Search results

  1. Junioroby

    Segerea gym mnanyanyasa wateja wenu

    Sisieni hiyo gym mtapoteza name vingine
  2. Junioroby

    Niliyo yaona Agakhan Hospital

    Mnazungumzi Agakhan ya wapi? Nyie badala ya kutaka huduma nzuri kwenye hospitali za serikali mnapiga kelele kwenye mali za wahindi? Ibane serikali yako iimarishe huduma ktk hospitali zake mwende huko.:D
  3. Junioroby

    Kiongozi wa CHADEMA amepoteza Maisha kwenye Mlipuko wa Bomu Arusha

    Hii inasikitisha saana. Ni vitendo visivyo vumilika. Hakika mambo haya yanatia aibu. Katika nchi iliyo huru na ya kidemokrasia. Ifike mahali tukubali mabadiliko kwani hata historia inaonyesha wakati unapofika si rahisi kuyazuia. Binafsi nalaani sana jambo hili. Ila tukumbuke wametuacha kimwili...
  4. Junioroby

    Msiba mzito wamkumba mwenzetu: KOKUTONA apoteza mtoto wake!

    Pole dada yangu KOKUTONA kwa yaliyo kukuta
  5. Junioroby

    Naungana na jamii ya kimataifa kutompa ushirikiano mheshimiwa Uhuru Kenyatta

    Nini maana ya kuwa nchi huru? Kwanini wamarekani watuchagulie rais? Kenya ni taifa huru. Wqi ndio wanajua nani anawafaa katika kuongoza taif lao. Acha mawawazo ya kitumwa
  6. Junioroby

    Hallow

    Karibu.
  7. Junioroby

    TANZIA Msanii Sajuki afariki dunia

    My his soul rest in peace
  8. Junioroby

    Ivuga anawauliza nyie vijana. Nani katokelezea?

    Wateja wa hoja ya Obama
  9. Junioroby

    TANZIA: Dada Ennie wa JF apoteza mmewe mpendwa!

    R.I.P tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu.
  10. Junioroby

    wababa mliomo JF acheni kubania vitu katika familia,vingine ni vitu vya kawaida tu

    Hii kweli ni balaa. Huyu baba zaidi y kauzu
  11. Junioroby

    Tobaaaa

    Anafaa kwa nyama
  12. Junioroby

    Maisha ya Ushagoo, Kabia na Togwa ndo mwendo wenyewe, Mama anachambua Mboga

    Haya maisha poa kiaina mradi uyakubali
  13. Junioroby

    Kitu Mfano wa bomu kilichotua Ngara usiku wa kuamkia jana

    Kingetua juu ya nyumba ya mtu balaa. Ila ndio hivyo ingekua vita huwa hakuna fidia.
  14. Junioroby

    Kitu Mfano wa bomu kilichotua Ngara usiku wa kuamkia jana

    Wataalamu toka jeshini wqnasema ni kipande cha setelite imeanguka na wala si bomu kama ilivyodhaniwa hapo awali
  15. Junioroby

    Bujibuji avamia jukwaa, aomba kura kwa style ya pekee ARUMERU

    Kweli ukizidiwa balaa! hata kutambua wapiga kura ameshindwa? toka lini watoto wakapiga kura!! kweli chama twawala kimeishiwa
  16. Junioroby

    kampeni za CCM ktk picha

    CCM hawajui hizi kampeni ziliisha pitwa na wakati wa TZ wako macho? Hii strategy iko out of date ndio maana wameanguka Arumeru!!!
  17. Junioroby

    Maafisa wa itifaki na wa usalama wako wapi?

    Hii nafikiri MH alikua anajisafisha. kwa akili yangu ndogo nahisi Mh alikua na totoz ambayo ilimtoka na ikamlazimisha kuto kuzingatia itifaki na kuamua ku clear mambo kabla wadaku hawajainasa.
Back
Top Bottom