Search results

  1. N

    Tengeneza sentensi zenye maana kwa kutumia ID za member wa JF

    yaani unajianika , nimejua kazi yako , mtazamo wako kwa kusoma tu ulichoandika na avatar , siku nyingene kuwa makini
  2. N

    Uchunguzi: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake

    ndugu yangu malalamiko dhidi ya TB Joshua yapo kwenye YouTube siku nyingi . watu wengi wanasema eti walikuwa wapi wakati akiwa hai, ukweli ni kwamba tuhuma zipo You Tube kabla hajafa. na wanawake wanaolalamika sio kwamba walijificha, walionyesha sura zao na kujitaja majina. watu waseme lingine...
  3. N

    Vyoo vya abiria Stendi ya Msamvu Morogogoro vinasikitisha, mamlaka husika zitembelee kujionea

    asilimia 90 ya sisi waswahili baada ya kutumia choo, hatuflash au tuseme kukiacha kisafi . kukimbilia kudai mamlaka husika ni suala la pili, jambo la kwanza sisi wenyewe waafrika tubadilike, usafi uanzie kwetu, kama uamini tembelea maeneo yafuatayo, 1. vyuoni 2. maofisini 3. sokoni yaani kitu...
  4. N

    Rais Samia na Ruto wanakimbizana kwa kufanya safari Nje ya Nchi

    Rais Samia amefanya mema mengi kwa nchi, kama ni mapungufu ni ya kibidamu. juzi tu aliposikia naibu waziri amefanya ukatili kwa raia. Pili suala la bandari licha ya kupotoshwa kwa makusudi, hakumuwekea mtu kinyongo cha kisasi. Naamini hata ziara anazofanya ni kwa kutafakari maslahi kwanza. Kwa...
  5. N

    Utafiti binafsi: Wanyama na mimea vinavyotoweka kwa kasi hapa Tanzania

    lazima vitoweke ! TANAPA wakifanya kazi anakuja mkuu wa mkoa au mwanasiasa , anataka yeye aonekane mzuri utasikia '' waacheni hao, msiwafukuze " yeye huyooo anapanda gari lake, anajali sifa binafsi badala ya maslahi mapana ya Taifa
  6. N

    Hivi kweli mtu anasomea Pharmacy miaka 4 kuja kugawa dawa tu? Serikali rekebisheni hili

    ila na mimi naona kama mtoa mada ana hoja, ila kwanini Pharmacist wasipewe mchakato mzima wa kuanzia ku test dawa, kuotesha wadudu wa ugonjwa, kumimini solution ya dawa , ku test wadudu wamekufa wangapi, kupima ni moles ngapi za compound fulani zimeuwa wadudu wenye miligramu ngapi. kisha ku...
  7. N

    Tupe maoni, ushauri, dokezo: Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum

    Mhe. kwenye hili suala watu wa Wizara ya Elimu hawezi kushughulikia kwasababu ndo wanufaika wa hizo Rushwa kutoka kwa wamiliki wa shule. kitu cha kwanza , ada ya mtoto anapoingia darasa la nne inaongezeka karibu 400% hivyo ni chanzo cha mapato na ili kulifumbia macho pesa inapelekwa kwa...
  8. N

    Kama kisiasa Israel ilitawaliwa na Rumi lakini Yerusalemu kuna Msikiti hakuna Kanisa maana yake Waislam ni Wayahudi?

    nimeependa sana hii mada, nimetumia hii mada kujifunza badala ya kujaribu kutetea dini yangu. watu wamenielimisha sana - Dini zote mbili ; wakristo na waislam
  9. N

    Tupe maoni, ushauri, dokezo: Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum

    Hongera Mhe. kwa kuaminiwa pia hongera kwa kutupa nafasi ya kutoa dukuduku letu. mi hoja yangu inaweza kuwa tofauti kidogo , lakini utufikishie kwa Rais kwani wahusika hawataki kulishughulikia. suala la watoto wa darasa la Nne kulazimishwa kwenda kukao Boarding kwa shule zilizosajiliwa kama DAY...
  10. N

