Search results

  1. Z

    Wanaume wengi wana haraka ya kufanya mapenzi, why?

    kama jogoo awezi kuwika lisaa lizima we jiandae na viagra ili akome ubishi na kusema wanaume wanawahi kuingiza ili wawe wa kwanza kuanza kulia uwiiiiiiiiiiiiiii
  2. Z

    Nimechoka kuumia, wadau nisaidieni.

    Sasa unababaika nini...wanawake wamejaaa everywhere tena wanaombea!! such love never exists miaka hii bro. Take your time, be composed, think again about your future family life and make sure you now get match group and not group match
  3. Z

    Matumizi ya simu katika Mahusiano

    Huyu mtu atakuwa ana tabia za wiziwizi enje ya ndoa. kwa nini aache simu officin hata kama ni ya ofici na ni ya kiganjani anatakiwa kuwa nayo through out hadi atakapoachishwa kazi ndo anarudisha...wewe mumeye be careful-wizi mtupu!!
  4. Z

    Ushauri tafadhali kwa huyu dada

    Nampa pole huyu dada
  5. Z

    Maandamano ya CHADEMA Arusha: Mabomu yarindima, raia wauawa na viongozi wakamatwa

    Haiwezekani wanasiasa tu kwa sababu wanatetea haki ya wote kuwekwa lupango and this source is apparently true. Moshi arusha na tanzania kwa ujumla amkeni kwani sasa hivi we know our rights and democracy is getting spread all over. Mbowe, Selasini na Lema piganieni haki za wote na sio haki za...
  6. Z

    Hivi Kwa nini small house imekuwa common hasa kwa jamii ya kitanzania?

    Small house inamadhara ganii kwenye mahusiano ya wanandoa????????????????????????????????// Mawazo na ushauri please
  7. Z

    Mama mwenye nyumba nayoishi Ananijia Ndotoni

    Kulaa leki mtu wangu hapo pagumu kwani ni kweli ulimbanjua lakini we unaona kama ndoto kwani alikujia kijini jini!!! Aisee meku nenda kwa kakobe akakuombee au hama huo mtaa kwani ameshakupenda na kamchezo kameanza.
  8. Z

    Mdahalo kati ya Freeman Mbowe na Hamad Rashid ITV

    Haya saa, tutauangalia wengine wapenzi wa upinzani...ama kweli tunasumbiri mabadiliko bungeni kutoka kambi ya upinzani na sio malumbano. Vyama pinzani vinatakiwa viwe na umoja against ruling party.
Back
Top Bottom