Search results

  1. Mtego wa Noti

    Waziri Simbachawene: Uzushi kwamba Ndege ya Rais wa JMT inashikiliwa Dubai upuuzwe!

    Naona hapa nabishana na bumunda. Tumekuambia huyo Simbachawene wenu aseme ndege iko wapi na siyo blabla za picha
  2. Mtego wa Noti

    Waziri Simbachawene: Uzushi kwamba Ndege ya Rais wa JMT inashikiliwa Dubai upuuzwe!

    Kwani Google hizo taarifa anaingiza nani? We ni ndunduka kwelikweli
  3. Mtego wa Noti

    Waziri Simbachawene: Uzushi kwamba Ndege ya Rais wa JMT inashikiliwa Dubai upuuzwe!

    Hizi huwa ziko maktaba ya picha hivyo hatuwezi kuziamini. Yeye aseme iko wapi watu wakajionee wenyewe
  4. Mtego wa Noti

    Rais Samia: Sekta binafsi ni muhimu katika kukuza uchumi wa nchi yetu

    Naona hili tukio ni mahsusi kujibu suala la bandari. Ngoja tumsikilize
  5. Mtego wa Noti

    ROMA achana na muziki - Waziri

    Mbona mnafufua makaburi kwani kuna nini?
  6. Mtego wa Noti

    Nilikutana na Saddam mara mbili baada ya kupinduliwa

    Nimetamani sana hii simulizi halisi ya tukio la Saddam Hussein
  7. Mtego wa Noti

    Bank gani nzuri inayotoa card ya debit /Visa/ Master kwa ajili ya online perchasing?

    Kwa hiyo mpaka sasa 2023 ipi ni bank bora kwa kufungua akaunti ya dola na kupewa hizo Mastercards? Kati ya Equity na Crdb? Kuna bank inaitwa Stanbic bank miaka ya nyuma ilikuwa ukiweka dola unapotoa hela lazima dola 100 ibakie na hiyo hautakuja kuitoa kamwe. Je hao Equity hawana ukora huo wa...
  8. Mtego wa Noti

    Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

    Hivi alikufa tarehe ngapi? Maana mambo ni mengi hata hatukumbushani tena
  9. Mtego wa Noti

    Baada ya kukamatwa mtoto was El Chapo, Zimepigwa Kinoma Mexico

    Duuh...basi patachimbika. Kwa hiyo hata akikamatwa mtoto bado wataibuka wengine kuendeleza
  10. Mtego wa Noti

    Baada ya kukamatwa mtoto was El Chapo, Zimepigwa Kinoma Mexico

    Anaendeleza kazi ya babake ya kuuza ngada?
  11. Mtego wa Noti

    Mkasa wa Kweli: Namna nilivyoshirikiana na baba kwenye shughuli za Kichawi

    Tiririka basi kama ile uliyomaliza jana
  12. Mtego wa Noti

    M23 waendelea kuachia maeneo kwa jeshi ya EAC

    Afadhali waendelee kujisalimisha tu
  13. Mtego wa Noti

    Kuna nini kinaendelea?

    Labda wanaenda kumbembeleza Suma
  14. Mtego wa Noti

    Mapigano yanayoendelea DR Congo kati ya majeshi ya Congo (FARDC) na waasi wa M23

    Unachanganya vitu mkuu. Watutsi waliingia hizo nchi wakiwakuta wahutu na watwa wakiwa wanaishi kitambo sana
  15. Mtego wa Noti

    Mapigano yanayoendelea DR Congo kati ya majeshi ya Congo (FARDC) na waasi wa M23

    Napenda uwasilishaji wako sema sasa ungejitahidi kufafanua kuliko kuuliza vimaswali na kuviacha hewani. Jitahidi uwe kama imhotep haulizi na kuacha mada hewani bali anafafanua. Mambo kama unajua kilitokea kitu gani 1959 hayalisaidii jukwaa hili
  16. Mtego wa Noti

    Mapigano yanayoendelea DR Congo kati ya majeshi ya Congo (FARDC) na waasi wa M23

    Waliosababisha mauwaji ya kimbali kutokea na kundi RPF chini ya Kagame waliotungua ndege iliyokuwa imewabeba Marais wawili yaani Habyalimana na yule wa BURUNDI hapo Kanombe ndio sasa wafuasi wa Habyalimana nao wakalipuka kujibu mashambulizi. Kama Rais Habyalimana asingeuwawa kusingetokea yale...
  17. Mtego wa Noti

    Mapigano yanayoendelea DR Congo kati ya majeshi ya Congo (FARDC) na waasi wa M23

    Michango yako naikubali sana maana imejaa ukweli na siyo propaganda kama za jamaa imhotep
Back
Top Bottom