Search results

  1. Farm boy

    Who is Your JamiiForums Crush?

    financial services
  2. Farm boy

    Msaada wa kupata dawa hii iliyogundulika ya kutibu cancer

    Poleni sana ndugu, nikutie moyo dawa za Cancer zipo na watu hua wanapona. Jaribu kuulizia kwa mzee mmoja anaitwa Kokoto yupo wilaya ya Mwanga Kilimanjaro. Lkn pia kuna mama mmoja yupo Arusha nae hutoa dawa za Cancer na ameponesha wengi. Msikubali apigwe chemo wala kufanyiwa operation, hapo ndo...
  3. Farm boy

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Level ya kiburi inategemea unafanya transaction ya bei gani.
  4. Farm boy

    Vituko vya wasomi kwenye mtandao: Unajiita CPA Mwakipesile, je ni sahihi?

    CPA zenyewe wanazipata kwa kukariri maswali. Kichwani ni weupe peeeh..
  5. Farm boy

    Airtel Tanzania tatueni tatizo la Call Drops

    Habari Tanzania, Ninaandika kuwafikia Airtel Tanzania technical team. Kumekuwa na tatizo la kimtandao kwa muda sasa. Simu sikipigwa zinakatika tu, (calls drop). Tunaomba mtutatulie ttzo hilo ili tuendelee kufurahia huduma zenu. Ahsanteni
  6. Farm boy

    Kuna wale ambao deni la Mwezi Juni kwenye salary slip limekuja kama lilivyo kwenye Salary slip ya Mwezi Mei 20121

    TAHADHARI KWENU NDUGU ZANGUNI MNAOKATWA NA BODI YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU KWENYE MISHAHARA YENU KUNA SUALA INAWEZEKANA HAMJALIGUNDUA KAMA HAMJACHUNGUZA KWENYE SALARY SLIPS ZENU ZA MWEZI MAY NA MWEZI JUNI 2021 Kuna wale ambao deni la Mwezi Juni kwenye salary slip limekuja kama lilivyo kwenye...
  7. Farm boy

    INAUZWA Excavator (CAT 323D) inauzwa

    Ndo madalali wetu hao mkuu. Mm nakuta canter used namba C inauzwa 32M wakati mhindi kanipa mpya imported from Japan kwa 28M tu.
  8. Farm boy

    Roho inaniuma nimetimiza miaka 35 sina mtoto wala maisha

    Mkuu ulifanikiwa kuhama kwa baba Mkubwa..? Kitu unapaswa kushukuru Mungu ni kua na Afya njema. Hayo mengine yanakuja tu ukipambana. Shukuru Mungu kwa zawadi ya maisha, badili mitazamo na misimamo yako kaa pekeyako au tafuta mtu (mentor) akuongoze katika kujua nn unapaswa kufanya. Wakati mwingine...
  9. Farm boy

    Mapenzi yanatutesa Wanachuo, ushauri wenu ni wa muhimu sana kwangu kipindi hiki

    Kuna uwezekano huyo wa nyumbani tayari wana attachment nae zaidi hata na mtoto wamezaa ila ndio umefichwa..
  10. Farm boy

    Hivi inakuwaje msomi wa mambo ya fedha hajui shilingi Elfu 10 ina mnyama gani? Anashindwa kujibu kwenye interview

    Kwani mtaala wa fani zao una sehemu watu wanapaswa ku cover Alama katika pesa..? Kama hakuna basi hio knowledge haina mashiko.
  11. Farm boy

    Interview TPB: Naombeni mnisaidie aptitude test

    Mbona kama unakata tamaa sasa, jipe moyo. Jaribu tena, Mungu ataweka mkono wake.
  12. Farm boy

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Arusha tangu juzi umeme unakatika mchana mpk usiku saa saba ndo unarudi. Hakuna taarifa yoyote tunayopewa. Vitu vinaharibika kwenye ma friji na simu hazipatikani. Ukizingatia wengine biashara zetu zinategemea uwepo wa umeme..
  13. Farm boy

    Baba yangu aliniambia hanikumbuki, niliumia sana

    Kaka ndugu zako watakukubali ukiwa kwenye status nzuri ya maisha. Haya maisha sometimes hayapo fair. Ww tafuta pesa ipo siku watakutafuta wao. Haupo pekeako unaepitia haya kwahio usichukue mrengo wa kuliona kama tatizo kubwa ama kizingiti. Mimi najua watu wengi ambao wametafutwa na Baba zao...
  14. Farm boy

    Tujuzane kuhusu AC je ni kweli zinanyonya umeme hadi unit 35 kwa siku?

    Duh humu ndani kila mtu ana AC kwake, binafsi nimeanza kutumia AC nyumbani hivi karibuni. Kwakweli ukifunga AC unahitaji ubavu wa kumudu gharama za Units maana zinalika sana. Mara moja moja joto likituzidi hua tunawasha walau kwa masaa 6 mpk 8. Na tukipata wageni tunafunika macho tunaweza...
  15. Farm boy

    Bima ya gari imekuwa anasa!

    Weka akiba ya maneno mkuu. Watu wanapitia mengi sana.
  16. Farm boy

    Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

    Basi tu huyo wa kwako ni pepo limemuingia, maana hata kama ni tamaa zipo options nyingi tu angeweza kutumia na kuepusha majanga ya mimba. Mfano hata kama anatembea na hao hg anashindwa nn kutumia kinga.? Hata kama hatumii kinga anashindwa nn kutumia njia zingine zzte za kuzuia mimba..?! Maanake...
  17. Farm boy

    TANZIA Profesa Peter Msaki afariki Dunia

    Ingia website ya Tanzania Atomic Energy Commision, taec.go.tz , ujisomee kidogo mkuu
  18. Farm boy

    Guys I can't sleep, I feel like I am dying

    Tingling mikono na miguu, try some worm medications bro...
Back
Top Bottom