Search results

  1. M

    CCM Arusha kwatifuka: Mary Chatanda akataliwa; yeye asema "sing'oki"

    Damu za watu zisizo na hatia huwa hazimwagiki bure, huo ni mwanzo tu bado kule Tarime
  2. M

    Dr Slaa mgeni rasmi Kongamano la Wanafunzi Chuo Kikuu Cha Mzumbe Morogoro

    Hakuna shaka Mzumbe watabadilika na kuacha kushabikia chama mfuu
  3. M

    Chadema Iringa Mei 19, 2011: Picha na Matukio

    ZITTO umeona mbali, waache ccm wajizike wenyewe
  4. M

    Jk na 'sijui' na 'nashangaa' zake

    kituko kweli nyie mlikuwa hamjui?
  5. M

    Afande Sele amchana Kikwete kavukavu!

    Haka siyo ka mkuu ka nchi bali ni ka kuu ka kayaa
  6. M

    chadema ishukuru kupata wabunge 23!

    Hata wewe unaweza kugombea kupiyia ccm ukashinda tatizo liko wapi
  7. M

    Dr. Mwakyembe na Dr. Slaa watishiwa kuuawa

    are you detective. upatiwe ili iweje?
  8. M

    Maisha ya libya huwezi fananisha na nchi yoyote africa lakini wananchi wamesema .....

    Jana wakati nasikiliza BBC kuna mchambuzi mmoja toka Libya akawa anaelezea maisha ya wananchi wa Libya kwamba, ELIMU BORE BURE,AFYA BORA BURE, UMEME NA MAJI BURE NYUMBA UNAPEWA NA SERIKALI BURE,Na zipo nyumba kama 7000 hazina watu. Mchambuzi alienda mbali zaidi kwa kusema kuwa hadhi ya hospital...
  9. M

    Kwanini viongozi wa CHADEMA hawajaenda kuona wahanga?

    Mi nasema ushabiki kwani CDM ndo walikuwa wa kwanza kuliongelea hili suala bungeni, lakini Makinda akasema siyo jambo la dharula hivyo wao walijua kuwa litatokea, na ndio maana rais alikimbilia kuwapoza wahanga. Sasa kuna mtu anahoji mbona CDM hawajaonekana si kila mtu anayeenda Gongo la Mboto...
  10. M

    Who is Benson Bana?

    Regia Mtema alisema kuwa siku hizi huwezi tofautisha mtu mwenye Phd na fist Degree wote thinking capacity yao ni sawa tu alikuwa anaamanisha wasomi kama hawa akina Bana,wabunge wa ccm wakaomba mwongozo upuuzi tu
  11. M

    Nini kinachofanya JK asiteuwe RC mpaka leo??

    Jamani tumvumilia bado muda kidogo tu atukabidhi nchi yetu tuamue wenyewe kwani akiwateua kwa sasa itakuwa ni gharama mara mbili
  12. M

    Kwanini viongozi wa CHADEMA hawajaenda kuona wahanga?

    Acheni ushabiki wa kisiasa cdm waende au wasiende uzembe upo palepale, unaenda kuwapa watu pole wakati unajua wazi uwezekano wa kuzuia hayo maafa ulikuwa ndani ya serikali tawala, sasa unasema pole ukiungana na mafisadi ukijidai eti ni bahati mbaya wakati mwingine unafiki tuuache jamani
  13. M

    Watumishi wa umma 125,000/-; wanafunzi 300,000/= per month!

    acho uongo wewe,maposho kibao yanatoka wapi? mwalimu anamakongamano na semina za wapi, nesi, askari polisi magereza jwtz hizo semina wanafanyia wapi? na watumishi wengine wengi hizo posho wanazipata wapi?
  14. M

    Show ya Lema vs Pinda featuring Makinda

    Ngeleja mzee wa porojo, hebu tusubiri ripoti ya mpiganaji leo Pinda atatoke mlango wa nyuma
  15. M

    Msafara wa First Lady waua mmoja Ruvu

    pole ya nini wakati anajitakia kwani angekaa nyumbani kwake akampikia mumewe angepata hiyo ajali? kiherehere tu bora angekufa yeye kuliko huyu dreva anaacha pengo kwenye familia yake bila sababu ya msingi eti msafara wa Salma Kikwete
  16. M

    Mdee: Ni Enzi za 0 na 1

    mzee bila hekima na busara ni sawa na boga tu,kwani mazee mengi ya sisiem ni kama maboga tu
  17. M

    Waziri mkuu awachambua CHADEMA; Lema amtuhumu kudanganya

    Huyu mzee naye amekuwa mwongo, mwoga, mnafiki kazi kulia lia tu aende akafie zake huko na utoto wake wa ukulima
  18. M

    Bwana Kikwete, Lowassa hakuwa size yako

    LOWASA tunakusubiri 1015 utukomboe anza kubadilika achana na tamaaa, mali ulizonazo zinakutosha,lakini familia ya kikwete usiipe uongozi wowote hata wa nyumba kumi
  19. M

    Kikwete ajisafisha Dowans

    Huyu mwezi wake umefika kwani kuna watu huwa wanaugua kila mwisho wa mwezi:clap2::clap2::clap2:
  20. M

    Msekwa akiri fedha zimeigawa CCM

    Ni kweli Tanzania inahitaji kufumuliwa na kujengwa upya kama Tunisia kwani mfumo uliopo hauwezi kujirekebisha wenyewe hata uunde tume za maadili 100, kwani Rais anawateua ma DC, RC, MAKATIBU, WAKUU WA MASHIRIKA, MAWAZIRI, WAKUU WA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA, na wengine wengi, anapotokea DC...
Back
Top Bottom