Search results

  1. N

    Naomba Wizara ya Elimu itoe muongozo juu ya muda wa kukaa darasani kwa watoto wetu

    Nitakwenda moja kwa moja kwenye mada bila kupoteza muda. Naomba Wizara ya Elimu itoe muongozo juu ya muda wa kukaa darasani kwa watoto wetu. Ni kweli shule zina Bodi, lakini tukumbuke hakuna taasisi ambayo hairatibiwi, Usafiri ipo SUMATRA, nishati ipo EWURA, hotel sijui TFDA nk, sasa hivi mfano...
  2. N

    Hongera Magufuli

    Kwanza kabisa napenda kusema kwamba kitu nnacho post hapa binafsi hakinipi faida yoyote zaidi ya nchi yangu. Nampongeza Rais Magufuli kwa dhati ya moyo wangu kwa kurudisha mahusiano ya KIBALOZI na nchi ya ISRAEL. kwa kawaida sipendi kuandika mambo mengi, hivyo ntaenda kwenye point: Jamani tutake...
  3. N

    Mhe. Magufuli :Awamu ya Tano na Viwanda

    kwanza kabisa napenda kusema naunga mkono 100 % suala la viwanda hata hivyo nina ushauri ufuatao :- 1. Serikali ya awamu ya Tano lazima ijenge viwanda, nasema hili kwa sababu 2020 awamu ya Tano itapimwa kwa uwepo wa viwanda, sasa kuna mtazomo ambao mimi naona utaigharimu awamu ya Tano nao ni...
  4. N

    Ali Kiba ahojiwa BBC kwenye kipindi cha 'Focus on Africa'

    Jamani kama mtanzania nimejisikia fahari sana kumuona Ali Kiba akihojiwa BBC Televison katika kipindi cha Focus on Africa huku akisifiwa kama Bongo Flava Star aliyefanya kazi na magwiji kama R. Kelly. Ila to be frank ' me naona kwa TZ yeye ndo mwanamuziki aliyokamaa na nyimbo zake zinaweza...
Back
Top Bottom