Search results

  1. Y

    Business partinership in used car tires

    Kheri ya mwaka mpya kwa wana biashara wote. Nimepata deal la second hand car tires kutoka moja ya wadau wangu wa muda mrefu. Mdau huyu anasema ana uwezo wa ku-supply haya magurudumu kwa kiasi cha contena ya futi 20 au 40 kila baada ya muda mfupi kulingana na mahitaji ya soko. Magurudumu haya...
  2. Y

    Baada ya kufunga ndoa, mwezi mmoja baadae anaenda masomoni UK

    Wengi wameongea suala la mimba, kwa mtizamo wangu kama utampa mkeo ujamzito utafanya zoezo la yeye kuungana na wewe kiwa gumu zaidi. Hii ni kwa sababu hawa watu wana utaratibu wa point based katika kutoa visa zao. Miaka michache iliyopita kila kichwa cha muombaji aliye nje ya UK kilikuwa...
  3. Y

    Wapi naweza pata freeza kubwa la kuhifadhia samaki kwa kulipia.

    Ni-pm tafadhari, kma bado ni muhitaji.
  4. Y

    Hofu yatanda ujenzi wa bandari Bagamoyo

    Nina waswasi ni hiyo 20b USD kuwa budget ya uwekezaji wa Wachina kwa bara zima la Africa, pengine mwandishi alichanganya. Kwa record zilizopo hivi sasa budget ya Wachina katika uwekezaji ndani ya bara letu inakadiliwa kuwa 200b USD hizi ni figure za (2012) ambazo zimeruka ghafla kutoka 12b USD...
  5. Y

    Why is Safaricom and IEBC refusing to release this data?

    What a banal typological explanation..!
  6. Y

    Tusitumie tena "Division Zero" kwenye matokeo ya Elimu ya Sekondari...

    Kimsingi mfumo huu unasema kuwa watoto waliofaulu ndio wana akili sana na wale waliopata division zero hawana akili. Lakini ni akili gani tumepima - ni ile ya darasani. Tuondokane na alama ya 'division zero'. Unakubali au unakataa? Mzee Mwanakijiji kuna mantiki kubwa katika hii haya yako-...
  7. Y

    CCM Maarufu: Utafiti wa Synovate wabainisha!

    Kama niko sahihi Kiranga ameuliza Methodology yaani how well did they argue from the analysis of their data to draw, defend and/or generalise such a terrible conclusion). Kumbuka kuwa kuna vitu vingi sana vinavyohitajika ili kupata warranted inference, japokuwa hatuna research nzima, kwa dibaji...
  8. Y

    Prof. Songorwa ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Wanyamapori

    Few things to make clear, first of all, I am not here to defend the man and we do not know each other in any way. Second, I may have had some few typing and spelling errors from my previous post as somebody noticed, but i hope it still portray my advocacy substantially. It did not googlise...
  9. Y

    Prof. Songorwa ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Wanyamapori

    What do you mean by ''theory za darasani'' do you mean materials included in text books? If so, then that is not the ideal uses of the word THEORY. Having said that I am not blaming you for this, since I understand that this word has often misused and misunderstood by most people including but...
  10. Y

    Urgent! Natafuta mtu wa kunipigia picha kwa ajili ya banner

    Karibu sana Uswe, you will be amazed to work with our small but very friendly and professional office.
  11. Y

    T shirts, Caps, Mugs and wheel covers printing business

    Arnolds, maswali yako ni general sana, lakini nitajihidi kukujibu hivi na kwa ufupi sana; hivyo vitu vyote ulivyotaja hapo juu vinaweza kuwa printed kwa kutumia machine tofauti tofauti: 1: using normal printer:- Please note there are just normal printer which can print even t-shirts, most of...
  12. Y

    Urgent! Natafuta mtu wa kunipigia picha kwa ajili ya banner

    Uswe, tunaweza kukufanyia kazi zako zote, yaani kupiga picha, banners na leaflets kwa ubora wa hali ya juu pasipo gharama kubwa. Moja ya mashine yetu ina uwezo kwa kuprint up to 44 inch with crystal clear pictures. karibu sana O717 418929
  13. Y

    Kwa wajasiriamali wafugaji wa kuku Dar

    nashukuru kwa taarifa sisi tumeibiwa kuku 248 juzi tu na ndo mara ya kwana kufanya mauzo, tulikuwa bado tunajiuliza ni nani aliyetuibia kuku wetu na kwa namna gani pasipi kupata jibu, sasa nimepata jibu kwani watu hawa walikuja na kununua kuku miatatu hivi.....aahsanteni kwa taarifa hizi hapa JF
  14. Y

    Suzuki Grand Vitara V6 Mayai

    Suzuki Grand Vitara Manual 2001year 2.5LPetrol 5 Doors, Manual, 4x4, Petrol, 80,000 miles, 1 Registered Kepeer since imported, Service History, Power Steering, Electric Mirrors, Drivers Airbag, Passenger Airbag, Central Locking, Immobiliser etc. Please note that this is a quick sale vehicle.This...
  15. Y

    Lebo, brochures na posters

    Tafadhari wasiliana nasi kwa namba O717418929 au tuandikie:- abindege@gmail.com Karibu sana kiongozi
  16. Y

    Nafasi za kazi (2) za u-secretary kwenye stationery.

    Akiri nimekutumia email tafadhari
  17. Y

    Natafuta mtu wa kufanya naye biashara ya stationery

    naomba uni-pm contact zako tafadahari. Ahsante
  18. Y

    Power Rationing Solution

    Namaanisha ukubwa /uwezo wa panels in watts. Ahsante
Back
Top Bottom