu

    Mwenyewe kasema sikukuu hii inahusu na moyo wa kusamehe. Sasa wewe mbona unawatenga wengine! ?
  7. M

    Umoja wa Ulaya (EU) watoa msaada wa bilioni 84 kwa Tanzania kuisaidia kusambaza umeme Vijijini na kwenda Zambia

    Ee mwenyezi Mungu, gusa moyo wa kijana huyu, ulainishe na ponya majeraha yake. Amen.
  8. M

    Mwita Waitara: Jembe lililopindua meza kibabe, CHADEMA hawatasahau

    Pengine hakukimbia bali shoka lilipelekwa kwenye mti mgumu zaidi.
  9. M

    Polepole fuata sheria za kazi, saa 3 usiku siyo muda wa kazi

    Nadhani na yeye ana familia. Ni vyema kuwa na moyo wa kujitolea kwa manufaa ya taifa. Tuwaombee wasichoke.
  10. M

    Baraza Jipya la Mawaziri 2020: Hizi ndizo kasoro kuu 3 ninazoziona

    Akimteua mtu kisha huyo mtu akabadili dini amtengue?
  11. M

    ACT-Wazalendo kushiriki SUK: Maoni ya Tundu Lissu

    Mgeandamana kupinga kukamatwa kwa viongozi ingesaidia kuleta hamasa.
  12. M

    Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

    Dini yake inakataza vinyongo. Asiposamehe hatasamehewa.
  13. M

    Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

    Kuna wale masikio ya kufa hayasikii dawa.
  14. M

    Hivi kuna watu wanaiamini CHADEMA?

    Umemuonea, huyu siye aliyeleta juu uzi (halafu mama yake haya hayamuhusu ).
  15. M

    Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

    Sawa, ila nadhani si kila mtu atakubali uchome nyumba yake ili kumsaidia kuua nyoka.
  16. M

    Dkt. Slaa: Bunge la Ulaya limetuhukumu Tanzania bila kusikilizwa (2019 Video)

    Nadhani ni vyema kujifunza kutokana na makosa. Kosa la kususa bunge lilitumika kunogesha kampeni mwaka huu. Hili la kuita vikwazo laweza kutumika kampeni za 2025. Wanaweza kuwaambia wapiga kura kuwa chama fulani kilitaka tufe kwa njaa, n. k.
  17. M

    Kwanini Halima Mdee na wenzake ni lazima wafukuzwe?

    Mimi? Dawa watakunywa wanaoumwa. Mimi niliuliza tu. Kuuliza si ujinga.
  18. M

    Kwanini Halima Mdee na wenzake ni lazima wafukuzwe?

    Mbona mwenye kukiandika hajawahi kuwa raisi? Au ndio yale ya mfinyanzi hulia gaeni, kinyozi hajinyoi , mganga hajigangi.
Back
Top Bottom