Search results

  1. hashimrashidy

    Msaada: Samsung Galaxy Tab A 2016 inasumbua mtandao

    Habar zenu wakuu kuna simu hapa inasumbua sijajuwa naombeni msaada. Simu yenyewe ni Samsung Galaxy Tab A 2016 Simu hii tatzo linakuja pale napo washa data mnara ama network inashuka mara inapanda mara inaondoka kabsa Unaweza ukawasha data ikaandika 4g mara muda huo huo ikawa andika E mara...
  2. hashimrashidy

    Naombeni ufafanuzi juu ya hiki kifaa

    Habar za muda huu wakuu. Naombeni ufahamu zaidi juu ya hiki kifaa Hii ni friedge ama fridge freezer kampuni ya siemens sasa nikifungua mlango wa fridge kwa juu nakuta hiki kifaa ambacho na imani cha ku setting kiwango cha kugandisha nafikiri japo sina uta alamu nimeleta kwenye mnijuze...
  3. hashimrashidy

    Hii ni kwa wale wadau wa Adsense, pita hapa

    Hivi kuna mtu aliyewahi kufungiwa akaunti yake ya Adsense (Adsense Disable) halafu akapewa option ya ku appeal na akafanikiwa kurudisha akaunti yake? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. hashimrashidy

    Mfumo wa 'Online Teachers Applications System(OTEAS)' upo hewani. Waombaji wa kazi za ualimu wanaweza kuendelea

    Muhimu 1. Hakikisha upo katika internet nzuri. 2. Nyaraka ziwe katika pdf na kila moja isizidi 1Mb. 3. Mwombaji akiwa na changamoto apige simu zilizopo kwenye video manual. 4. Deadline ya kuwasilisha maombi ni 15.03.2019. Kila la kheri DICT TAMISEMI. 04.03.2019 BONYEZA HAPA CHINI KUPATA...
  5. hashimrashidy

    Mfumo wa *Online Teachers Applications System(OTEAS)* upo hewani. Waombaji wa kazi za ualimu wanaweza kuendelea.

    *Muhimu* 1. Hakikisha upo katika internet nzuri. 2. Nyaraka ziwe katika pdf na kila moja isizidi 1Mb. 3. Mwombaji akiwa na changamoto apige simu zilizopo kwenye video manual. 4. Deadline ya kuwasilisha maombi ni 15.03.2019. Kila la kheri DICT TAMISEMI. 04.03.2019 BONYEZA HAPA KUPATA MAELEKEZO...
  6. hashimrashidy

    Nisome ipi: Bachelor of Food Science and Technology vs Bachelor of Computer information Security

    Jamani naomba msaada wen, mdogo wangu wa amechaguliwa kozi mbili kujiunga elimu ya chuo kikuu. Moja ni Bachelor of science Food science and technology SUA morogoro na nyingine ni Bachelor of Computer information Security chuo cha UDOM. Naomba kujua ktk mambo yafuatayo ili tupate vigezo vya...
  7. hashimrashidy

    Rayvanny Ft Diamond Platnumz - Mwanza

    Audio Mpya ya Kwake RAYVANNY Akiwa Ameshirikiana na DIAMOND PLATNUMZ , Wimbo Unaitwa "MWANZA" DOWNLOAD HAPA Rayvanny Ft Diamond Platnumz - Mwanza KUWA KARIBU NASI NA KUHAKIKISHWA HUPITWI NA KITU TAFADHALI DOWNLOAD APP YETU ILI UWE WA KWANZA KUPOKEA NYIMBO MPYA KILA SIKU BONYEZA HAPA MTIKISO APP
  8. hashimrashidy

    VIDEO : Rayvanny Ft Diamond Platnumz - Mwanza

    Video Mpya ya Kwake RAYVANNY Ft DIAMOND PLATNUMZ , Wimbo Unaitwa MWANZA BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD WIMBO HUU Rayvanny Ft Diamond Platnumz - Mwanza PAKUA APP YETU HAPA ILI UWE WA KWANZA KUPOKEA NYIMBO MPYA KILA SIKU BONYEZA HAPA MTIKISO APP
  9. hashimrashidy

