Mchakachuaje... au wifi yetu hawezi kukuanza.. navyojua mie, wanawake nasi tuna haki, hamu kama wanaume ya kuwaanza wenza wetu. Tena madaktari wa Mapenzi wamedhibitisha ya kwamba katika sex, Mwanamke ndo anasikia raha kuliko Mwanaume. Chukua hiyo
Swali zuri Kaka! Kama kweli wewe ni Mwana-Adam uliyezaliwa na Mwanamke, lazima uwe na roho ya UTU... Kaka kweli kweli.. umekakuta katoto kachanga kamelala ndani,... p'se usifanye dhambi hiyo.. mwache huyo Dada, na tena usimwache hivi hivi.. mpe somo.. mseme, mpake sana... mwonye.. ikibidi mpige...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.