Search results

  1. Foundation

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Wakati unaanza hii mada sikuielewa, nikaishia kusubscribe tu. Leo umefika kurasa ya zaidi ya 2000 ndio najua kumbe kuna madini.
  2. Foundation

    Nakula ila Sipati choo msaada jamani

    Ilishawahi kunikuta hali kama yako miaka mingi nyuma. Kula papai, ndizi, kunywa maji sana, wapi ikakataa. Mtu mmoja akaniambia utakuwa na ngiri, ngiri huwa inazuia choo pia. Nikaenda pale Kariakoo Sokoni
  3. Foundation

    Ni kitu gani uliambiwa hutoweza kukifanya na sasa unakifanya freshi tu?

    Kisa kilikuwa ni nini mpaka maneno yote yamtoke???
  4. Foundation

    Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    Niliwahi kutumia hii kwangu, kuchoma na kimwaga. Hiyo sehemu ilikuwa kila mara bundi wanasogea na kusumbua, mtu aliyekuwa anaishi pale alikuwa hapati usingizi. Mwezi wa 4 huu, bundi hawajai kusogea tena, jamaa analala vizuri na lepe la usingizi.
  5. Foundation

    Yuko wapi Mbiki Msumi?

    Kwa data zilizopo, ni kigogo pale OUT, ni msomi wa Sheria akibobea katika eneo la Constitutional and International Law. Nenda pale OUT kaulize.
  6. Foundation

    Mazoezi ya kuruka kamba ndiyo mazoezi bora kuliko yote

    Tena kubwa sana, ni zaidi ya miruko 2,000
  7. Foundation

    Mazoezi ya kuruka kamba ndiyo mazoezi bora kuliko yote

    Km 10 ni wastani wa saa moja hadi saa moja na dakika 10.
  8. Foundation

    Mazoezi ya kuruka kamba ndiyo mazoezi bora kuliko yote

    Je, kukimbia km 10 kwa siku kwa angalau siku 4 kwa wiki? Inasaidia? Maana majukumu mengi
  9. Foundation

    Mashaka Ngole akabidhi bettri ya gari aina ya N 70 kwa Jumuiya ya Wazee

    Hli betri hata laki 5 linafika?? Wanasiasa hata vitu vidogo mnataka muonekane.
  10. Foundation

    Ondoa Mikosi Maishani Mwako kwa Chumvi

    Mzee, mjadala tu, hakuna panic. Hapa tunapanua wigo wa uelewa.
  11. Foundation

    Ondoa Mikosi Maishani Mwako kwa Chumvi

    Ile ya Ziwa Chumvi, sio ya mawe. Ni og au sio og?
  12. Foundation

    Ondoa Mikosi Maishani Mwako kwa Chumvi

    Kuna uzi kama huu. Kuna chumvi ya mawe, hii inapatikana Mikoa ya Pwani, baharini. Kule Mikoa ya Kaskazini, Maeneo ya Hanang, kuna Ziwa linaitwa Ziwa Chumvi. Humo unapata chumvi isiyo ya mawe, na magadi. Na wao wanaamini chumvi yao inasaidia kuondokana au kuepuka mabalaa yanayosababishwa na...
  13. Foundation

    1980's Stewart alikufa Maji Kinondoni bwawani na Antony Kamtawa alikufa maji Selender bridge, Zimamoto walishindwa 40 years tuko vilevile!

    Miaka ya 90 niikiwa dogo, tukipita, tulikuwa tunamuona pale ghorofani, huku magari ya Siri Yako yakiwa yamepaki pembeni
  14. Foundation

    Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

    Siku hizi huwa naitumia chumvi ya mawe karibia kila siku kuogea na kuweka kwenye kona za nyumba, imekuwa kama taratibu sasa.
  15. Foundation

    Tiba mbadala ya chumvi: Sehemu ya kwanza

    Kwa mtu yoyote, kama akilala anapata maruerue usiku kwa kujua au kutokujua, akianza kutumia chumvi kwa kuoga au kunyunyiza kwenye nyumba, hatua ya kwanza ni Kuanza kulala vizuri bila maruerue. Nimeprove hii
  16. Foundation

    Posta Tanzania hongereni kwa huduma nzuri na nafuu

    Posta Tanzania Huduma yao ya Tracking domestic parcel haifanyi kazi zaidi ya mwezi sasa. Ukituma document kwa EMS ndani ya Nchi haina tofauti na kutuma kwa njia za kawaida, huwezi kutrack, mtandao haufanyi kazi zaidi ya mwezi sasa. Wabadilike.
Back
Top Bottom