Search results

  1. J

    Jamani Wamarekani mbona wanakuja Bongo kwa kasi sana!

    Dowans imeuzwa kwa symbion electricity ya wamarekani na Mrs Clinton leo anaitembelea hiyo mitambo isije akawa mmiliki mpya?
  2. J

    Nyumba ya kupanga inahitajika

    Kimara Temboni ipo nzuri sana na ni nusu ya hiyo 0715/0754 695002
  3. J

    Nyumba ya kupanga inahitajika

    Kimara temboni ipo kwa nusu bei ya hiyo karibu
  4. J

    Bunge hili tukufu

    Mh.Spika taarifa,waheshimiwa wabunge wanalalamika kuwa kwa babu hakuna network ndo maana hawachangii na foleni ni kubwa sana.
  5. J

    manu 2 man city 1

    Mwendo mdundo anayefikiri tutateleza kakosea,sie mbele kwa mbele.
  6. J

    Sijafungwa Kifungo cha Maisha

    Hii kweli imekwenda shule,nimeipenda.
  7. J

    Nimetimuliwa na baba mkwe

    Mtie mimba huyo binti baba atakukubali tu mazee,mahari kala alafu analeta za kuleta ?.
  8. J

    Bajeti bomu yastukiwa!!

    Ndio mchezo wao kila mwaka za mwizi arobaini na hii ndo 40 yao wameshikwa hao!AIBU.Wamechakachua bajeti ili wapate fedha iliyochakachua matokeo ya uchaguzi uliopita Nov 2010.
  9. J

    Mke wa mtu anataka nizae nae

    Kumbe mtu mwenyewe unaitwa SHETANI endelea na ushetani wako utakuja katwa hako kadude.
  10. J

    Hii kitu balaa ni Turbo charge!

    Mtoto moto huyo usipime
Back
Top Bottom