Search results

  1. livinstonne

    Tetesi: Bodaboda wachoma gari(SUV) Arusha

    Nimepita hilo eneo ni kwenye kona ya Elerai kweli kuna gari limeungua nahisi ni Toyota harrier Post sent using JamiiForums mobile app
  2. livinstonne

    Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

    Aisee nilinunua gari Toyota Rush auto keyless bahati mbaya nilipewa kile kibox cha alarm kimoja badala ya kuwa viwili je ntapataje kingine cha pili maana ni muhimu sana. Msaada
  3. livinstonne

    Nissani Murano

    Cc ngapi na mwaka gani
  4. livinstonne

    Jenga na Sisi Dragon Mabati

    Niko arusha inakuwaje gauge 30 mt 3
  5. livinstonne

    Tecno Cx Brand New (mpya) zinauzwa kwa bei nafuu.

    Ina front flash na camera ya px ngapi
  6. livinstonne

    Smart phone lenovo s850 used,,, for 120K

    Nahitaji hiyo niko arusha
  7. livinstonne

    Eneo la Oysterbay Police lauzwa kwa mwekezaji!

    Nyerere alisema mkianza ubinafshaji hata magereza mtabinafsisha sasa mmeanza na police mhh
  8. livinstonne

    Waziri Maige na nyumba ya Sh milioni 656m

    Sio kweli labda kama unauza unga,.ni mmoja wapo au kakutuma
  9. livinstonne

    Waziri Maige na nyumba ya Sh milioni 656m

    du tunaibiwa sana nchi hii.ukweli huwezi kuwa na semitrailer mbili upate dola elfu ishirini faida kwa mwezi ni uongo na kuficha wizi ulifanyika sisi tuko kwenye hiyo biashara kwa muda mrefu sasa tunajua ugumu wa hiyo biashara.labda kama anasafirisha pembe za ndovu.mhh hana breakdown.Kuhusu...
  10. livinstonne

    Tamko la Serikali

    hana lolote anajipendekeza apate tena uwaziri
  11. livinstonne

    Arusha - Mauaji ya kutisha jana tishio kwa wimbi la mageuzi?

    acheni hizo hawa jamaa ni majambazi sugu.wameua olasiti mtoto wa shule wakati wanaiba dukani kwao na wamefanya ujambazi sana kuanzia sombetini mpaka ngusero,hayo ndo malipo yao,tena waende motoni.hivyo jamani hayo sio mauaji ya kisiasa
  12. livinstonne

    Arusha - Mauaji ya kutisha jana tishio kwa wimbi la mageuzi?

    acheni hizo hawa jamaa ni majambazi sugu.wameua olasiti mtoto wa shule wakati wanaiba dukani kwao na wamefanya ujambazi sana kuanzia sombetini mpaka ngusero,hayo ndo malipo yao,tena waende motoni.hivyo jamani hayo sio mauaji ya kisiasa
  13. livinstonne

    Arumeru - Watu watano wauwawa kinyama!

    hao jamaa inasekana walikuwa majambazi maeneo ya sombetini na ngusero hivyo huenda wameuawa kulipiza kisasi
  14. livinstonne

    Airtel free internet 6month

    Jamani nimenunua moderm ya airtel nikitegemea kupata internet free kwa miezi sita.ajabu leo imegoma mpaka ikabidi ninunue kifurushi cha siku ya leo.Naomba kama kuna mtu anaweza nisaidia labda kuna jinsi ya kujiunga
  15. livinstonne

    Watch Out; Tigo Pesa, M-Pesa ni Janga Kuu, wengi Wameumia!!

    ni wizi huo upo.ila kwenye kucancel transaction inabidi wenye mtandao husika wawasiliane na wakala husika kuhakiki vinginevyo ni hatari sana
Back
Top Bottom