Search results

  1. L

    Swali gani gumu ulilowahi ulizwa na mtoto mdogo?

    Mwanangu akiwa mafundisho ya dini, walisoma amri 10 za Mungu, aliniuliza maana ya amri ya 7 isemayo "Usizini"
  2. L

    Yupo wapi mwanamama Advera Senso/Bulimba?

    "Nilimpenda sana yule mama hasa alivokuwa akicheza na microphones"
  3. L

    Wazo Korofishi: Magufuli Amuondoe Makonda Aende akawe Mwinjilisti!

    Kuna jamaa alivaa kanzu halafu akaenda kula kiti moto maeneo husika. Wenye imani yao hawakumkawiza, ilibidi aivue kanzu na kubaki tumbo wazi.
  4. L

    Natamani Misiba ya Wahaya iwe mingi kwani inatusaidia sana Kuimarisha Afya zetu kwa Vyakula na Kuoka Bajeti zetu za Kimaisha

    Miaka ya 80 mpk 90+, alifariki mkulya mwenye title yake huko maeneo ya Masaki kama sio Mikocheni. Kulikuwa na vyakula vya kutosha na vinywaji (bia za hapo ilala TBL za chupa) kwa wingi. Mara paap tajiri RUGEMARILA akatia timu pale msibani akaanza kupiga yowe! eti mama yangu weee hapa mahali sio...
  5. L

    Baba yangu ni mkatili. Ananifukuza na sina pa kulalamika, nabaki na huzuni

    Fasihi andishi ngumu sana, Mwandishi kajaribu kuelezea kifasihi jinsi wafanyabiashara wa korosho.
  6. L

    Madaktari wamponda Kibonde kupitia mtandao wa FB

    Mwaka huo ma Daktari Tanzania waligoma wakiongozwa na m/kiti wao Ulimboka. M. Mgomo huo ulitaabisha wagonjwa ktk hospital nyingi za serikali na uliisha baada ya kutekwa Ulimboka na kuokotwa msitu wa mabwepande akiwa hoi. Ndugu E.Kibonde alisikika redioni akiwasema vibaya sana ma Dr, ndio nao...
  7. L

    Msaada tafadhari wa tiba ya 'Ingrown toenails'

    Kama mada isemavyo, naomba msaada wa tiba ya 'Ingrown toenails'. Ni kwamba kucha za vidole gumba vya miguuni zikikua huwa zina kata nyama za kidoleni kadri zinavyorefuka hasa upande wa ndani ya kidole. Nilijaribu kuziacha zirefuke ili zipite juu ya nyama ya kidole lakini hali ikawa mbaya kwa...
  8. L

    Serikali yamfungia Msanii kwa kuweka picha ya utupu Mtandaoni, na BASATA yawataka watayarishaji wa Muziki wajisajili

    Katika nyuzi ambazo wachangiaji hawalalamiki ku quote nyuzi yote ni hii. Utafiti huu sio rasmi.
  9. L

    Aliyekuwa Padre Kanisa Katoliki, Privatus Karugendo afunga ndoa!

    Pamoja na kwamba alisimamishwa upadri lakini machapisho na makala zake hujitambulisha kwa kuanza na neno padri kabla ya majina yake, je hii imekaaje?
  10. L

    Dereva wangu, Hii ni Scania 113H- 310, tuliza akili

    Mleta mada kumbuka huyo dereva ana ka uzoefu na barabara zote nchini, kwani ndiye yeye ameshiriki kiasi kikubwa kuzifanya ziwe kiwango cha lami na alituahidi tutaweza kusafiri kwa gari toka Jo'burg mpaka Cairo. Zaidi hiyo 113H siyo ya maspringi kama ile aliyopokea mzee wa Mso oga hii ni kitu...
  11. L

    JamiiForums ukihitaji POVU, fanya haya..

    6. Quote uzi mzima kama story za The Bold, povu lake la kudekia barabara.
  12. L

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Makamba alidiriki kusema, “Nape hana pa kwenda; hakuna kukata rufaa. Amehukumiwa duniani na mbinguni.”
  13. L

    Enzi zetu: Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati

    Kumbe mchongo ni la kitambo!
  14. L

    Mwanaume akishakupata baada ya muda mfupi upendo wote wa awali hupungua

    Kuna jamaa yangu mmoja huwa anasema samaki akinasa kwa ndoano hapewi chambo tena
  15. L

    Sheria 13 za mpira wakati tukiwa watoto

    Ukipiga mpira dochi huchezi tena mpaka usamehewe
  16. L

    Mifereji ya Dhahabu: Pasipo Silaha, Chuki wala Ukatili

    The Bold umetishaa kwa kuleta story kali. Nashawishika pia kuamini kuna uhusika wa inner circle ktk tukio hilo, sababu je mpango wa AS kutoroka ulipangwa na nani!
  17. L

    Msaada: Najua natembea na changudoa, lakini kumuacha siwezi

    Akikupiga ngumi ya sikio na wewe mpige ngumi ya macho, akikuuliza unasikiaje na wewe muulize unaonaje. Ndugu na wewe tafuta demu mwingine tena awe changu full stop.
  18. L

    Ben Saanane: Kama watu wameficha fedha majumbani, TRA wanapata wapi makusanyo mnayodai yameongezeka?

    Utabiri wa mabadiliko ya picha ya mnyama katika noti kuwa ya mtu.
  19. L

    Weekend Story: You Can't Handle The Truth

    Tena Iqra ni ndugu yao, je unamkumbuka mama yake Iqra?
  20. L

    Daraja Jipya la Kigamboni, kamera 4 zishaibiwa

    Wabongo kwa wizi balaa, mashine yenyewe ya kukamata wezi pia ili ibwa.
Back
Top Bottom