Search results

  1. D

    Mazishi ya Kulola kufanyika Jumatano wiki ijayo

    kwa wakati huu ni vyema tungepata taarifa kutoka kwa msemaji maalumu wa familia au aliyeteuliwa kwa ajili ya kutoa taarifa rasmi kwa umma. ili tuwe na taarifa sahihi.
  2. D

    Hatari,Vodacom M-PESA si salama

    nami pia ni mhanga wa hili. toka tarehe 15/02/2013 hadi leo sijapata 60,000/= zangu nilizozitoa kwa kupewa namba isiyo sahihi na wakala. pamoja na kupiga simu saaaana,niliishia kuambiwa msumbufu na kashfa mbalimbali kutoka kwa wahudumu wa vodacom. kama tcra watapita humu basi watupe njia ya...
  3. D

    Udikteta wa Kagame usithubutu kuichezea Tanzania

    Mungu ninayekuabudu,mwingi wa amani,iponye tanzania.iponye africa mashariki,iponye africa na vita vya wenyewe kwa wenyewe. waondoe viongozi wenye hila,waliojaa chuki,wivu,chokochoko,wasio na uvumilivu au unyenyekevu,wanaopenda sifa na majivuno,waliokosa subira.Mungu tupe amani,umoja na amani...
  4. D

    Nchimbi adanganya bunge kuhusu Mtwara

    hivi huyu aliyetoa thread hii,!,ni kweli hajasikia kuwa waziri katamka madhara yaliyotokea ni pamoja na mtu mmoja kufa? ndugu kupotosha pia ni DHAMBİ.
  5. D

    M pesa kuna tatizo gani ?

    Uko wizi wa chinichini mpesa.mi nilipewa namba isiyo sahihi na wakala wakati natoa fedha.badala yake kiasi cha sh.60,000/= nilichotoa kikaenda kwa wakala mwingine.nimewataarifu vodacom (15366) muda uleule tukio lilipotokea yaani 15/02/2013...!wananizungusha tuuuu.mara wanasema wakala hapokei...
  6. D

    acces bank

    Kumbukeni graduates,HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA.Hakuna aliyefanikiwa bila kuanzia chini.hata bakhresa alianzia kushona viatu,Mengi alianzia kuuza gololi za pen(bic)!!.Kubali kuanzia chini na uwe na ndoto ya kufika juu,..,.Kazi yeyote halali ina faida kubwa kuliko kutokuwa na kazi! Msikate...
  7. D

    Wizi mkubwa waja Tanzania

    looh.kumbe! kwa kuwa Mungu hapendi wizi,watajificha kwa wanaadamu.ila Mungu atawaumbua lazima.
  8. D

    Nafanya kazi na nimeajiriwa ila ni ngumu balaa nataka hata kuacha japo sijapata ingine

    kazi ni mbaya unapokuwa nayo. ndugu usiache kazi bila kupata kazi nyingine.
  9. D

    hivi kwanini WATANZANIA tunapenda kujiringanisha na MAREKANI au UINGEREZA?

    huwa nakereheka sana ninapomsikia mtu akichanganya "r" na "l". 'kujilinganisha' is not equal to 'kujiringanisha'
  10. D

    Kazi ya kununua ilo

    ukishatoa hiyo rushwa kisha utirudishaje? watanzania mwogopeni Mungu.rushwa ni dhambi tena adui wa maendeleo. ukishapata kazi kwa rushwa nawe utatoa kazi kwa rushwa.kisha utaendelea kupanda mbegu hiyo kwa wengine. wewe ni mtu wa kuogopwa kama ukoma.rushwa sio jambo la kujadili ni la kuepukwa...
  11. D

    Simba sc V/s Toto African: Live updates from National Stadium

    matokeo vipi.simba kashindwa ngapi?
  12. D

    PPF yamfukuza kinara wa kuomba rushwa

    nssf ubungo wandungu ndo inatisha. kwanza hapo mapokezi hawana kauli nzuri na wala hawajali wayeja wao. pia rushwa nimaisha yao.kuna rafiki yangu alinisimulia aliombwa rushwa ma kiongozi mmoja.akapata mafao yake ndani ya wiki moja. kuna mtandao mpana sana. ila hata kma serikali haitaki...
  13. D

    Madudu ya wahitimu vyuo vikuu.

    mh..na matatizo ya kuchanganya "r" na "l" pia tutasingizia nini? mpaka waandishi wa habari na watangazaji wa radio/tv
  14. D

    Maandamano ya waislamu yazuiwa

    we umeenda shule vizuri na uislam unaujua.
  15. D

    Udini: Mwalimu Mkuu na wanafunzi wa Kikristo wakimbia shule Bagamoyo kuhofia maisha

    mdogo wangu anasoma hapo bagamoyo.gazeti la nipashe halijakosea kitu.yaliyosemwa ni kweli. kuna mgogoro kati ya waislam na wakristo.dogo pia alirudi toka j3. ishu ni kwamba al kaida wanaanza kupanda mbegu ya chuki mashuleni. hao wanafunzi wa kiislam wanashinda msikitini baada ya sala wanaanza...
  16. D

    Kwa nini sifanikiwi katika harakati zangu za kutafuta kazi?

    kuchanganya "r" and "l";hili nalo ni janga.tatizo ni waalim waliowafunza.! meanwhile: chukua idea ya Chakochangu.fikiri nje ya box.Utakuwa mwajiri badala ya kuajiriwa. usikate tamaa kamwe,utashinda
  17. D

    Baada ya Kiongozi wa UAMSHO kupatikana, SMZ yapiga marufuku Vipindi vyao vya Radio

    mbegu ya chuki na udini ilianza kupandwa mwaka 1985 wakati mihadhara ya kukashifiana ilipoanza kufanjika na serikali kutokuchukua hatua ama kwa makusudi au kwa uzembe.leo ni miaka 27 serikali ndo inavuna matunda yake.Mungu iponye Tanzania na machafuko.
  18. D

    Sheik Ponda ni janga lingine la kitaifa

    serikali haiwezi kukwepa lawama ya kumlinda huyu shekh.ameonekana ndiyo kinara wa kupanda mahubiri yenye kujenga uhasama chuki ubaguzi na yafananayo na hayo kwa muda mrefu.
  19. D

    Mwenye idea ya umeme mbadala nisaidie ideas please

    naweza kukusaidia lakini nieleweshe vyema.sijakuelewa kabisa unachotaka kufanya kama kipo kwenye theory au la
Back
Top Bottom