Search results

  1. us malisa

    Kimenuka Kinondoni: Mbowe na wanachadema waliokuwa wanaandamana kwenda ofisi za NEC, watawanywa kwa mabomu

    Speech ya mbowe ni speech zilizokosekana kwa mida mrefu, wkt n sasa na wakati wa ukomboz n sasa wake up tz let's fight for our freedom again
  2. us malisa

    Uzi maalumu kwa wote wanaohitaji mikopo mbalimbali ya kifedha

    Naomba ufafanuzi juu ya kampuni ya kutoa mikopo ya credit fund.
  3. us malisa

    Mawakala wa bitcoin na etherium wanahitajika

    Niungen kwenye group la WhatsApp please
  4. us malisa

    Swali kwa watumishi wa umma juu ya mikopo

    Ndugu wasalam,napenda kufaham mida ambae Benki ya nmb huchukua hadi kumlipa mtumishi mkopo alioomba pindi atakapokuwa amekiz vigezo?
  5. us malisa

    Msaada please,wanasheria na wataalam wa mambo ya fedha

    Naomba kujua namna ya kuvunja mkataba wa fixed account ktk benki ya crdb,kwa anayefaham anisaidie
  6. us malisa

    Taarifa: Uteuzi wa wana-CCM wanaoomba dhamana ya M/kiti wa CCM na Makamu wa M/kiti wa CCM bara na Zanzibar

    Mbona hawakuruhusu wagombea wengine wajitokeze ili tuone hiyo democrasia waliyonayo?
  7. us malisa

    Frusa za biashara kwa vijana wa kitanzania

    Wanafanya biashara gan huko?
  8. us malisa

    Vifaranga vya kuku bora chotara vinapatikana Dodoma

    Mm natafta wale wakisasa pure kwa ajili ya mayai,je ntawapata?
  9. us malisa

    Ushauri kuhusu Nissan X-Trail

    Aman iwe kwenunauliza juu ya uimara na ubora wa magari ya nissan extraily na utumiaji wake wa mafuta
  10. us malisa

    Mgeni.

    Karibu jukwàan Sent using Jamii Forums mobile app
  11. us malisa

    Nimeota Uhuru kaanguka vibaya

    Kweli hiyo ni ndoto tuu,ukiamka ndo utajua nan ni rais,kwa sasa ota tuu kwanza Sent using Jamii Forums mobile app
  12. us malisa

    Hili la Waziri husika kuhoji Yanga Kupeleka kikosi B Dodoma ni Sawa??

    Yaan ipo siku ataomba kupanga na kikosi kabisa
  13. us malisa

    Wataalam wa afya

    Mtoto hutakiwa kutoa kinyesi mala tu azaliwapo,hiyo kwanza n ishara ya uzima au alama ya kumuonyesha kuwa n mzma wa afya,"apgar score",kinyesi kipo na tangu tumbon huwa anajisaidia na kinyesi kile huchanganyika kwenye majimaji aliyomo then kuna namna hufanyika Maji Yale yanatakasika...
  14. us malisa

    Msaada... Tofauti Ya Vipimo Vya Malaria

    Mrdt ni kipimo cha biashara tuu lkn c cha maralia,ni kheri utumie b/s kuliko hiyo coz hata maralia parasite wakiwa chin ya 50 haiwezi kuditect,yaan c kipimo kabisa
  15. us malisa

    Katiba ya chama tunaibadili, ya nchi tunasema siyo moja ya ahadi zetu

    Mkuu yaan viongoz wetu wanawaza matumbo yao tuu,n kweli kabisa katiba ya nchi ndo yeny umuhim na mchakato ulianza lkn ukaharibiwa,pia bwana mkubwa akasema hakuahd katiba mpya,yote n kwa sababu kaona inambeba yeye,leo ya chama kaona haimbebi ndo maana kawah kuibadili ili nayo iwe km anayotaka...
  16. us malisa

    Business ideas (Bure)

    N pm ntakupa mchanganuo au ntakuunga kweny group LA wafugaji
  17. us malisa

    Je ? Amref huwa wanatoa ufadhili kwa waliochaguliwa vyuo vya afya vya private?

    Labda tafta ufadhir kweny taasis ya mkapa foundation,lkn amref siwaamin binafsi
  18. us malisa

    Je ? Amref huwa wanatoa ufadhili kwa waliochaguliwa vyuo vya afya vya private?

    Mkuu amref huwa hawatoi ufadhir wowote huwa n wababaishaji tuu,,wewe jipange
  19. us malisa

    Jinsi ya kujitangaza kwenye mtandao

    Mkuu chuma kweli unanikuna sana,ngoja niwakuze Kuku wangu then tutaongea vzur,hongera sana na kesho tuwakilishe magomeni pia
  20. us malisa

    Nahitaji mwanaume atakayekuwa mume wangu

    N pm tuzungumze mm pm haikubali bado n mgen jamvin
Back
Top Bottom