Search results

  1. K

    Naomba kujuzwa

    Habari wakuu...juisi yenye mchanganyiko wa tangawizi na kitunguu swaumu eti hapo natibu nini mwilini au napata nini kiafya?? N.B,it is a serious Sent using Jamii Forums mobile app
  2. K

    Ushauri wenu wakuu

    Niko kwenye mahusiano na binti mzuri sana wa sura,umbo na tabia...tatizo kubwa linalonikwaza nikuhusu "K" yake,inaharufu kali sana,sasa kama mnavyojua wakuu kwenye mahusiano "K" ndio mpango mzima....naomba ushauri kama kuna dawa anaweza kutumia ili K yake isiendelee kutoa harufu kali ,issue za...
  3. K

    Je, ni salama kununua gari kupitia "kupatana"?

    Guys nimejalibu kupitia hii ya kupata nimekuta Gari zenye hali nzuri kimuonekano na plate number c &d ,bei ni reasonable .but sijawahi kununua kitu kupitia hii app,please aliwahi kukunua kupitia kupatana app naomba ushauri..jeh ninunue Gari kupitia kupatana app??
  4. K

    Binti ni kiburi, jeuri, hupenda malumbano, ila nashindwa kumuacha kwa sababu nimezaa naye watoto wawili

    Nahitaji ushauri huyu binti tumekuwa na mahusiano kwa miaka minne na tayari tuna watoto wawili, tatizo kubwa huyu binti ni kibuli, kisirani mpenda mizozo. Mimi ni injinia nina kampuni ya ujenzi, wakuu nadhani mnajua kazi ya kusimamia miradi muda mwingine unarud nyumbani umechelewana na...
  5. K

    Uzinduzi wa kampeni wa CCM Kinondoni

    Jana ilikuwa siku ya ufunguzi wa kampeni uchaguzi wa maludio wa jimbo LA kinondoni,ccm imezndua kampeni zake katika uwanja wa Biafra kinondoni,binafsi nimejalibu kufuatilia kilichokuwa kinajili haswa kwa mgombea wao bwana mtulya nini ataongea,nilichokiona kwa mtulya Jana nichakusikitika...
  6. K

    Basi gani linatoka Morogoro to Arusha

    Za saizi wakuu,mwenye kujua basi la abiria linalotoka morogoro kwenda arusha ,pia liwe high class.
  7. K

    Nina wasiwasi na hizi taasisi za kiraia zinazofufua katiba mpya

    Nakumbuka mapema kabisa raisi pombe magufuri alisema katiba mpya sio kipaumbele chake,,na ukiangalia mtindo na aina ya uongozi wake raisi wetu umefanya hata taasisi za kidini kuwa ngumu kumkosoa tofauti na kipindi cha JK 2 ,maasikofu masheghe walikuwa wazi kabisa kumkosoa .taasisi za kidini na...
  8. K

    Nimezaa nae watoto wawili lakini kanitamkia hawezi kuishi na mimi

    Huyu mwanamke nipo nae mwaka wa nne huu na tumefanikiwa kupata watoto wawili wa kwanza anaumri wa miaka miwili wa mwisho ana mwezi mmoja, tatizo hatuelewani kila siku kelele na keshanitamkia kuwa hawezi kuishi na mwanaume kama mimi, sasa nasita kumruhusu aondoke sababu watoto wangu bado wadogo...
  9. K

    Wale tuliosoma Malangali high school tuonane hapa

    Jamani wale tuliosoma malangali high school iringa ebu tupeana vioja navituko vyapale shule
  10. K

    Msd

  11. K

    Tofauti ya kimtizamo ya watu weusi na wazungu

    Vuta picha upo kwenye hafla flani ya kiafrica anaposimama mtu nakuahidi kusaidia au kutoa msaada wakitu labda kujenga hospital ,kanisa ,msikiti ,kisima madarasa au kuchangia mchango Wa harusi basi watu hujawa na nderemo na vifijo furaha namakofi kibao nakumshangilia huyo mtoa msaada, lakini kwa...
  12. K

    Hebu tujadili nisahihi kuzuia shisha nakuicha sigara?

    Hivi majuzi tumesikia kupitia vyombo vya habari mbalimbali kuwa mkuu Wa mkoa Wa dar es salaam kazuia matumizi ya shisha katika mkoa wake na badae tukasikia tamko la serikali kupitia waziri mkuu kuwa nimarufuku kutumia shisha eti inamadhara makubwa kwa binadamu, je! Sigara haina madhara? Mbona...
Back
Top Bottom