Search results

  1. T

    Naomba msaada ndugu

    Naomba kusaidiwa, Mimi nina rafiki yangu anafanya kazi mashuleni serikalini ni mtumishi, anafanyia kazi mkoa flani, mzazi wake anaishi mkoa mwingne, na mazazi wake anaumwa ugonjwa ambao ni very serious sana, ana mdogo wake wa kike. Kitu ambacho kinamwiia vigumu kumuhudumia baba yake, amejarib...
  2. T

    Kufuzu Afcon 2021

    VP wakuu taifa stars kuna uwezekano wa kufuzuAfcon 2021? Mech kati Libya na equtotia Guinea na taifa stars ni lini???
  3. T

    Msaada wa kisheria jamani:

    Mm ni mfanyakazi katika tasisi moja hapa Dar es salaam nimefanya kazi katika tasis hii miaka 2 ba miezi sita, niliahidiwa kupewa mkataba ila ilichukua takribani mwaka mzima pasipo kupewa mkataba kila napodai naapiwa nitapewa nilivyoona muda unazidi kwenda basi nikaomba nipewe salary slip ila...
  4. T

    Msaada

    Ni application in nayoweza kuitumia kwa ajili ya kudownload video from u tube ambayo iko compactable with sumsung maana kila nayoijua nakataa
  5. T

    Kupenda kunaumiza

    Nilikuwa na mpenzi niliyempenda sana , ila juzi nilimpigia simu akadai yuko kazini akaniambia akitoka ataniambia. Baada kama masaa mawili akanipigia simu akaniambia tukutane mahali fulani muda fulani nikamjibu sawa , baada kama lisaa limoja tena akatuma text akisema bby tuonane kesho, nikajibu...
  6. T

    Msaada wakuu

    Nimechakuliwa kusoma chuo cha DIT sina mahali pa kukaa VP naweza pata chumba master maeneo ya buguruni,????
  7. T

    Msaada: Nimfanyeje anielewe?

    Kuna binti nampenda Sana Mimi namfaham ila yeye hanifaham vizur maana shule zetu zilikuwa Jirani ndo niliko mjulia now ni mwalimu wa shule ya msingi mwanza na Mimi niko Dar nafanya kazi company moja hapa mjini, nashindwa nianzaje hadi anielewe kwamba sipo kwa ajili ya kupotezeana muda nataka...
  8. T

    Diploma to degree DIT

    Wakuu habari naomba kujua aliyesoma diploma DIT na amechaguliwa degree DIT ambaye amepata mkopo tayari
  9. T

    Mke wa mtu ananiomba niwe hawara wake

    Jamani kuna mke wa mtu anataka niwe hawara wake ananitumia picha zake za uchi, juzi mumewe ameona text zangu ananiomba niachane na mkewe ila mkewe ananilazimisha mpaka ameamua kutumia simu ya ndugu yake ili mumewe asijue, ila mimi naogopa kula mzigo wa mtu nifanyeje ili anielewe bila kunichukia?
  10. T

    Mwisho wa kuapply Degree NACTE ni lini?

    NACTE mwisho kuomba chuo lini kwenda University (bachelor)?
  11. T

    Msaada wakuu kuhusu HESLB

    Ivi kwenye guide book ya TCU pale kwenye column ya Loan inapoandika non priority inamaanaisha mwanafunzi hata pata mkopo kabisa??????
  12. T

    Msaada wanaosoma chuo cha Archbishop James University College Songea

    Masomo yanaanza mwezi gani upande wa afya??
  13. T

    Msaada: Napenda sana kufanya mapenzi

    Jamani naomba mnisaidie yaani napenda sex sana yani hadi najionea huruma nifanyaje ili niweze kupunguza, si kwamba kila siku nafanya inaweza kuisha mwezi sijafanya ivo ila pale ninapokutana na muhusika yani hamu huwa haniishi.
  14. T

    Msaada naomba kujua wakuu

    VP TCU wametoa guide book ya 2016/2017?????
  15. T

    Msaada: ATM card namba ni ipi?

    Naomba kujua namba yng ya ATM card kadi yng ni CRDB bank ziko namba mbili zinanichanganya wadau msaada plz
  16. T

    Msaada

    Jamani naomba msaada cm yng Aina ya Techno inaonyesha ninapo kuwa na chomeka chaji inaonyesha inachaji ila haiongezeki chaji system chaji yk nimeicheki iko poa kbisa wale watalaam wa electronic naombeni msaada plz
Back
Top Bottom