Search results

  1. T

    Ni Kombani, Werema (Star tv) & Wassira, Nape (TBC)

    Hawa ni wakuteketeza failia yote kwani wameshawapandiza mpk watoto wao wananchi tuamue sio wa kuwaacha hawa wewe angalia hata bungeni walichofanya ccm ni kupitisha kila hoja na kuzima ya tundu lisu hawa watu ni hatari jamani
  2. T

    Kikwete adai tatizo ni ujamaa!

    Huyu Jk ana Mambo Mengi sana ya kujibu anawaona watanzania mabwege iko siku watu watamfuata rostam azizi na kumkatakata kama kitunguu
  3. T

    Elections 2010 kiasi fulani naanza kushawishika dr.migiro anajipanga kwa urais

    MimI napendekeza Prof Anna Tibaijuka ni kiongozi wa kweli kupita hata Dk slaa
  4. T

    Mugabe amepata makengeza!

    Hii ni salaam kwa dk slaa, na mbuge wake wa jimbo la ubungo huyu Diwani wenu wa kata ya sinza anakitia aibu chama na anakatisha tamaa kwa wapiga kura yeye anapenda pombe kuliko kazi hakuna jambo la maana analosimamia zaidi ya magomvi ya kwenye Bar mkalisheni huyo atatutia aibu 2015 tafadhari...
  5. T

    Napendekeza CCM ifutwe; sababu za kufuta CCM hizi hapa!

    NDUGU WANA JF HAWA CCM WAMEKUWA WATAFUNAJI WA MALI ZA UMA KILA MAHALI ANGALIA KWENYE SECTOR YA BARABARA PESA ZINAZOTOLEWA HAZILINGANI NA UBORA WA BABARA YENYEWE WATANZANIA TUNAWALAUMU WACHINA WACHINA WANAFANYA VIZURI MONO TATIZO NI WASIMAMIZI WAWAOMBA SANA RUSHWA HIVYO HATA KIWANGO CHA...
  6. T

    Nape atasafisha chama alichokuwa anakichafua?

    CCM ni wezi wote January Makamba sio kama ana akili nyingi, mboana yule kijana anayemwandika presentation zake ni mtoto wa mlala hoi kwa nini wasimpe cheo chocote katika chama hao wamepeana il walindane kaka
  7. T

    Nape atasafisha chama alichokuwa anakichafua?

    Hakuni kitu hao huwezi kupiga kampeni ya maambukizi ya ukimwi wakati una nyumba za wageni nyingi CCM wote ni Mafisadi hawana jipya magamba wanaweza kuvua,sumu itaondolewaje?
  8. T

    Mishahara ya viongozi wa Tanzania

    Harafu huyu MREMA WA TANROAD nafikiri kawekwa pale kwa masilahi ya wazee kwani kwa kila contract anayofanya na wachina anapewa 3% ya value of contract je ni Barabara ngapi zinajengwa nchini huyu mtu ni bilioner haondoki pale fatilia taarifa hii kuna kampuni ya SOUTH AFRICA INAITWA ...
  9. T

    Miti ya Barabara ya Sam Nujoma kwishnei! ndiyo tumeliwa?

    Ilikuwa ni halali yao pita sinza barabara za street ni kama njia za ngo,mbe nani awape ulaji hawa wahuni walileta magari ya taka mitaa yote kipindi cha uchaguzi toka city lakini leo kuna taka zipo toka siku ile ya uchaguzi mpk leo hao ndio sisiem ni kama wairaq kaka
  10. T

    Miti ya Barabara ya Sam Nujoma kwishnei! ndiyo tumeliwa?

    Hawa sisiem ni hatari tuanze mapema kuwaelimisha wenzetu ambao wana vichwa vya chuma kwa 2015 kwani vinginevyo tutateseka mpk mwisho wa dunia hawa sisiem ni hatari kushinda wairaq
  11. T

    Miti ya Barabara ya Sam Nujoma kwishnei! ndiyo tumeliwa?

    Natambua kuwa huyu mwakin,ginda angeiuza tena hiyo miti kwani kwa tabia zake za kuuza open space ndiyo maana hiyo miti iliamua kujikausha baada ya kuona amegombea tena kwani huko c.c.m hawakuwa wogombea wengine? hayo ni majibu ya mungu kwa mwaki,nginda kafa yeye na miti.
Back
Top Bottom