Search results

  1. RUKUKU BOY

    Mwalimu wa Primary anahitajika

    Wakuu anaitajika mwalimu mmoja wa primary awe wa kiume. Please tunataka wa kiume maana walimu wa kike wapo wa kutosha. Awe na experience, shule ipo mkoa wa Simyu. Karibu pm, weka namba ya simu utapigiwa, as soon as possible.
  2. RUKUKU BOY

    Sikujua kama kuna US agencies zina uswahili kwenye ajira

    Mwezi wa saba niliomba kazi moja kwenye shirika moja la wamarekani. Basi nilikaa Kama two weeks, nkapigiwa simu na HR, kuwa nimekuwa shortlisted. Na first interview ni practical interview, basi kesho yake nilipiga practical interview ya online na wakasema watanicheki soon kwa steps inayofuata...
  3. RUKUKU BOY

    CCM tujifunze kutoka kwa BAWACHA

    Kuna siku nilileta Uzi hapa kuwa Bora tukubaliane na ukweli kuwa kwa sasa hivi Chadema na CCM ni Kama Republican na Democrats vya marekani. Maana ni vyama vikubwa sana, Leo Bawacha wameadhimisha sikukuu ya Wanawake duniani mkoani Iringa, kwa kweli wameandaa events vizuri Sana, ukiangalia...
  4. RUKUKU BOY

    Rais Samia umejitengenezea strong competitor kama alivyofanya Magufuli

    Kwanza nakili kabisa kuwa mie ni CCM damudamu na kwenye ukweli sipendagi unafiki. John Pombe Magufuli alifanya kosa kubwa Sana ambalo lilimgharimu yeye mwenyewe na kosa hilo hilo amelirudia Samia. Lissu alimkosoa Sana JPM, yaani alimkosoa kwelikweli, hakuna mtanzania yeyote ambaye alimkosoa...
  5. RUKUKU BOY

    Je, inawezekana Ex wakarudiana na penzi likadumu?

    Wakuu hope mko poa, Hivi hii imekaaje mtu kurudiana na Ex wake,, Je, ni vibaya? Kama ni vibaya why. Je mapenzi yanadumu kwa ma ex kurudiana. Je inawezekana ex wakarudiana na penzi likadumu hadi ndoa( kwa ambao walikuwa hawajaoana).
  6. RUKUKU BOY

    Kisutu: Ni ujumbe gani hawa Mabalozi wameutuma kwa kuhudhuria kesi ya Freeman Mbowe?

    Moja kwa moja kwenye hoja,, Marekani ni taifa lililo athirika Sana na Ugaidi. Na Ni nchi ambayo inapambana na magaini karibu dunia nzima, mfano ni Somalia( Al Shabab) Afghanistan (Tulban), Syria(IS). n k. Sijawai ona any American diplomat ambaye aliudhulia kesi ya mtu anayetuhumiwa kwa...
  7. RUKUKU BOY

    Uchaguzi 2020 Ukweli ni kwamba CCM tuliiba uchaguzi kishamba

    Binafsi mie ni CCM toka mwaka 2011. Kilichotokea mwaka Jana ni aibu tupu, na ushenzi uliopitiliza, hivi inawezekanaje CCM tushide majimbo yote kiasi kile, inawezekanaje Magufuli ashinde kwa kiwango kile. Ni hivi kila mwaka CCM tunaibaga kura Ila kiakili, mfano tunaiba baadhi ya majimbo, Ila...
  8. RUKUKU BOY

    Nampenda sana ila hiki kikwazo kinaninyima raha

    Hi wakuu poleni na mihangaiko. Mie ni kijana sijaoa Ila nipo kwenye mahusiano na mdada mmoja, nina kazi maisha yanaenda. Huyu dada tupo wote more than 1.5 year, kwakweli mtoto wa watu ananipenda, ananiheshimu mno, ananijali, na nimcha Mungu na Mimi nampenda aswaa! Tumepanga tutaishi wote in...
  9. RUKUKU BOY

    Mwalimu wa cheti(Grade IIIA) anaitajika haraka

    Wakuu pole na shughuli, Kama kuna mwalimu aliyesomea ualimu ngazi ya cheti(certificate) aje pm chap Shule ipo Arushaa. Sifa. Awe vizuri kwenye kingereza Awe vizuri kwenye pedagogical skill Karibu
  10. RUKUKU BOY

    Mimba ya wiki 36-37

    Wakuu Pole na shughuli, me najuaga mimba inachukuaga wiki 40, mpaka mwanamke ajifungue... Je inawezekana kwa mwanamke mwenye mimba ya wiki 36-37, akajifungua, na mtoto akawa na afya njema. Karibu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. RUKUKU BOY

