Search results

  1. Tomaa Mireni

    Biashara ya Internet mtaani

    Sijafunga boss hata kufunga sijui,sema ni system ya jf,mpaka usubiri kidogo ndio ikupe mpangilio
  2. Tomaa Mireni

    Biashara ya Internet mtaani

    Shida nn mzee
  3. Tomaa Mireni

    Biashara ya Internet mtaani

    Ndio mkuu nasonga mbele, ila nilipambana sana
  4. Tomaa Mireni

    Qatar tangu lini mliipenda Tanzania kiasi hiki?

    Huu msaada ni return tu ya wanachochukua hapo Serengeti. Msaada umechelewa sana
  5. Tomaa Mireni

    Dar es Salaam ili uende kazini na kurudi lazima uandae elfu 10 ya usafiri pamoja na chakula. Maskini hana chake hapa nchini

    Asee ni kweli mkuu lakini kama anashindwa kuresize iyo 10k ya nauli ili aweze kuilipa basi hali yake itakuwa ngumu, kwa mfumo wa Kiafrika pambana kuendana na mabadiliko, punguza matumizi yasiyo ya lazima ili ujazie iyo ya naul. Mambo mengine huwezi kubadili hata ufanye nini.
  6. Tomaa Mireni

    Dar es Salaam ili uende kazini na kurudi lazima uandae elfu 10 ya usafiri pamoja na chakula. Maskini hana chake hapa nchini

    Kama ni mwajiriwa wa serikali angalia makazi ya karibu na kazini, unafanya kazi tmk kwanini ukakae Kimara? au tegeta? Panga hapo Mbagala, buza n.k. Usiishi sehemu kwa kufata mkumbo, hasa marafiki na ndugu, angalia unafuu wako wa kufika kazini tu. Mfano mm wakati naanza maisha nilitaka kukaa...
  7. Tomaa Mireni

    Dar es Salaam ili uende kazini na kurudi lazima uandae elfu 10 ya usafiri pamoja na chakula. Maskini hana chake hapa nchini

    Sio lazima ufanye kazi sehemu ya kutumia nauli kubwa hivyo, badili upepo uende sawa na kipato.
  8. Tomaa Mireni

    Hawa wanajeshi wa uokoaji walipe fidia kwa kuharibu hii hiace pale Katesh

    Wangeiacha bado ungekuja kulilia huku... Asee jaribuni kuwa na shukrani hata kwa kidogo
  9. Tomaa Mireni

    Kilichotokea Kateshi, Hanang kitatokea tena Same na vitongoji vyake mara nyingine. Msije kushangaa

    Kwanza nawapa pole wote waliokumbwa na janga lililotokea wilaya ya Hanang mji mdogo wa Kateshi. Jambo la kujiuliza tutaendelea na majanga ya aina hii mpaka lini kwanini hatujifunzi? Mwaka 2009 lilitokea janga kama hili kule Same...
  10. Tomaa Mireni

    Wazee wa delivery kuweni makini na utapeli huu unatrend sana

    Kuna mfanyabiashara kapigwa trey 200 za mayai kwa aina hii hii... Amefanya biashara vizuri na mteja wake ila akaishiwa mayai mteja akaomba ni lini anashusha mzigo mana mayai yake yalikuwa makubwa afu alikuwa bei chini kuliko wauzaji wengine. Kesho yake jamaa akashusha mzigo akampigia simu...
  11. Tomaa Mireni

    Ubabe wa Israel Kijeshi

    Israeli haiwezi kuoigana na Hamas na hezbola kwa wakati mmoja ikashinda
Back
Top Bottom