Search results

  1. Rural Swagga

    Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

    Niunganishe mtu wangu hzo ndo mbishe zangu,naitwa shukuru mapande napatkana tabata segerea ,aiseee huto jitia kunifahamu 0657703369
  2. Rural Swagga

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Makuruta sijui yameenda Ukraine[emoji16][emoji16]
  3. Rural Swagga

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Tokea huu uzi umeanzishwa sijawahi pitisha siku bila kuchungulia...Ila kwa hali ilivyo sasa najipa likizo
  4. Rural Swagga

    Wengi humu JF wanaojiita introverts si introverts

    Very interesting, Wish to see much more like this. Thanks for sharing your information
  5. Rural Swagga

    Brother wangu kama masihara ametimiza miaka 40 akiwa bado kula kulala

    Kuna mahali nimekuta jamaa kaandika Mke mwema AVAI SULUALI...bado natafakari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  6. Rural Swagga

    Nimetapeliwa pesa, naombeni ushauri

    Mjomba umekua Verified Member?? Sasa mimi nasubiri nini hahaha
  7. Rural Swagga

    Nilichokikuta kwa Mchepuko wangu jana, wanaume tuwe makini

    Huu ni kama mwaka wa kumi sijawahi kushika simu ya mke wangu..na mpango huo sina
  8. Rural Swagga

    Ligi ya Mabasi ya Mikoani Buses zinazokimbiza Mikoani

    Marco Polo wanatengeneza mabasi siku hizi??
  9. Rural Swagga

    Mkurugenzi aponea chupuchupu kuungua moto; gari la mamilioni lateketea

    Huyu ni yule Mwamba aliyekanyagwa na Tembo? vilevile nahisi ndio huyu pia Alikutana na Majambazi zaidi ya kumi usiku? Mmmmmmh Nikavute zangu Bangi mie
  10. Rural Swagga

    USHUHUDA WANGU: Nilivyotembea na wake za watu vol 1

    Umepima ukimwi mara ya mwisho lini wewe Malaya usiyeiheshimu ndoa yako
  11. Rural Swagga

    Dereva wangu, Hii ni Scania 113H- 310, tuliza akili

    Nitajaribu kuunganisha vidoti..nikishavuta bangi ila kama nimeanza kuielewa story yako[emoji123][emoji123]
  12. Rural Swagga

    Dereva wangu, Hii ni Scania 113H- 310, tuliza akili

    Nauliza kuna SCANIA 113 yenye retarder???mmmmh kwa uelewa wangu versions za Scania zenye hiyo kitu ni kuanzia 420 series
  13. Rural Swagga

    Playboy weds a good girl: inspired by true events

    Ngoja nikavute bangi labda nitapa vibe la kuusoma huu uzi...maana kama siuelewi hivii[emoji2357][emoji2357][emoji2357]
  14. Rural Swagga

    Ukifika Capetown utashangaa sana

    Vipi ndugu zangu...wangapi mumepata muda wa kurudi TZ kupiga kura??
  15. Rural Swagga

    Mhogo umekuwa ni chakula kikuu hapa Dar es Salaam

    Navyofahamu mhogo ni Zao na msimu kama maembe na mananasi nk.....Sasa kama sikosei huu ni msimu wa Mihogo na Machungwa wana darisalama wanakula mihogo na machungwa.Ni kawaida miaka yote tokea tungali wadogo
  16. Rural Swagga

    ATC tahadhari: Ndege isiporuka muda mrefu kuna hatari!

    Very Well Said(mazingira ya kupiga inspection fee)kufa kufaana[emoji41][emoji41]
  17. Rural Swagga

    Tumekutana marafiki wa aina yake

    There's someone for everyone...And the person for you is a PSYCHIATRIST[emoji23][emoji23]
  18. Rural Swagga

    Wazee wa kujilipua kimaisha (risk takers) kwa style tofauti tukutane hapa!

    Wiki majuzi nakatiza zangu mitaa ya Salt River Cape Town Nakutana na madogo wawili wa kibongo wanataka kunitapeli na biashara yao ya Almasi feki...Nikatabasamu kimoyomoyo nikawaambia kuna ndugu yangu mmbongo anaishi mitaa ya Roodebloem Road karibu na WALMER ESTATE (Ninapojisitiri na Familia...
Back
Top Bottom