    Nahitaji Kijana wa kufanya kazi mapokezi kwenye ofisi yangu

    Natumaini mmeamka vizuri, Naitaji mtu wa Mapokezi kwenye ofisi yangu mpya. Sifa 1.awe na elimu kuanzia ngazi ya cheti na kuendelea 2.Awe vizuri kwenye Computer 3.Awe anajua kingereza kwa ufasaha. Ofisi ipo Arusha, Mshahara maelewano. Anayeitaji aje pm, wa Arusha atapewa...
  12. RUKUKU BOY

    Sitamsahau huyu dada

    Baada Ya kuachana na mpenzi wangu, raia wa nchi moja ya nje ya Africa. Nikatulia mwezi mmoja then nkaamua kutafuta kipozeo. Basi nkampata dada kutoka mwanza me naishi Dar, demu ni mzuri,chura ipo na mweupe. Basi banda Ya mwezi eti hana hela Ya Kodi, nikampa laki tano, baaadae aliibiwa simu...
  13. RUKUKU BOY

    Kuna hatari ya ATCL kuzuiwa kutua kwenye viwanja vya nje

    Aisee sijui hii serikali wanawaza kwa kutumia nini. Juzi wakati wa mapokezi ya A220-300 , katibu mkuu wa uchukuzi Richard Chamlio bila aibu anataja kuwa wanampango wa kutua London, West Africa na viwanja kadhaa vya ulaya ifikapo 2021 . Uku safari za India na China zikitangazwa kila siku...
  14. RUKUKU BOY

    Balozi wa Canada nchini

    Aisee mmemuona Balozi wa Canada nchini Tanzania wakati wa kupokea ndege? yule dada ni shida, sura ipo, chura ndo balaa. Sisi tuliozoea kula mademu wa Kizungu huyu anafaa, Vipi nawezaje pata namba yake huyu Balozi.
  15. RUKUKU BOY

    Tanzania imefeli vibaya kwenye vituo vya reli ya kisasa(SGR)

    Wakuu pole na mihangaiko ya kila siku. Nchi yetu inajenga reli ya kisasa Kwa mabilioni ya dola($3.2b) kutoka Dar kwenda maktupora. Nashukuru mimi ninausika na ujenzi huu nkiwa kama mhandisi wa Yapi Merkez wanaojenga hio reli. Reli hii Kwa kweli itakuwa moto wa kuotea mbali, kuanzia speed...
  16. RUKUKU BOY

    Je pengo la samatta linazibika ?

    Wakuu pole na stress za Korosho, kesho timu yetu ya taifa(Taifa stars) inashuka dimbani kukipiga na Lesotho. Lakini habari mbaya tutamkosa naodha mbwana Samatta. Je pengo lake linazibika ? Tuangalie Takwimu. Tanzania vs Lesotho(Dar es Salam) matokeo ilikuwa 1-1. goli là TZ lilifungwa na...
  17. RUKUKU BOY

    Sina hamu na wadada wa kizungu

    Wakuu pole na shughuli za kila siku, Mimi ni kijana nafanya kazi kwenye kampuni moja ya kimataifa apa Tanzania. Kutokana kuwa kampuni kuwa ya kimataifa uwa wanaletwa wafanyakazi kutoka maeneo tofauti duniani. mwezi wa pili mwaka Jana kuna dada aliletwa ni mzungu, basi alipangwa kwenye kitengo...
  18. RUKUKU BOY

    Nimeanzisha uhusiano na mwanamke kazini, sasa ananifanya nione kazi chungu

    Wakuu pole na majukumu Miezi miwili imepita tangu nilete uzi humu juu ya dada wa Kituruki tunayefanya nae kazi katika kampuni moja inayejenga reli ya SGR. Rejea >> Ushauri: Binti wa Kituruki analeta utani mwingi kazini hadi nimepewa onyo na meneja Huyu dada ni mzuri sana ameumbika haswaa...
  19. RUKUKU BOY

    Kitu gani kimetokea kwa ndege za Bombardier CS300?

    Tanzania ilitangaza kununua ndege mbalimbali ikiwemo ndege za kisasa kabisa za cs300 kutoka kampuni ya Bombardier. Katika manunuzi hayo serikali ilitangaza ndege hizo zingetua nchini mwezi Juni, hata taarifa ya bombardier ilionyesha hivyo. Sasa cha kuchangaza mwezi juni ushaisha hakuna updates...
  20. RUKUKU BOY

    Bombardier kufanya sherehe ya uzinduzi wa ndege za CS300 hapa Tanzania

    Ni mwendo wa hapa kazi tu, Bombardier wamepanga kufanya uzinduzi wa ndege zao za CS300 barani Afrika hapa Tanzania, lengo la kuzindulia hapa nchini ni kutokana na Tanzania kuwa nchi ya kwanza Afrika kuwa na ndege hizo, hii inaifanya Tanzania kuwa launch customer for CS300 . Itakumbukwa kuwa kwa...
Back
Top Bottom