Search results

  1. M

    Hodi, hodi, hodi! Waungwana

    kwa kweli lazima niombe radi kwenu. kwa maana nilipoingia tu, sikuwa makini kupekua kila kona ya jamvi na kuona adabu za ukaaji wake. lakini kwa kuwa wenyeji ni waungwana na ma-intelligent, naamini mmenipokea. thank U sana.
  2. M

    Tafakari: Miaka 49 ya uhuru (?!!!!!)

    Ni miaka 49 ya uhuru wa WADANGANYIKA! si ndio hao wanakamilisha nusu karne kwa tafsiri SI-Hasa (siasa) =Not real (Politics). Ole wao wadanganyika na usingizi wao fofofoooo.
  3. M

    Msaada wa diet tafadhali

    Iwapo yeye anahisi kuwa yu mzito kuliko anavyotakiwa kuwa yaani anajihisi kulemewa na uzito wake basi ana tatizo la ziada. aende kwa tabibu, ila sio wale wa kutazamia bali wale wa kutibu. vinginevyo afunge -fasting- at least two dys a week. na inapendeza ikawa ni J'tatu na A'misi.
  4. M

    overworking

    i do work over 8hrs daily for over 335 consecutive dys in yr! pls advise me if any physical drawbacks. reason shortage of employees.
Back
Top Bottom