Search results

  1. Sakayo

    Happy Birthday Shunie......!!!!

    Namshukuru Mungu kwa kweli, tarehe kama ya leo miaka arobaini iliyopita, alizaliwa kipenzi, rafiki, dada, mdogo wangu mzuri mzuri jamani na ndugu yangu kipenzi Shunie!! Mungu azidi kukuinua zaidi, akupe kila unalohitaji mpenzi, najua kuna kipindi unapitia mengi sana na unataka kukata tamaa...
  2. Sakayo

    Happy Birthday Shunie!!!!!!!

    Mungu ni mwaminifu mnoo!!!! Tarehe na miezi ka ya leo miaka kadhaa ulopita alizaliwa binti mrembo, mpole kiasi, mwenye roho yake tulivu Shunie!!!! Mungu azidi kukulinda mdogo wake mie, nakupenda na wewe unajua hilo.... Sina la kukulipa kwa wema wako tangu nkufahamu we mtoto!!!! Zaidi namuomba...
Back
Top Bottom