Search results

  1. Farm boy

    Airtel Tanzania tatueni tatizo la Call Drops

    Habari Tanzania, Ninaandika kuwafikia Airtel Tanzania technical team. Kumekuwa na tatizo la kimtandao kwa muda sasa. Simu sikipigwa zinakatika tu, (calls drop). Tunaomba mtutatulie ttzo hilo ili tuendelee kufurahia huduma zenu. Ahsanteni
  2. Farm boy

    Kuna wale ambao deni la Mwezi Juni kwenye salary slip limekuja kama lilivyo kwenye Salary slip ya Mwezi Mei 20121

    TAHADHARI KWENU NDUGU ZANGUNI MNAOKATWA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU KWENYE MISHAHARA YENU KUNA SUALA INAWEZEKANA HAMJALIGUNDUA KAMA HAMJACHUNGUZA KWENYE SALARY SLIPS ZENU ZA MWEZI MAY NA MWEZI JUNI 2021 Kuna wale ambao deni la Mwezi Juni kwenye salary slip limekuja kama lilivyo kwenye...
  3. Farm boy

    Machine ya Upepo (Compressor)

    Habari wana jamvi, nnaulizia ni brand gan nzuri ya mashine ya kujaza upepo matairi maarufu kama compressor, kwa zinazotumia mafuta ya petrol nnataka kufungua kijiwe cha pancha.
  4. Farm boy

    MSAADA: Gari aina ya Mazda RX -8

    Ndugu wana jamvi naomba msaada kwa mtu mwenye experience na hio gari hapo juu atupe mrejesho. Nimeona ina cc 1300 na pia ina muonekano mzuri sana kwa vijana wa mjini. Sasa sijui uimara wake na ulaji wake wa mafuta kwasababu sijui mtu yoyote ambae amewahi kuitumia.
Back
Top Bottom