    KAMUSI Ft. DARASSA & MB DOG – SIO SAWA

    Nimekusogezea hapa Wimbo Mpya wa Kwake MWL. KAMUSI Akiwa Kashilikiana na Darassa pamoja na MB DOG Wimbo Unaitwa SIO SAWA BONYEZA HAPA KUSIKILIZA NEW AUDIO | MWL. KAMUSI Ft. DARASSA & MB DOG – SIO SAWA | DOWNLOAD Mp3 SONG - MTIKISO ENTERTAINMENT PIA USISAHAU KU DOWNLOAD MTIKISO APP ILI UWE...
  10. hashimrashidy

    Nahitaji msaada, akaunti yangu ya instagram imedukuliwa (hacked)

    Habar za muda huu wakuu....nina tatzo nahitaji msaada Akaunt yangu ya instagram imedukuliwa (hacked) naomba yeyote mwenyewe uwezo wa kufanya chochote ili irudi anichek PM ama kwa namba yangu ya simu either whatsapp or call 0717157467
  11. hashimrashidy

    TAARIFA KWA WANAOSUBIRIA MATOKEO YA UDAHILI SUA

    Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania ilitangaza kukamilisha kuchakata majina ya waombaji wa awamu ya pili tarehe 23/09/2018 na kuwa majina hayo yamekwisha rudishwa vyuoni kwa ajili ya kutangazwa. Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo SUA hatujaweza kutangaza majina yote ya waombaji waliochaguliwa katika...
  12. hashimrashidy

    BODI YA MIKOPO KUWENI WAANGALIFU KWA HILI

    Hii Thread ni Maalumu kwa malalamiko ya waombaji wa mikopo kutokana na Changamoto wanazozipitia kipindi cha uombaji wa mkopo kwa Elimu ya Juu Inaweza kuwa ni kutokuwa na uangalifu (Maakini) kwa Bodi ama sisi waombaji wa Udhamini wa Masomo Mimi Na anza na hii....siku chache Bodi ya Uotoaji wa...
  13. hashimrashidy

    MSAADA WAKUU

    Naomba mwenye app ya kutengeneza lyrics na app ya ku andaa video kama za youtube naomba anichek tafadhariii
  14. hashimrashidy

    Mbosso - Hodari

    Nawakaribisha kusikiliza Nyimbo Mpya ya Kwake MBOSSO , Wimbo Unaitwa "HODARI" Umetengeneza na Lizer Classic Kutoka wasafi Records BONYEZA HAPA KUSIKILIZA AUDIO : Mbosso - Hodari | DOWNLOAD Mp3 SONG - MTIKISO ENTERTAINMENT
  15. hashimrashidy

    NAOMBENI USHAURI KWA HII APP NINI KIONGEZE NA NINI KIUNGUZWE

    NAOMBENI USHAURI KWA HII APP NINI KIONGEZWE NA NINI KIPUNGUZWE BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mtikiso
  16. hashimrashidy

    NAOMBENI USHAURI KWA HII APP YA MUZIKI NILIYOTENGENEZA

    BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD MTIKISO APP https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mtikiso
  17. hashimrashidy

    News Alert: MSAADA TAFADHALI

    Habar za muda huu wakuu wa jf.. Naombeni mnijuze ni chuo gani hapa dar es salaam kinachotoa kozi za web design za muda mfupi (short course) kwa gharama nafuu
  18. hashimrashidy

    Mbosso - Nipepee (Zima Feni)

    Audio Mpya ya Kwake MBOSSO, Wimbo Unaitwa "NIPEPEE (ZIMA FENI)" DOWNLOAD HAPA AUDIO : Mbosso - Nipepee (Zima Feni) | DOWNLOAD Mp3 SONG - MTIKISO ENTERTAINMENT
  19. hashimrashidy

    Lava Lava – Nimekuchagua

    Audio Mpya ya Kwake LAVA LAVA, Wimbo Unaitwa "NIMEKUCHAGUA" DOWNLOAD HAPA AUDIO : Lava Lava - Nimekuchagua | DOWNLOAD Mp3 SONG - MTIKISO ENTERTAINMENT
  20. hashimrashidy

    NAOMBENI MSAADA JUU YA HILI

    Habar zenu wakuu, Naombeni mnisaidie namna ya kutatua hili tatizo URL YA BLOG YANGU FACEBOOK IMEFUNGIWA KILA NIKITAKA KUPOST KWENYE PAGE YANGU INANIKATALIA NAOMBENI MSAADA WENU JUU YA HILI
Back
Top Bottom