Search results

  1. JUAN MANUEL

    Nimeaibika sana leo, nimejamba kikaoni mbele ya Binti nayempenda

    Na Hilo ni jambo lq kusikitika? Wewe upo chuoni, au boarding shule ya secondary!?
  2. JUAN MANUEL

    Ruge Mutahaba, Efrahim Kibonde, Gardner G. Team Kataa ndoa tuna la kujifunza kwenu, tutawaenzi daima

    Kwa kila mfano wa, ndoa, mbaya,IPO ndoa nzuri, Bil nas, na, Nandi, mwanafa, mzee mengi, Samuel Sita, lowasa, lisu wote hawa wana ndoa na, zipo poa
  3. JUAN MANUEL

    Sioni haja ya kwenda chuo

    Unabaki na pesa, huna elimu, na hiyo pesa, unaipata wapi ya, kufanya biashara,!? Wazazi, wako,wanakupatia? Just like that, yaani mtoto wa miaka, 22,wazazi, wakupatie milioni 10,ufsnye biashara ufanye biashara baadala ya, kukulipia Ada ya chuo?! Nadharia, tupu! Kwanza, hiyo ten M, hqipatikani...
  4. JUAN MANUEL

    Wairan 8000 ni Wayahudi

    Aaaa you wish! Ni sawa na kusema wakristo wa zenj,saudia,misri wanajivunia kuwa na uraia wa nchi zao!we know better Madame!
  5. JUAN MANUEL

    Mchungaji Mbarikiwa: Kilichokutuma Christina Shusho ni umalaya tu hakuna huduma hapo

    Kama alikuwa ananyanyasika, mlitqka afe na tai shingoni? Sie wanaume wa kiafrika, tunajuana, tunapenda wanawake wawe chini yetu kama watumwa! Wajameni, ukiwa, na, mke mama wa, nyymbni, jinsi unavyomtuma akuletee ghahawa, chai, chakula, akupelekee maji bafuni, siku akiwa CEO wa, kampuni, au awe...
  6. JUAN MANUEL

    Angalia jinsi Kagame anavyoionesha duniani kuwa nchi yake ina watu wenye akili, elimu na uwezo mkubwa wa kufikiri kushinda waisrael

    Propaganda hizi ni upuuzi, tu, Rwanda ni maskini tu, Kagame amejitahidi kuiweka nchi pazuri, lakini bado sana, hao Watusi wenye akili wamevumbua nini? Ni wa babe wa bidhaa gani? Vietnam wana halotel, IPO dunia nzima, Taiwan wanaongoza kwa kutengeneza electronic chips, Israel wana tekinolojia...
  7. JUAN MANUEL

    Jokate: Fomu ya urais ni moja tu

    Sasa, hv kila mtu ni chawa tu, wasomi, vilaza,wote ni shida tu
  8. JUAN MANUEL

    Albert Chalamila atishia kumuweka ndani mkandarasi wa Mwendokasi

    Nchi imejaa viongozi vichaa watupu, unamuwekaje ndani mchina aliyekupa mkopo wa kujenga hiyo miundombinu? Pesa inatoka china, mkandarasi katoka china, kwa ufupi mchina anatusaidia! Sasa unamuwekaje ndani mkandarasi wake? Siasa za kipuuzi hizi! Hii ni sawa, na mtu anakudai bilioni kumi, harafu...
  9. JUAN MANUEL

    Vijana wa siku hizi ni wavivu na wanachagua kazi

    Usilinganishe kizazi hiki na sie wahenga, hiki ni kizazi, kinachotaka Mambo yaende fasts(inawezekana) jamii inawakosea sana vijana wa 1998 kuja juu
  10. JUAN MANUEL

    Mtalii kutoka Marekani aichana makavu Tanzania kwenye Luninga

    Mchawi ni ccm, wanajua w anachokifanya, kama kwa uzwazwa wetu huu, tumeweza kuwa na chadema, na tundulisu mmoja, na tunawachachafya ma ccm mpaka sasa hv yanatishia kutupoteza hadharani! Fikiria nchi ikifunguka, tukawa na Tundu lisu 20! Si yatakufa kihoro!
  11. JUAN MANUEL

