Mimi ni mtumiaji mkubwa sana wa Internet, nimewahi kupitia kila aina ya changamoto za internet hapa Tanzania. Hayo maelezo nayaunga mkono asilimia 100. Na tujiandae ikija 5G watu watalia zaidi. Kitu msichokijua ni kwamba 4G ya Tanxania ni xaidi ya 4G ya nchi nyingi barani Africa. Tuna 4G+...
Shindano lilishapita nashukuru kwa maana kwa comment hii tu ni zaidi ya kura. Maxence Melo wakati mwingine mfumo wa kupiga kura uwe vizuri safari hii ulisumbua wengi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.