    Ubaya na Uzuri wa gari aina ya TOYOTA ALLEX

    chukua Toyota Allex, mtoa mada naona watu wanakushauri uchukue Runex ya CC 1800, kwanza hapo unalinganisha cc 1400 na 1800 vitu viwili tofauti Mbona watu hawakuambii Allex ina shida gani ?. allex ni gari nzuri sana, pia ina nafasi ndani tofauti kabisa na IST. Inakula mafuta kidogo sana...
  11. N

    Kahama the upcoming city

    tunamuomba Mzee Kikwete asaidie pale chalinze pawe na mipango miji, ni aibu palivyo
  12. N

    Arusha: Dereva wa Serikali aenda na maiti bar

    ila miaka ya hivi karibuni, kumezuka wimbi la madereva wa serikalini kujichukulia kuwa sawa na mabosi na mabosi kutafuta umaarufu kwa madereva. yaani mabosi wameacha kusimamia taratibu kwa kutafuta umaarufu kwa madereva. hii imefanya madereva wa serikalini kujiamini kupita kiasi na kuwa na dharau
  13. N

    Kuomba msamaha na kukubali kosa ni janga kwa wadada wengi

    Mwananmke ana kitu kikubwa zaidi , hapaswi kuomba msamaha. hata kama wewe unapesa, lakini bado yeye ana kitu kikubwa zaidi.
  14. N

    Kusema Israel ni taifa teule ni kumtukana Mungu wa kweli

    mimi sio mtu wa dini, ila ukisoma maandiko ya vitabu vyote (Quran takatifu na Biblia upande wa Ibrahim) utajua kwanini ni Mungu wa Israel na kwanini ndo inaitawala Dunia. Hakuna wa kuishinda
  15. N

    Ruvuma: Jela miaka 60 kwa kosa kubaka na kumpa mimba Mwanafunzi

    hii sheria ingeangaliwa upya, ni kweli adhabu ziwepo lakini sio kiasi hicho, mvulana mwenyewe bado mdogo sana wala hajui kama kuna kufungwa. sheria iangaliwe upya
  16. N

    Ahukumiwa maisha jela baada ya kubaka

    Serikali iangalie sana hii Sheria, sitetei ubakaji, lakini fanyeni hata miaka 15, Binadamu mwananume kati ya miaka 15 - 25 anakuwa katika kipindi kibaya cha mabadiliko ya kingono. sasa unakuta yeye hakupanga kubaka katoto lakini huko njiani kaona wadada waliomshawishi kwa mavazi ya kuonesha...
  17. N

    Profesa Janabi: Aliyewaambia Watu wawe Wanakunywa Maji Lita 5 kwa Siku kawadanganya sana

    mi namshukuru sana Prof Janabi kuliongelea hili. Hili ni suala nimekuwa nikishana sana na watu Ofisini. Watu wengi wamekariri hili jambo la kunywa maji lita 5 hata uwaambie nini hawakubali. hata nilipowaambia kuwa kuna utafiti ambao mimi nimeusoma unasema mwili wa mnyama yoyote umewekewa...
  18. N

    Naomba msaada kulielewa jambo hili

    mtu anayekomaa na suala la Sabato , ni mtu ambaye hajaelewa dhana ya Ukristo. mara nyingi wanakimbilia kusema hakujaa kutengua bali kuikamilisha Sabato. hii ni kujifariji lakini ukiielewa dhana ya Ukristo huwezi kukomaa na sabato
  19. N

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    kwa kweli viongozi wa Tanesco jitahidini kuwa na ubunifu. ni hili ni Jukumu la viongozi wa ngazi ya juu. mara nyingi mtu wa chini kazi yake mara nyingi ni kujitahidi kutekeleza maagizo n.k kiongozi wa juu ni kuja na MAONO, hivyo wakurugenzi wasaidizi na mkurugenzi mkuu, kujeni na MAONO. ntawapa...
Back
Top Bottom