    Wavuliwa Medali kwa kumuachia Mchina ashinde riadha

    Hizi njaa hizi, hapo waliaidiwa pesa ndefu, na huyu mmoja, bila kujua anaweza kuonekana kwenye camera, anamsisitiza mchina,aje upande huu, anampisha kabisa
  12. JUAN MANUEL

    Watu wengi tumekua na kulelewa pamoja ila sasa hatuzungumzi

    Tena wale wa tumbo moja, ndio balaa, nimewahi kutimuliwa na ndugu yangu nyumbani kwake, tena nyumba niliyomsaidia milioni 10 yq kuanzia kujenga! Sikuwahi kuidai! Hapo ndio nilipoamini wahenga waliposema, ndugu ni kufaana sio kufanana! Changamoto za maisha, na malezi sana sana yq kiafrika, swala...
  13. JUAN MANUEL

    Hayati Magufuli alikuwa sahihi kwenye kupinga demokrasia hii tunayohubiri kwa ushahidi kinachotokea sasa kwenye siasa zetu

    Acha ujinga,hapa, kwetu wanasiasa ni wezi, na ma fisadi, hawataki watu waongee na kukosoa ili waibe na mazambi Yao yasionekane, hii nadharia yako hebu jaribu kuwaambia wa Senegal uone kama watakuelewa, kuongea kwao ndio kumesababisha demokrasia ikashinda ikamtoa dikiteta madarakani, Tofsuti na...
  14. JUAN MANUEL

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Vikwazo hivyoooo naviona,wazenj msisahau mfumo wenu wa CCTV camera hapo unguja mjini, unamirikiwa na israel
  15. JUAN MANUEL

    Nipe ratiba ya mstaafu aliyekaribu nawe

    Hii lazima uzikwe mapema! Unatakiwa kufanya kazi(sio ajira) mpaka siku unakuta, au, uwe kikongwe kabisa, lakini Kati ya 60 mpaka 77! Kama, afya inaruhusu, shughulisha mwili, gym kidogo, kutembea, shamba, au, mifugo, usikae ndani, ni hatari! Ninafanya kazi, na mtu wa miaka 62! Yupo makini, ana...
  16. JUAN MANUEL

    Ukitaka kujua hii nchi bado iko kwenye lindi la umaskini angalia aina vyakula vinavyopikwa/kuuzwa mitaani!

    Kwa, kila tsh 100 tunayokusanya, tsh 47 ni mishahara, matumizi ya kawaida, 60 tunalipa madeni,hapo kuna nakisi ya tsh 7,lazima tukope kujenga balabala nk
  17. JUAN MANUEL

    Ushauri kwa watu wote walioajiriwa

    Namba 5,nimekuvulia kofia,Ila hapo namba 11,ustaafu ukiwa Kati 40 na 50! Bro!!! Bongo hii hii au ulaya? Unamaliza shule at 24yrs to 27,mpaka upate ajira, uoe ujenge, imefika 40! Firstborn hata kumaliza chuo bado! Cha muhimu ni kujipanga, nipo shirika moja la ulaya, watu wanastasfu at 60!, lakini...
  18. JUAN MANUEL

    Rais Samia kutunukiwa Udaktari wa heshima katika Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Ankara Uturuki

    Waturuki ndio wana tender yq, bwawa la nyerere, waturuki wamejazana Kigamboni, waturuki ndio watakula tender ya mwendokasi! Hizo, tuzo, hazina,maana, yoyote maana huyo aliyepewa hata masters ya kitu chochote hana! Hizo, tuzo ni sawa na alizokuwa anapewa idi amin, au Mobutu, huku nyuma wanaiba!
  19. JUAN MANUEL

    Ni katika eneo gani tumefanya vizuri sana kama nchi?

    China wanatafuta ukubwa, kupitia manufacturing industries, wanahakikisha wanaweza kutngeneza chochote duniani, India kwenye technologies nk, America, ulaya, military and technology industries, Afrika haijulikani tunatafuta ukubwa katika nini! Labda, kukata mauno insta, kuteua na kupangua, na...
Back
Top Bottom