Search results

  1. Hute

    Chunya, Mbeya: Rais ataka Tume ya Utumishi wa Mahakama ilete jina la Hakimu aliyemhukumu mlawiti ili apendekezwe kuwa Jaji

    Na mawakili wa serikali walioendesha, na polisi waliokamata je? nampa hongera lakini sio kwa kumfunga komred sugu.
  2. Hute

    Baada ya RC Makonda kugawa Mtaa kwa Pengo,Sheikh Mohamed Said asema hakuna padre wala askofu aliyepigania Uhuru wa Tanganyika

    hivi kwa akili yako, hata kama wakristo tungeungana na wakoloni, unafikiri hadi leo hii tungekuwa chini ya mkoloni? tena bora hata tungekaapo kidogo chini ya mzungu kuliko kumpa mswahili nchi. ona wenzetu south.
  3. Hute

    Nimemkuta Kachora Tattoo sehem mbaya sana!!

    kwani ulimkuta bikra aisee? kama alichorwa unafikiri ndio atakuwa hakuwa anafumuliwa kabla hamjakutana?
  4. Hute

    Confucius: Serikali katili huwaogofya watu kuliko hata chui

    kuna siku Mungu ataingilia kati na adui zetu wataumizwa maumivu yote tuliyoyapata. siku hiyo ipo karibu sana. nimeprove wasukuma sio watu wa kuwapa cheo kikubwa.
  5. Hute

    Baba Diamond aomba mwanae amkatie angalau bima ya afya

    wazazi wakiachana, wao ndio wanajua siri za chumbani kwao kwanini wameachana. hivi kwa tabia ya mama diamond anayoonyesha kama ile, Diamond ashukuru Mungu huyo mzee alivumilia hata akazaa naye mtoto na akamlea wakiishi na huyo bibi hadi yeye alipokuwa form one. kama uzeeni anaonyesha tabia kama...
  6. Hute

    Ufahamu wasifu wa Mwanasheria Mkuu mpya wa Serikali, Dkt. Adelardus Kilangi

    angalia CV yake humo ukurasa wa 63 uone kama anastahili hata kuwa mtumishi wa nafasi hiyo. https://archive.au.int/collect/oaucounc/import/English/EX%20CL%20534%20(XV)%20_E.PDF
  7. Hute

    Paul Kagame ashutumu nchi za EAC kwa kuua na kutesa watu wake. Tanzania tusikubali ageuze pori la Burigi malalio yake

    kagame ashukuru Mungu mimi sio rais wa Tanzania! angepata shida sana.
  8. Hute

    Salamu za kuaga mwaka: Makonda asema ataukumbuka mwaka 2018 kwa kuwa mkewe Maria alimpatia mtoto!

    huyo mtoto hajapewa na Mungu amepewa na mkewe? aeleze na hilo pia, badala ya kumpa Mungu shukran anampa mkewe utukufu!
  9. Hute

    Misri kujenga Bwawa la Umeme wa Stieglers: Serikali itupe msimamo tumesimamia wapi kuhusu mgogoro wetu na Misri juu ya haki ya maji ya ziwa Victoria

    walitangaza tenda, wakajitokeza watu wengi, lakini hao wameshinda. hivyo hawajengi kwa msaada au kwa makubaliano juu ya ziwa victoria waters, isipokuwa nafikiri kama serikali ilivyofanya kwa SGR construction kuweka wanajeshi, serikali inapasa iweke wanajeshi na wataalamu wetu waungane kwenye...
  10. Hute

    Hatimaye ndugu yetu Pascal Mayala amehitimu UDSM

    Pasco nilisoma naye sheria tangu mwaka 2003 hadi 2007 udsm. Aligraduate 2007. Uyo mnamwongelea hapo ni mwingine.
  11. Hute

    Demu wa kuvinjari dsm jnne,j5 & alhamisi

    Hauamini,si uje pm?
  12. Hute

    Demu wa kuvinjari dsm jnne,j5 & alhamisi

    Nashukuru kwa waliokuja PM.wengine tuwasiliane kesho
  13. Hute

    Demu wa kuvinjari dsm jnne,j5 & alhamisi

    Wapo kwenye intervew
  14. Hute

    Demu wa kuvinjari dsm jnne,j5 & alhamisi

    Sitaki hao wachafu,at least akiwa na uwezo wa kuingia JF huyo tayari atakuwa ameenda shule na anajua kujiswafi.wamekuja runso na bado nachagua.
  15. Hute

    Demu wa Uswahilini ni wa Uswahilini tu hata akisoma. Huyu sitaki hata kumwona tena

    Wanaume wa darisalamu mna shida sana.kwahiyo unataka mwanamke akulipie kwani na yeye ana penisi? Uanaume wako uko wapi sasa unalalamikabumetiwa hasara alufu kumi?
  16. Hute

    Demu wa kuvinjari dsm jnne,j5 & alhamisi

    Asiye mwanamke sitaki mkomenti,hakuna mtakachonisaidia.
Back
Top Bottom