Search results

  1. RUKUKU BOY

    Ushawai kufanya interview vibaya lakini Bado ukaitwa kazini

    Duuu labda Kuna aliyekuzidi zaidi
  2. RUKUKU BOY

    Ushawai kufanya interview vibaya lakini Bado ukaitwa kazini

    Haya maisha bwana. Mwaka 2019, nilifanya interview na shirika Moja la waingereza, aisee interview ilikuwa Kali hatari, nilikuwa natoa jibu linalonijia kichwani. Cha kushangaza baada ya wiki Moja nikaitwa kazini. Je, ushawai kufanya interview na ukaona umeifanya vibaya lakini ukaitwa kazini je...
  3. RUKUKU BOY

    Taasisi ya Innovation for Poverty Actions(IPA)

    No hizi zilitangazwa 12/03 this year
  4. RUKUKU BOY

    Taasisi ya Innovation for Poverty Actions(IPA)

    Lilikuwa kwenye website Yao chief
  5. RUKUKU BOY

    Taasisi ya Innovation for Poverty Actions(IPA)

    Oo kumbe niliiomba Field Officer Wana project itakayo cover Mikoa yote. Vipi ni walipaji wazuri au magumashi
  6. RUKUKU BOY

    Taasisi ya Innovation for Poverty Actions(IPA)

    Hello wakuu. Hii naomba kujuzwa Kwa anayefahamu in-details hii organization inayoitwa IPA, anipe information zake. Maana ni organization ambayo inatangaza nafasi nyingi mno za ajira karibu Dunia nzima. Kuna kazi niliiomba naona kimya. Sijui ni serious organization au ni hizi organization za...
  7. RUKUKU BOY

    Teacher Training Coordinator at Project Zawadi March, 2024

    Hii kazi nilimuombea shemeji yangu sijui washaita shortlisted candidates
  8. RUKUKU BOY

    Habari Njema: IMF yatabiri Tanzania kuongoza kiuchumi Afrika Mashariki ifikapo 2028

    $136b ni umasikini TU Kuna kampuni za US Zina thamani ya $1t
  9. RUKUKU BOY

    Mwalimu wa Primary anahitajika

    Mkuu namba hajafika
  10. RUKUKU BOY

    Natafuta kazi au sehemu ya kujitolea

    Pm kaka nikupe location unaweza pata pa kujitolea
  11. RUKUKU BOY

    Mwalimu wa Primary anahitajika

    Shule ni private mkuu, karibu pm
  12. RUKUKU BOY

    Mwalimu wa Primary anahitajika

    Huyu si inabidi awe head of school mkuu
  13. RUKUKU BOY

    Mwalimu wa Primary anahitajika

    Wakuu anaitajika mwalimu mmoja wa primary awe wa kiume. Please tunataka wa kiume maana walimu wa kike wapo wa kutosha. Awe na experience, shule ipo mkoa wa Simyu. Karibu pm, weka namba ya simu utapigiwa, as soon as possible.
Back
Top Bottom