Search results

  1. C

    Katibu Mkuu Kinana na Nape okoeni CCM Kibondo, Kwani rushwa na makundi yanaenda kukiua Chama

    CCM jimbo la Muhambwe inakwenda kupasuka vipande vipande endapo Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana atashindwa kukemea RUSHWA zinazotembezwa na watia Nia hawa, Eng. Nditiye, Anderson Njiginya, Tutuba, Moshi Majungu, Jamal Tamim, Kigaraba, Edgar Mkosamali, Kijiko. Hali imekua mbaya sana baada ya...
  2. C

    Hotuba ya Felix Mkosamali imejaa maswali kuliko mapendekezo ya nini kifanyike

    Huyo aage kabisa Bungeni maana harudi tena yeye wala Kaka yake Edgar
  3. C

    Vita kali kati ya Ben Saanane na Selasini Rombo jana, vurugu zatawala

    Mbona unakihelehele kama unaumwa Kipindupindu
  4. C

    Vita kali kati ya Ben Saanane na Selasini Rombo jana, vurugu zatawala

    Acha siasa zako za chuki wewe, kwa mwendo huo huwezi kuwa Mbunge wa Muhambwe wala Diwani wa Bitale
  5. C

    Vita ya Felix Mkosamali na Nick Kilunga ndani ya UKAWA faida kwa CCM jimbo la Muhambwe 2015

    Haya majimbo yakibaki NCCR mwaka huu hiyo ni hkheri, lakini ccm wamejipanga kuyarudisha haya majimbo ya kasulu na kibondo kwa gharama zozote zile =
  6. C

    Vita ya Felix Mkosamali na Nick Kilunga ndani ya UKAWA faida kwa CCM jimbo la Muhambwe 2015

    Sina sababu ya kuwachonganisha hawa vijana wawili, lakini naongea kitu ambacho kinaendelea Kibondo.....
  7. C

    Vita ya Felix Mkosamali na Nick Kilunga ndani ya UKAWA faida kwa CCM jimbo la Muhambwe 2015

    Nick Kilunga mwenyewe amekuja na ameweka wazi azima yake hapa, na ukweli usio pingika Mkosamali ni mbinafsi sana na alizorotesha harakati za ukawa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kwani hakutaka kushirikiana na vyama vinavyounda ukawa. Sasa wale ambao wanadhani siasa ipo nyuma ya...
  8. C

    Vita ya Felix Mkosamali na Nick Kilunga ndani ya UKAWA faida kwa CCM jimbo la Muhambwe 2015

    Ni kweli Mkosamali ni jembe lakini ni jembe lenye mapengo ambalo halina uwezo wa kulima tena kwani mlimaji atatumia nguvu nyingi kulima.
  9. C

    Vita ya Felix Mkosamali na Nick Kilunga ndani ya UKAWA faida kwa CCM jimbo la Muhambwe 2015

    Sawa nimechukua jembe naenda shambani , ila tuonane October dada Tetty
  10. C

    Vita ya Felix Mkosamali na Nick Kilunga ndani ya UKAWA faida kwa CCM jimbo la Muhambwe 2015

    Tatizo unaendeshwa na siasa za kwenye mitandao na bendera fuata upepo, October sio mbali utapata jibu kama Mkosamali anahitaji Mkologo wa kisiasa ama lah!
  11. C

    Vita ya Felix Mkosamali na Nick Kilunga ndani ya UKAWA faida kwa CCM jimbo la Muhambwe 2015

    Hali ya kisiasa ilivyo katika jimbo la Muhambwe ni mbaya sana kwa upande wa Mkosamali, kwani Mkosamali tayari amepoteza mfuto kwa wapiga kura wake licha ya kuongea sana Bungeni na vijana wengi wa Ukawa hapa jukwaani kuonekana kumuunga mkono ila wasijue hali halisi ya siasa ilivyo Kibondo...
  12. C

