Search results

  1. davidmgombele

    Serikali za mafisadi huwa haziachii madaraka

    CHE GUEVARA alikuwa akiamini; " mabadiliko katika vita. Siku zote aliamini watawala mafisadi na wasiozingatia ustawi wa maisha ya wananchi wao, hawakuwa rahisi kuachia madaraka kwa hiari yao, hivyo mbinu pekee ya kuwatoa madarakani ni kutumia vita" Je imani hii kwa dunia ya sasa na kwa nchi...
  2. davidmgombele

    Tanganyika imerudi

    Ndio tanganyika rudi
  3. davidmgombele

    Mbowe amekuwa ni Kiongozi Mwenye Busara sana mara arushiwapo Makombora.

    kuishiwa hekima na busara si lazima uvue nguo. semeni ya mantiki jamani!
  4. davidmgombele

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe...

    Kwenye matatizo magumu ndio huwa rahisi kuijua hekima ya mtu. Zitto Kabwe anachokifanya sasa cha kubwabwaja ovyo ni kwamba anajianika alivyo. Ni mtu asiye na staara hata kidogo. Huyu eti ndo anaweza kuwa mwenyekiti wa chama jamani!! Ni muda tu bado kidogo tutamjua Zitto ni mtu wa namna gani...
  5. davidmgombele

    Huyu Dkt. Lucas Webiro ni nani?

    Huyu jamaa ana akili za kupitiliza sio kawaida. cv yake inatisha.
  6. davidmgombele

    CHADEMA taifa vipande vipande! Soma barua hii ya Zitto

    Kuna watu wanaendeleza uhuni tu. Ile barua hajaandika Zitto Kabwe. Barua haina hata sahihi ya mwandishi halafu hiyo ndo ya kujadili ! Kule ofisi barua ikiletwa bila sahihi huwa tunaitupa kwenye kikapu cha takataka. Hata hii iende huko huko.
  7. davidmgombele

    Nape safi ila chama anachokitumikia

    nape ni kijana focused na integrity yake iko juu lakini namuonea huruma anapojaribu kutetea chama chake cha ccm juu ya tuhuma mbalimbali zinazotolewa kwa chama chake. Namuonea huruma kwa sasa hawezi kuongelea vita juu ufisadi, namuonea huruma kwa kuwa Edward Lowassa sasa anakuja juu na...
  8. davidmgombele

    Chadema kumfikisha mahakamani Nape Nnauye

    Chadema walitakiwa wawapeleke mahakamani na akina Job Lusinde (kampeni za Arumeru mash), Rage, nk
  9. davidmgombele

    Dr. Kafumu (CCM) avuliwa ubunge Igunga!

    wana jf nasikia peter dalali kafumu ameangukia pua, je ni kweli? Naomba mnipe habari ya uhakika.:flypig:
  10. davidmgombele

    Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

    Huyo ndio kijana msomi ambaye watu wanamatumaini anaweza kuibebe CCM miaka ya baadae. Cha kusikitisha ana siasa za chuki, za kisasi, anatumia siasa za kizamani hata wazee wanamshangaa. Hutu jamaa kama kasoma hajaelimika na ni mshamba wa kutupa hadi anatie kero. CDM mkazieni kamba hadi aangukie...
  11. davidmgombele

    Mkutano wa CCM Jangwani: CCM yafa Rasmi

    akihutubia wanachama walioletwa na mafuso Mh Magufuli alisema ccm haibabashwi na vyama vidogo vidogo hasa CDM. Lakini kilichonishangaza ni kuwa neno chadema alikuwa akilirudia mara kwa mara kuonyesha jinsi linavyomnyima usingizi. Mwanaume katika hotuba zile alikuwa ni mmoja tu Mwakyembe, yeye...
  12. davidmgombele

    Omari Nundu: Sioni sababu ya kujiuzulu

    Ufalme ukifitinika hauwezi kusimama. Bad indicator kwa ccm.
  13. davidmgombele

    Msikilize Lusinde akiuza sera za CHAMA CHA MAPINDUZI

    Nimesikitishwa sana na speech ya Matusi ya Lusinde maana dhamira yangu inakataa hata kumwita Mheshimiwa!!!!!!!!!! Alipokuwa anagombea ubunge mtera nilijua watanzania tumepata kifaa tumaini letu jipya. Kijana smart, msomi na very challenging, lakini sikujua kuwa Lusinde hafai hafai hafai hafai...
  14. davidmgombele

    Maendeleo ya afya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa

    Nchi hii bwana! Fisadi anapogeuka kuwa mkombozi wa nchi hii! Hatari!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  15. davidmgombele

    Ombi: Mkapa, it's now high time to shun away active politics

    Raisi mstaafu Benjamin Mkapa itakuwa vizuri kwake kuachana na siasa za majukwaani kwa kuwa badala ya kumjenga kisiasa zinaelekea kumdhalilisha. Chama cha Mapinduzi nacho kimeona baada ya kushiriki kampeni za Igunga na kushinda ndo wamemuona yeye kuwa muarobaini wa chaguzi ndogo ili wagombea wao...
  16. davidmgombele

    Chadema ina mtaji mkubwa sana arumeru mashariki

    Huwa nasikitishwa sana na vijana kama wewe wenye mawazo ya kukataa mabadiliko wakati wao ndio wahanga wakubwa wa hali mbaya ya uchumi inayoendelea sasa nchini chini ya chama kimoja tu cha siasa tangu uhuru. Regerdless ni chama gani, nchi yetu iko pabaya hivi ndugu yangu huono haya ila ushabiki...
  17. davidmgombele

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

    mwandishi wa story hii anaonekana na yeye ni mtu ndani ya system ya magogoni. Tafadhali lete haraka part II maana hii ni NYETI sana.
  18. davidmgombele

    Kikwete, huu mtandao ni hatari! Be careful, otherwise waweza kuwa historia (Part 1)

    mwandishi wa story hii anaonekana na yeye ni mtu ndabi ya system ya magogoni. Tafadhali lete haraka part II.
  19. davidmgombele

    Nape Nnauye sasa atisha vyombo vya habari

    Mwanzoni nilikuwa na hope sana na Nape Nauye lakini kadri siku ziendavyo anakosa direction. Namhurumia sana maana anayoamini yeye hayako kule anakofanyia kazi. Kama kweli anauchukia ufisadi avuke mto aende kwenye chama kinachopiga vita ufisadi kwa matendo na sio alimo sasa hivi. Akizidi...
  20. davidmgombele

    CHADEMA Yajitoa mchakato wa Katiba; Yadai Rais kawauza!

    Mimi nilijua atawauza kwa kuwa simuamini kabisa yule mzee. Kama hatekelezi mapendekezo ya kamati teule zote za bunge ile ya Richmond na ile ya Jairo. Je ya cdm ndio atatekeleza?
Back
Top Bottom