Search results

  1. K

    Natarajia kwenda Thailand, naomba kujua namna ya kupata VISA

    Nenda kariakoo big bonne ulizia agent wa kuprocess visa za thailand Nimeona kuna ubalozi wa Thailand nchini Kenya japo namba zilizopo kwenye mtandao hazipatikani hivyo nimeshindwa kupata taarifa. Aidha nimepiga pia namba iliyopo Thailand na IVR imekuwa ikinitaka nisubiri lakini kwa muda...
  2. K

    Terminal benefits-

    Ndugu wanajamvi Shirika letu limefunga virago hapa Tanzania. Naomba mtu yoyote mwenye government circular ya culculate rates za mtu kulipwa kwa ajili ya usafiri wa kurudi alikokuwa kabla ya ajira.
  3. K

    Mafao ya usafiri -terminal banefits

    Ndugu wanajamvi mimi nemeachishwa kazi baada ya kamuni yetu kufunga virago hapa Tanzania. naomba mtu anisaidie jinsi ya ku calculate fedha za usafiri kurudi mahali nilipokuwa kabla ya ajira. je kuna government circular ya jinsi ya ku calculate fedha kwa ajili ya kusafirisha vifaa vyangu
  4. K

    Waheshimiwa wabunge ambao ni wagonjwa kwa muda mrefu sana wajiuzulu!

    kama bado ni mawaziri na aliyewateua anaona bado wanafaa kuongoza wizara wakiwa vitandani. itakuwa vigumu kwao kuwa na uzalendo wa kuachia ngazi za ubunge kwa vile mkuu bado anawahitaji
  5. K

    Matokeo ya Arumeru: Salaam kwa Edward Ngoyai Lowassa!

    Unajua hata wana CCM sasa wanafeel ile nguvu ya umma. Damu ni nzito kuliko maji lakini ukweli wa mambo unaifanya damu kuwa hata nyepsi kuliko maji. Wanaccm bado wanakipenda chama chao, lakini sera za CHADEMA zinawafanya wajiuluze mara mbili mbili na ukweli ni kwamba hawawezi kupingana nazo maana...
  6. K

    Mkopo

    ndugu yangu pole na matatizo ya ajira, hili ni janga la kitaifa. Ila nakushauri upate ushauri wa kijasiriamali kwanza kabla ya kuanza kazi ya internet. Unajua siku hizi makampuni ya simu yanatoa internet services kwa bei ya chini sasa, na yanacompete thus bei itazidi kuwa chini. kwa hiyo unaweza...
  7. K

    Dr. Salim Ahmed Salim kuwa Obama wa Tanzania 2015?

    Salum A.Salum anaweza kuwa mtu mzuri but agenda ya JK inajikita zaidi kwenye udini. We need to be very careful, otherwise kuongozwa na watu wenye nia ya dhati kujenga matabaka ya kidini for 20 yrs itatuletea shida sana Tanzania. We have see ourself jinsi agenda za kikabila zinavyoongezeka wakati...
  8. K

    Bungeni: Fungeni Milango Tupigane!

    Nadhani sasa bunge linaenda mahala pake, haya mambo ya wajinga wa CCM (stupid solid majority) kujifanya wanazomea wenzao wa upinzani itakwisha
  9. K

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    Hii mimi ya Sofia Simba-mwinyi -Kitwana Kondo -Jk sijaielwe kidogo naomba ufafanuzi
  10. K

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    Naamini vijana wanataka kundelea kwenye ulingo wa siasa kwa miongo mingi ijayo na watajitahidi ku deliver, kama alivyofanya magufuli, otherwise watakaa only one term. Tusiona tutakuwa kifungoni miaka mitano. Cha maana ni kuimarisha vyama pinzani kama Cahdema, ili wakiporonga busi chama kingine...
  11. K

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    kidogo Jk kakonga nyoyo za watu kwa upande wa magufuli na kuchagua vijana na kuachana na wazee. nampongeza kawaondoa watu kama Msola ambao hawana jipya zaidi ya kuendekeza kusujudiwa. Naamini kuna mtu amemtonya JK kuhusu mwenendo wa Msola.
Back
Top Bottom