    Kwaheri Felix Mkosamali jimbo la Muhambwe, karibu Nduhilubusa Mapigano

    Hakuna cha maneno mengi, wenye maneno mengi ni wakina Chikola Sarundari na Kennedy Sarundari kama ingekuwa maneno ni mtaji wa kisiasa basi hawa watu wangekuwa wabunge muhambwe maana ni mafundi wa kuongea. Ukweli ni kwamba CCM kibondo wanamuhitaji huyu kijana ili aje kumchomoa Mkosamali saa 4...
  13. C

    Kwaheri Felix Mkosamali jimbo la Muhambwe, karibu Nduhilubusa Mapigano

    Huyu NDITIYE nae eti anataka UBUNGE, Anashinda vijijini anagawa pesa kwa wananchi, ngoja vijana tumfungie kazi tumwekee mtego wa PCCB maana hana sifa ila anang'ang'ania harafu anajifanya ni Engineer wa Tanesco wakati hafanyi kazi. Mapigano For Muhambwe
  14. C

    Kwaheri Felix Mkosamali jimbo la Muhambwe, karibu Nduhilubusa Mapigano

    Kijiko hana nafasi Muhambwe hata akatambikie mizimu, hatuwezi kumpa Ubunge Kijiko ambaye ni mlevi wa kupindukia hata huo ukuu wa mkoa amepewa tu ila hafai kuwa hata katibu KATA kwa tabia zake. Kwanza alisema hata yeye angekuwa kwenye nafasi pesa ya Escrow ikapita mbele yake angekula kwani ile...
  15. C

    Kwaheri Felix Mkosamali jimbo la Muhambwe, karibu Nduhilubusa Mapigano

    Pigeni kelele tu ila ukweli ndo huo Mapigano ndio jibu Muhambwe.
  16. C

    Kwaheri Felix Mkosamali jimbo la Muhambwe, karibu Nduhilubusa Mapigano

    Nduhilubusa Mapigano ndio jibu ndani ya Chama cha Mapinduzi Kibondo na ndio kijana anayekubalika na kila rika Muhambwe. Karibu sana Kijana wetu Nduhilubusa Mapigano......
  17. C

    Watoto wa Wanasiasa na wakubwa wanavyobebwa na Bodi ya Mikopo

    Watoto wengi wa wanasiasa na baadhi ya wakubwa wa nchi wamekua wakipewa mikopo na bodi ya mikopo ya elimu ya juu wakati hawana sifa za kupata mikopo hiyo. Wengi wa watoto hao huwa wanapewa scholarship nje ya nchi kupitia wizara ya elimu na wengine huwafata wazazi wao ambao ni mabalozi nje...
  18. C

    Wanafunzi wa kitanzania wanakufa na njaa huko Urusi! Wahusika saidieni hawa watoto...

    Sisi wanafunzi wa kitanzania nchini Urusi ,tunakosa huduma za msingi kama vile malazi , chakula na bima ya afya. Serikali kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu na Wizara ya Elimu na mafunzo ya ufundi ,kwania njema iliamua kusomesha wanafunzi wa kitanzania katika nchi mbalimbali duniani...
  19. C

    Balozi urusi anusurika kuangukiwa na ukuta wa nyumba .

    Nyumba ya ubalozi iliyo urusi ndio ilifumuka paa,yani ilikua kama bahati tulikua tumpoteze, Ilibidi aweke sherehe ndogo ya kumshukuru Mungu kwa kumponya....
  20. C

    Balozi urusi anusurika kuangukiwa na ukuta wa nyumba .

    Balozi Jaka Mwambi wa nchini Urusi alinusurika kuangukiwa na paa la nyumba ya ubalozi. Inasikitisha sana ukiona jinsi ubalozi wetu ulivyo kwani umechoka sana na ajabu ripoti ya mkaguzi mkuu (CAG) ilibaini kua kuna ubadhirifu mkubwa kwenye ubalozi huo zaidi ya Tsh 440 milion hazijulikani zilipo...
Back
Top Bottom